Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
ww ndie huna mungu, huna mtume, huna jitabu!
[emoji116][emoji116]
وَإِنَّهُ لَفِي زُبُرِ الْأَوَّلِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 196 ]
Na hakika bila ya shaka haya yamo katika Vitabu vya kale.

Tulia tuliondowe govi la ukafiri akilini mwako

Ukristo wa Mwanzo​

Tertullian, mwanasheria na kiongozi wa kanisa katika mji wa Carthage, alikuwa ni wa kwanza kutumia neno "utatu mtakatifu" katika karne ya tatu alipotoa nadharia kwamba, Mwana na Roho Mtakatifu ni sehemu za Mungu Mkuu lakini wote ni kitu kimoja (Mungu mmoja).

Mabishano makali juu ya mada hii ya utatu mtakatifu yaliendelea kwa miaka mingi miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu wa kanisa.

Baadhi waliafikiana na Tertullian kwamba Utatu Mtakatifu ndani yake ulikuwa na nafsi au asili tatu, lakini baadhi walidai kuwa utatu ulikuwa utatu wa ufunuo tu - kwamba Yesu alijazwa na Roho Mtakatifu wa Baba ambapo Roho huyo aliishi ndani yake (Yesu).

Mfalme Constantine alijikuta katika vita na mapigano mnamo mwaka 381 B.K, wakati mabishano juu ya utatu mtakatifu yalipokuwa makali sana baina ya viongozi wawili wakubwa wa kanisa kutoka Alexandria, Arius - afisa wa ngazi ya juu wa kanisa, anayemfuatia askofu, na Alexander, aliyekuwa askofu wake.
 
Athari za Paulo na Walengwa (hadhira) Wake : Watu wa Mataifa (Gentiles)​

Ingawa imani na msingi (doctrine) huu haukupendekezwa rasmi na Paulo, hapana shaka yoyote kwamba alikuwa na wazo hilo akilini.

Na bado kama Yesu atachukuliwa kuwa ni mwana mwenye asili ya uungu basi itabidi tumtafute baba yake mwenye asili ya uungu pia.

Kulikuwa pia mijadala juu ya Roho Mtakatifu, ambaye Paulo alidai kuwa ni chombo cha usafiri kilichotumika kuleta ufunuo kwa mwanaadam.

Kimsingi, Paulo alitaja hivi vitu vitatu vinavyounda utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Yesu - Mungu mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.

Lakini kanisa halikuvitambua rasmi mpaka karne ya nne ambapo kanisa liliitangaza rasmi imani hii ya utatu mtakatifu na kwamba Mungu Mkuu ameundwa na Utatu Mtakatifu.

Kama ilivyo kwa imani nyingine zilizobuniwa na kuanzishwa na Paulo katika Ukristo, Utatu Mtakatifu pia, chanzo na asili yake ni imani za kipagani (kikafiri).

Mfumo wa ibada wa watu wa Nimrod, ulianza Babylon lakini wakati wa zama za Paulo ulikuwa umeenea sana hadi maeneo ya miji alipokuwa akiishi Paulo na watu wengi walikuwa ni wafuasi wa imani hii.

Nimrod, alikuwa ni kijana mdogo aliyekuwa amemuoa mama yake.

Watu wake waliamini kuwa Nimrod alikuwa Mungu na kwamba Baal, Mungu wa jua, alikuwa ndiye baba yake.

Baada ya kufa katika umri wake mdogo, mama yake Nimrod akawa mkuu wa ibada hizi za kipagani na akaanzisha imani kwamba mwanaye alikuwa anaendelea kuishi katika maumbile ya kiroho.

Kwa hiyo kwa mara ya kwanza utatu mtakatifu ukawa umeibuka. Baal, Mungu Baba, Mama wa Nimrod, na Nimrod - Mungu Mwana.

