ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Nimepotea wiki nzima bado hakuna andiko?Shida sio andiko shida ni wewe , ukishasema unaamini kitabu Cha bhukhari unajua wazi andiko nitaliweka na utakuwa huna Cha kupinga
Nimepotea wiki nzima bado hakuna andiko?Shida sio andiko shida ni wewe , ukishasema unaamini kitabu Cha bhukhari unajua wazi andiko nitaliweka na utakuwa huna Cha kupinga
Nimekuuliza swali Mungu anaweza kufanya lolote ukajibu NDIO, sasa nataka uniambie Mungu wako anaweza kubeba mimba yangu nikimpa uja uzito?Badala ya kujibu mambo ya msingi unaleta maandiko ambayo sijakuuliza mimiKukubaliana na ww kwamba mungu wako hana uwézo ndio kuruka ruka?? mimi nimekazia qauli yako kwa kuweka Ushahidi huu kuwa mungu wako hana Uwezo hadi ameomba dua mbaya kwa Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi akapotezewa bado wanadunda!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
[emoji56][emoji15][emoji12]
Anaapia kwa aliye Umba dhakar na kile cha kike![emoji56][emoji2299][emoji2957]
[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ
(AL - LAYL - 1)
Naapa kwa usiku unapo funika!
[ وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ
(AL - LAYL - 2)
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ
(AL - LAYL - 3)
Na kwa Aliye umba dume na jike!
Mkuu hii ni hadithi ya Al lulu Wal marjan.Aya hiyo inasemaje ?
Mkuu, kwa hiyo Mwenyezi Mungu Allah hawezi kuwa na uwezo sharti akubebee mimba yako ndio uamini kwamba ana uwezo wa kila kitu?.Nimekuuliza swali Mungu anaweza kufanya lolote ukajibu NDIO, sasa nataka uniambie Mungu wako anaweza kubeba mimba yangu nikimpa uja uzito?Badala ya kujibu mambo ya msingi unaleta maandiko ambayo sijakuuliza mimiwa hiyo
koloani copy & paste ya vitabu vya kale ww govi'na una kiarabu Gani?? [emoji101]Tulia tuliondowe govi la ukafiri akilini mwako
Ukristo wa Mwanzo
Tertullian, mwanasheria na kiongozi wa kanisa katika mji wa Carthage, alikuwa ni wa kwanza kutumia neno "utatu mtakatifu" katika karne ya tatu alipotoa nadharia kwamba, Mwana na Roho Mtakatifu ni sehemu za Mungu Mkuu lakini wote ni kitu kimoja (Mungu mmoja).
Mabishano makali juu ya mada hii ya utatu mtakatifu yaliendelea kwa miaka mingi miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu wa kanisa.
Baadhi waliafikiana na Tertullian kwamba Utatu Mtakatifu ndani yake ulikuwa na nafsi au asili tatu, lakini baadhi walidai kuwa utatu ulikuwa utatu wa ufunuo tu - kwamba Yesu alijazwa na Roho Mtakatifu wa Baba ambapo Roho huyo aliishi ndani yake (Yesu).
Mfalme Constantine alijikuta katika vita na mapigano mnamo mwaka 381 B.K, wakati mabishano juu ya utatu mtakatifu yalipokuwa makali sana baina ya viongozi wawili wakubwa wa kanisa kutoka Alexandria, Arius - afisa wa ngazi ya juu wa kanisa, anayemfuatia askofu, na Alexander, aliyekuwa askofu wake.
Andiko lipo unachotakiwa ni kusema nakiamini kitabu cha sahih bukhari , ukisha tamka tu naweka andikoNimepotea wiki nzima bado hakuna andiko?
Ukimaliza copy paste zako , maswali niliyo kuuliza bado yapoTulia
Mungu wangu ATAKALO HUWA!Nimekuuliza swali Mungu anaweza kufanya lolote ukajibu NDIO, sasa nataka uniambie Mungu wako anaweza kubeba mimba yangu nikimpa uja uzito?Badala ya kujibu mambo ya msingi unaleta maandiko ambayo sijakuuliza mimi
Hujajibu swali, kama kweli Mungu wako atakalo huwa, anaweza kutaka kujipa mwili wa mwanamke kisha nikamjaza mimba?Mungu wangu ATAKALO HUWA!