Ni kutokana na kisa hiki kwamba Paulo alianzisha Utatu Mtakatifu katika Ukristo.
Naona umeshindwa kuthibitisha kuwa Allah ni jina la Mwenyezi Mungu.

Nimekupa muda nenda kumwuliza imamu wako akuonesha huyo mnaye mwabudu yaani Allah, mmemtoa wapi ?

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah.

For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah.

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses.
The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.

Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:
 
Tulia , tunaliondowa govi la ukafiri akilini mwako

Mkutano wa Baraza la Nisea (NICEA)​

Mfalme Constantine, japo alikuwa hajui la kufanya juu ya mambo na imani za kanisa za kibubusa lakini alikuwa na yakini kwamba umoja wa kanisa ulikuwa muhimu sana kwa ajili ya dola na ufalme wenye nguvu.

Constantine alijaribu kuwapatanisha hawa viongozi wawili wa kanisa.

Askofu aliposhindwa kumaliza tatizo hili, Constantine aliitisha mkutano wa baraza la Wasomi wakubwa katika masuala ya dini kwa mara ya kwanza katika historia ya kanisa lililokutana mwaka 325 B.K katika mji wa Nicea.

Maaskofu 300 walihudhuria mkutano huu; baada ya kufanya kazi kwa wiki sita, imani ya utatu mtakatifu iliundwa rasmi.

Mungu wa Wakristo kuanzia siku hiyo alitambulika kuwa ana nafsi tatu - au asili tatu - katika muundo wa Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.

Imani hii mpya iliyozinduliwa rasmi na Baraza la Nicea ilieleza hivi:

"....... tunamwabudu Mungu mmoja katika utatu mtakatifu, na utatu katika umoja --- kwa vile kuna nafsi moja ya baba, nyingine ya mwana na nyingine ya roho mtakatifu ---- sio miungu watatu, isipokuwa ni Mungu mmoja - nafsi zote tatu ni sawa milele hata milele --- kwa hiyo yeyote anayetaka kuokoka (kuokolewa) ni lazima aamini imani hii ya utatu mtakatifu".1

Licha ya jitihada za Costantine, mabishano na mzozo juu ya utatu haukuisha na wala haukukaribia kuisha japo Costantine mwenyewe alikuwa na matumaini makubwa ya kumalizika kwa mgogoro huu.

Arius na askofu mpya wa Alexanderia aliyeitwa Athanasius walianza mabishano hata baada ya kutiwa saini Imani ya Nicea; "Arianism" - yaani imani ya Arius - iliyokuwa kinyume na utatu mtakatifu iliharamishwa na yeyote ambaye hakuamini imani ya utatu mtakatifu alikamatwa na kufungwa.
 
Wapi Allah anajiita kuwa ni Mungu.

Hili swali utalijibu tu Maamuma wewe weka Aya.

" Mimi ni Mungu mwenyezi, jina langu ni Allah"

Jibu swali nani alikuwambia kuwa Allah ni Mungu Mwenyezi ?

Allah ni ka miungu ka wapagani soma hapa.

The pagan origins of the Islamic
god.

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah. For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah which Muhammad subsequently destroyed when he conquered Mecca:

Narrated Abdullah:
When the Prophet entered Mecca on the day of the Conquest, there were 360 idols around the Ka'ba. The Prophet started striking them with a stick he had in his hand and was saying, "Truth has come and Falsehood will neither start nor will it reappear.” (Sahih al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 583)

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses. The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.
Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:
 
Wapi Allah anajiita kuwa ni Mungu.

Hili swali utalijibu tu Maamuma wewe weka Aya.

" Mimi ni Mungu mwenyezi, jina langu ni Allah"

Jibu swali nani alikuwambia kuwa Allah ni Mungu Mwenyezi ?

Allah ni ka miungu ka wapagani soma hapa.

The pagan origins of the Islamic
god.

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah. For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah which Muhammad subsequently destroyed when he conquered Mecca:

Narrated Abdullah:
When the Prophet entered Mecca on the day of the Conquest, there were 360 idols around the Ka'ba. The Prophet started striking them with a stick he had in his hand and was saying, "Truth has come and Falsehood will neither start nor will it reappear.” (Sahih al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 583)

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses. The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.
Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:

​

Hakuna Ustahimilivu Tena​

Mnamo mwaka 451 B.K. katika mkutano wa Baraza la Chalcedon, imani ya Nicea, Constantinopole (inayoamini Utatu Mtakatifu) ilifanywa kuwa ndiyo imani rasmi inayotambulika na yenye mamlaka.

Mabishano juu ya utatu hayakuendelea kuvumiliwa hata kidogo; kuzungumza dhidi ya utatu ilionekana ni kashfa dhidi ya dini na Mungu, na adhabu yake ilikuwa ni kipigo kikali na kuharibiwa au kuondolewa baadhi ya viungo na pengine kuuliwa kabisa.

Sasa Wakristo wakawageukia Wakristo, wakiwaharibu au kuondoa baadhi ya viungo vya miili yao na kuwachinja maelfu kwa melfu kwa sababu ya tofauti ya maoni.

Ingawa adhabu za kikatili za wakati ule sasa hivi hazipo, utatanishi na mabishano juu ya utatu mtakatifu unaendelea mpaka leo.

Wakiwa hawajakata tamaa, bado wakristo walio wengi bado wanashikilia kwa nguvu imani hii ambayo ni msingi wa imani yao.
 
Wapi Allah anajiita kuwa ni Mungu.

Hili swali utalijibu tu Maamuma wewe weka Aya.

" Mimi ni Mungu mwenyezi, jina langu ni Allah"

Jibu swali nani alikuwambia kuwa Allah ni Mungu Mwenyezi ?

Allah ni ka miungu ka wapagani soma hapa.

The pagan origins of the Islamic
god.

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah. For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah which Muhammad subsequently destroyed when he conquered Mecca:

Narrated Abdullah:
When the Prophet entered Mecca on the day of the Conquest, there were 360 idols around the Ka'ba. The Prophet started striking them with a stick he had in his hand and was saying, "Truth has come and Falsehood will neither start nor will it reappear.” (Sahih al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 583)

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses. The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.
Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:

Utatu Mtakatifu: Inakubalika Kimantiki?​

Imani ya utatu mtakatifu inaweza kuwa msingi mkuu wa imani ya Ukristo lakini haina ukweli au msingi wowote kutoka kwenye Maandiko Matakatifu - imani yote imeundwa na mwanadamu kwa asili yake.

Huu ni mfano - mwingine wa kwamba ni jinsi gani imani za kipagani zilivyoingizwa kwenye ububusa wa ukristo ili kuufanya ukristo ukubalike zaidi kwa wapagani.

Wakristo walio wengi, wanapoombwa kuielezea imani hii (ya utatu), hawawezi kutoa jibu lolote isipokuwa kusema:

"Ninaamini hivyo kwa sababu niliambiwa niamini hivyo".

Wanalielezea kwamba "Ni siri ya Mungu - hakuna mtu anayejua" ingawa Biblia inasema katika Wakorinto wa kwanza 14:33 kwamba:

"Mungu sio mwanzilishi wa utatanishi na migongano". (Mysteries).

Hata aliyeipa nguvu na kuihimiza imani hii ya utatu aliona ugumu mkubwa katika kuielewa imani hii.

Inasemekana kwamba Athanasius, askofu aliyeitwa na kuitangaza rasmi imani hii ya utatu, alikiri kwamba alivyokuwa akizidi kuandika juu ya imani hii, ndivyo uwezo wake wa kuielezea imani hii ulivyokuwa ukizidi kupungua.

  • 1. Excerpts from the Athanasian Creed.. (Nukuu kadhaa kutoka katika dhehebu la Athanasi).
 