[emoji116][emoji116]
ما يريده هو
ma yuriduh hu
Atakalo huwa
Namimi Nimekubaliana na ww kwamba mungu wako hana uwézo na mimi nimekazia qauli yako kwa kuweka Ushahidi huu kuwa mungu wako hana Uwezo hadi ameomba dua mbaya kwa Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi akapotezewa bado wanadunda!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
[emoji56][emoji15][emoji12]
Anaapia kwa aliye Umba dhakar na kile cha kike![emoji56][emoji2299][emoji2957]
[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ
(AL - LAYL - 1)
Naapa kwa usiku unapo funika!
[ وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ
(AL - LAYL - 2)
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ
(AL - LAYL - 3)
Na kwa Aliye umba dume na jike!
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Lete andiko acha kelele kama bata, hakuna alie kwambia useme Mohamad anapizi hewaniAndiko lipo unachotakiwa ni kusema nakiamini kitabu cha sahih bukhari , ukisha tamka tu naweka andiko
Allah hawezi kubeba mimba, sasa huyo anae sema Mungu wake anaweza kufanya lolote hata kama lipo nje ya utaratibu wake ndio aniambie, Mungu wake anaweza kuwa mwanamke kisha anibebee Mimba? akijibu naendelea sasaMkuu, kwa hiyo Mwenyezi Mungu Allah hawezi kuwa na uwezo sharti akubebee mimba yako ndio uamini kwamba ana uwezo wa kila kitu?.
Kiri kwanza , nina sababu kwa nini nataka ukiri kukiamini kitabu kwanzaLete andiko acha kelele kama bata, hakuna alie kwambia useme Mohamad anapizi hewani
Mimi sina cha kukiri wewe ndio umesema Mohamad ana pizi hewani unatakiwa kuthibitisha kwa andiko sio blah blahKiri kwanza , nina sababu kwa nini nataka ukiri kukiamini kitabu kwanza
kuna mbusu jiwe nimemuwekea andiko akajibu kirahisi sana akasema andiko na mwenye kitabu wote waongo
Allah anauwezo wa kubebesha mimba , sema amesema hana mke , ila akitaka anachukua malaika au hourisAllah hawezi kubeba mimba,
Ndio mbona ni rahisi ndio maana huku katika Uislamu hakuna mwana wa Mungu maana huo ndio mwanzo wa kufuru, Mungu wetu hawezi kubeba Mimba wala kumbebesha mtu mimba, hivyo vitu sio katika sifa zake, yeye ni muumbaji fulu stop, hayo ni mambo ya kibinadamu yeye anaweza kuumba atakavyo, ameweka utaratibu wa viumbe kuzaliana kwa kutiana mimba baina ya jike na dumeAllah anauwezo wa kubebesha mimba , sema amesema hana mke , ila akitaka anachukua malaika au houris
- Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
- Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
- Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
- Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
- Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
- Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
Basi hutaliona andikoMimi sina cha kukiri wewe
Siku nyingine acha kuropoka vitu ambavyo huwezi kuthibitisha hapa sio kijiweniBasi hutaliona andiko
Allah anauwezo wa kubebesha mimba , na kaweka wazi akitaka mke apiga machine malaika ua houris , kumbuka houris ata wewe utaenda kuwapiga pipe ukifika janahkumbebesha mtu mimba, hivyo vitu sio katika sifa zake,
Siku nyingine kiri kwanza kuamini kitabu , najua mbinu zenu za kutoroka jambo kirahisiSiku nyingine acha kuropoka vitu ambavyo huwezi kuthibitisha hapa sio kijiweni
Vitu vingine vinachekesha sana, wewe umesema mwenyewe mohamad ana pizi hewani, ulipaswa kuleta andiko hata bila kuombwa , badala yake unaleta blah blahSiku nyingine kiri kwanza kuamini kitabu , najua mbinu zenu za kutoroka jambo kirahisi
jambo dogo tu linakushinda kusema naamini kitabu au sikiamini linakushinda