Naona umeshindwa kuthibitisha kuwa Allah ni jina la Mwenyezi Mungu.

Nimekupa muda nenda kumwuliza imamu wako akuonesha huyo mnaye mwabudu yaani Allah, mmemtoa wapi ?

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah.

For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah.

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses.
The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.

Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:

Mtazamo wa Uislamu juu ya "Mungu Mmoja"​

Wakati ukristo unababaika kueleza maana ya "Mungu mmoja" tatizo hilo halipo katika Uislamu:

"Wamekufuru wale wasemao - Mwenyezi Mungu ni mmoja katika (wale waungu) watatu - (yeye ndiye wa tatu wao). Hali hakuna Mungu ila Mwenyezi Mungu mmoja (tu peke yake). (Qur'an 5:73)

Mwandishi Mmarekani wa kiislamu Suzanne Hannef ameliweka jambo hili wazi kabisa pale aliposema: "-- Mungu sio kama nanasi au chungwa linaloweza kugawanywa katika sehemu tatu zinazounda kitu kimoja kizima.

Kama Mungu ni nafsi tatu au ana sehemu tatu, basi kwa vyovyote vile hawezi kuwa Mmoja, wa pekee (kwa sababu tayari zipo nafsi nyingine mbili zenye sifa ya uungu).

Wala hawezi kuwa Asiyeonekana, kwa sababu tayari Yesu ambaye ni moja ya nafsi ya Mungu ameshaonekana, jambo linaloharibu sifa muhimu za Mungu Halisi Na Wa Kweli 1

Tukiliangalia suala hili kwa upande mwingine: utatu una maana Mungu ana vijisehemu vitatu vilivyo tofauti tofauti (havikuungana) - Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Ikiwa Mungu ni mmoja tu (kwa mujibu wa wale wanaoamini utatu mtakatifu kuwa ni Mungu mmoja) itakuwaje huyo huyo mmoja awe Baba na awe Mwana?

Ina maana kuwa yeye atakuwa ni mtoto (mwana) wa yeye mwenyewe. Matumizi ya akili na mantiki hayakubaliani na utatanishi na mkorogano wa mambo kama huu.

Ukristo unadai kuwa unaamini kuwepo Mungu mmoja asiyekuwa na mshirika, lakini kwa kuwepo utatu mtakatifu unaodaiwa kuwa una nafsi tatu zote zikiwa na uwezo na sifa za uungu, hakuna shaka katika fikra za Waislamu kwamba ukristo umeshapoteza kabisa imani ya kumwabudu Mungu mmoja.

Wakristo wameondoka kwenye ibada na imani ya Mwenyezi Mungu mmoja na badala yake wameingia kwenye ushirikina kwa sababu sasa hivi hawamwabudu Mwenyezi Mungu mmoja bali wana waabudu miungu watatu.

Wakristo hawazichukulii shutuma hizi kuwa ni nyepesi. Kwa upande wao wanawashutumu Waislamu kwamba hawaelewi hata maana ya utatu mtakatifu, wakidai kwamba Qur'an inauelewa utatu kuwa ni Allah.

Mungu Baba, Yesu - Mungu Mwana na Bi Mariamu - mama yake Yesu - eti ndiyo maana Qur'an inaupinga utatu mtakatifu. Ambapo Kanisa katoliki lilibuni cheo cha "Mama wa Mungu" tangu mwaka 431 B.K., katika mkutano wa Baraza la Efesazi (Ephesus), uchunguzi makini wa aya za Qur'an ambazo hutumiwa zaidi na Wakristo kuthibitisha shutuma zao zinaonyesha madai kwamba Qur'an inamhesabu Bi Mariamu kuwa ni "Mmoja" wa nafsi tatu za Mungu katika utatu ni ya uongo.

Qur'an inaishutumu vikali imani ya utatu Mtakatifu (4:171), (5:73). Pia inaishutumu ibada ya kumwabudu Yesu na Mama yake Bi Mariamu (5:116).

Hakuna sehemu yoyote katika Qur'an ambapo Qur'an inazikubali au kuzichambua nafsi tatu za utatu wa kikristo.

Msimamo wa Qur'an ni kwamba Nani au Nini kinachounda imani hii si suala la msingi, bali imani yote ya utatu ni tusi dhidi ya upweke (umoja) wa Mwenyezi Mungu.

Hakuna sehemu yoyote katika dini inayompwekesha Mwenyezi Mungu (Uislamu) inapotajwa kumuabudu yeyote asiyekuwa Mwenyezi Mungu Mmoja, na juu ya hili Qur’an ina msimamo thabiti:

"Na - - Mola wenu ni Mungu Mmoja: hakuna mungu mwingine isipokuwa yeye, Mwingi wa Rehema, Mwingi wa kurehemu". (Qur'an 2:163)

"- - Mimi ni Mola wenu na Mwenye kuwaruzukuni: kwa hiyo msimuabudi yeyote asiyekuwa Mimi". (Qur'an 21:92)
 
Ukimaliza copy paste zako , maswali niliyo kuuliza bado yapo

  • Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
  • Weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa

Tulia tutoe govi la ukafiri akili mwako

Kifo Kimoja Kufuta Dhambi za Wote?​

Kwa haraka haraka, imani ya kafara inaeleza kwamba Yesu alipatwa na masaibu makubwa na kufa msalabani ili kumkomboa mwanadamu kutoka kwenye minyororo ya dhambi.

Imani ya Kuwepo kwa Dhambi ya Asili​

Lau Paulo angekuwa mfanyabiashara bila shaka angejenga nyumba iliyojaa fedha, lakini alikuwa mtu mbunifu hodari na mjanja sana, hii inaweza kuonekana kwa jinsi alivyounda mfumo wenye mzunguko mrefu usiokuwa na ulazima wa imani kwa ajili ya uokovu katika Ukristo.

Hii inaweza kuonekana vizuri zaidi katika Imani ya Mateso na kifo cha Yesu - Imani ambayo imani nyingine zote - ile ya uungu wa Yesu, Utatu Mtakatifu na kuokoka kwa imani peke yake zimejengwa juu yake.

Mbele ya Paulo, wanadamu wote ni waovu na wadhambi, sifa ambayo wote wameirithi kutoka kwa Adam na dhambi lake la kula tunda la mti uliokatazwa katika Bustani ya Eden.

Hii "dhambi ya asili" imewatambaa na kuwaambukiza wanadamu wote tokea wakati wa Adam.

Kwa sababu ya maambukizi haya ya dhambi, mwanadamu hawezi kijinusuru kutoka kwenye minyororo ya dhambi hata afanye jitihada kubwa kiasi gani.

Yesu ndiye angeweza kumkomboa na kumnusuru mwanadamu kutoka kwenye minyororo ya dhambi kwa kuwa yeye hakuzaliwa kutokana na mbegu ya mwanadamu.

Japokuwa kimantiki (kiakili) hii ni dhulma kwa Mwenyezi Mungu na Mwanadamu, ukristo kwa moyo mkunjufu umeichukua na kuihalalisha imani hii ya dhambi ya asili ili kuithibitisha dhana yao ya ujumbe na kazi ya Yesu, yaani kuteswa na kufa kwa ajili ya dhambi za mwanaadamu.

Alipokuwa akiunda imani hii ya dhambi ya asili yaelekea Paulo alisahau maneno ya Mungu katika Ezekiel 18:20 -22:

"- - Mtoto hatabeba dhambi za baba, wala baba hatabeba dhambi za mtoto."

  • 1. What Everyone should Know About Islam and Muslims, pp. 183-4. (Mambo yampasayo kila mmoja kuyajua juu ya Uislamu na Waislamu, uk. 183- 4).
 
Umekuwa mtu wa kukopi na kupest vitu usivyoulizwa.

Kwanini usianzishe mada ya kuusimulia Uislamu ?

Umeulizwa.

Mnamwabudu Allah kama Mungu wenu.
Unaweza kuonyesha aya japo moja tu inayomtambulisha Allah kama Mungu Mwenyezi ?

Sema ipo na iweke.
Au sema haipo.

Wapi Allah anasema.

"Mimi ndiyo Mwenyezi Mungu, jina langu ni Allah"

Kama haipo sema mnamwabudu kwa mamlaka ya nani ?
 
Tulia upate daawa ya kulitoa hilo govi la ukafiri akilini , bila hivyo hata ukionyweshwa na kufahamishwa utajifanya kuwa hujaona na utakanusha

hakuna hata mahali pamoja ulipoekewa ushahidi ukakubali

Mwokozi Yesu: Muhanga wa Mwisho​

Kwa mujibu wa Paulo, mwokozi alikuja katika sura ya Yesu: Mungu alimtuma mwanaye wa pekee duniani ili aje apate mateso na hatimaye afe msalabani ili damu itakayomwagika iwe kafara ya dhambi za wanaadamu, kwa hiyo Yesu ndiye aliyetolewa kafara (mhanga).

Paulo alipata fikra hii kutokana na kafara zilizokuwa zikitolewa na Wayahudi kwa Mungu - ambapo maelezo yake yanapatikana katika agano la Kale na akahisi kwamba kafara hizi zilitolewa ili kupata msamaha wa Mungu kutokana na madhambi ya watu.

Wakati baadhi ya kafara hizi zilizotolewa na Wayahudi zilifanywa kwa ajili ya maondoleo ya dhambi, Mitume waliokuja baadaye walikataza jambo hili.

Katika Hosea 6:6, kwa mfano, tunasoma:

"Kwa kuwa Ninataka upendo thabiti na sio kafara".

Mungu alitaka upendo - ambao husababisha kumwamini Yeye na utii wa sheria yake - kwani hii ni bora kuliko damu ya kafara.

Hata Yesu mwenyewe aliusisitiza ujumbe huu tena, katika Mathayo 9:13, ambapo anasema:

"Nendeni na mkajifunze maana ya maneno haya: Ninataka rehema sio kafara."

Paulo aliyaweka yote haya pembeni akasema kwamba Yesu, kiumbe mkamilifu, alikuwa "Kafara (muhanga) wa mwisho" alipoyatoa maisha yake msalabani.

Nadharia ya Paulo ni kwamba Mungu hawezi kuchukuliwa kuwa ni Muadilifu mpaka amuadhibu mwenye dhambi.

Toba peke yake haiwezi au haitoshi kuwa sababu "muhimu" kwa ajili ya kusamehewa madhambi yaliyofanywa.

Anasema kuwa kuteswa na kufa msalabani kwa Yesu, ni muhimu sana kwa sababu heshima, haki, utukufu na uongofu wa Mungu haviwezi kukamilika kwa toba "tupu".

Mkristo anaamini kwamba Yesu alisuluhisha na kupatanisha baina ya wanadamu na Mwenyezi Mungu kupitia kifo chake.

Mwandishi wa Kikristo, Anis Shorrosh alilichunguza jambo hili kwa umakini sana miaka mingi iliyopita, na akahitimisha kwamba hakuna ukweli juu ya kuteswa na kufa katika kukiri imani na toba; nani atakayechukua mzigo wa dhambi zetu? 1

Kutokana na suala zima kwamba Mwenyezi Mungu alimtaka Yesu ayatoe maisha yake kwa ajili ya dhambi za wanadamu,

Paulo alimchukua Mwenyezi Mungu anayewapenda na kuwajali viumbe wake akamfanya kuwa ni katili na aliye mbali sana ambapo kitu kingine chochote kisichokuwa damu ya Yesu hakiwezi kumfikia wala kumridhisha.
 
Tulia upate daawa ya kulitoa hilo govi la ukafiri akilini , bila hivyo hata ukionyweshwa na kufahamishwa utajifanya kuwa hujaona na utakanusha

hakuna hata mahali pamoja ulipoekewa ushahidi ukakubali

Mwokozi Yesu: Muhanga wa Mwisho​

Kwa mujibu wa Paulo, mwokozi alikuja katika sura ya Yesu: Mungu alimtuma mwanaye wa pekee duniani ili aje apate mateso na hatimaye afe msalabani ili damu itakayomwagika iwe kafara ya dhambi za wanaadamu, kwa hiyo Yesu ndiye aliyetolewa kafara (mhanga).

Paulo alipata fikra hii kutokana na kafara zilizokuwa zikitolewa na Wayahudi kwa Mungu - ambapo maelezo yake yanapatikana katika agano la Kale na akahisi kwamba kafara hizi zilitolewa ili kupata msamaha wa Mungu kutokana na madhambi ya watu.

Wakati baadhi ya kafara hizi zilizotolewa na Wayahudi zilifanywa kwa ajili ya maondoleo ya dhambi, Mitume waliokuja baadaye walikataza jambo hili.

Katika Hosea 6:6, kwa mfano, tunasoma:

"Kwa kuwa Ninataka upendo thabiti na sio kafara".

Mungu alitaka upendo - ambao husababisha kumwamini Yeye na utii wa sheria yake - kwani hii ni bora kuliko damu ya kafara.

Hata Yesu mwenyewe aliusisitiza ujumbe huu tena, katika Mathayo 9:13, ambapo anasema:

"Nendeni na mkajifunze maana ya maneno haya: Ninataka rehema sio kafara."

Paulo aliyaweka yote haya pembeni akasema kwamba Yesu, kiumbe mkamilifu, alikuwa "Kafara (muhanga) wa mwisho" alipoyatoa maisha yake msalabani.

Nadharia ya Paulo ni kwamba Mungu hawezi kuchukuliwa kuwa ni Muadilifu mpaka amuadhibu mwenye dhambi.

Toba peke yake haiwezi au haitoshi kuwa sababu "muhimu" kwa ajili ya kusamehewa madhambi yaliyofanywa.

Anasema kuwa kuteswa na kufa msalabani kwa Yesu, ni muhimu sana kwa sababu heshima, haki, utukufu na uongofu wa Mungu haviwezi kukamilika kwa toba "tupu".

Mkristo anaamini kwamba Yesu alisuluhisha na kupatanisha baina ya wanadamu na Mwenyezi Mungu kupitia kifo chake.

Mwandishi wa Kikristo, Anis Shorrosh alilichunguza jambo hili kwa umakini sana miaka mingi iliyopita, na akahitimisha kwamba hakuna ukweli juu ya kuteswa na kufa katika kukiri imani na toba; nani atakayechukua mzigo wa dhambi zetu? 1

Kutokana na suala zima kwamba Mwenyezi Mungu alimtaka Yesu ayatoe maisha yake kwa ajili ya dhambi za wanadamu,

Paulo alimchukua Mwenyezi Mungu anayewapenda na kuwajali viumbe wake akamfanya kuwa ni katili na aliye mbali sana ambapo kitu kingine chochote kisichokuwa damu ya Yesu hakiwezi kumfikia wala kumridhisha.
Wapi Allah anajiita kuwa ni Mungu.

Hili swali utalijibu tu Maamuma wewe weka Aya.

" Mimi ni Mungu mwenyezi, jina langu ni Allah"

Jibu swali nani alikuwambia kuwa Allah ni Mungu Mwenyezi ?

Allah ni ka miungu ka wapagani soma hapa.

The pagan origins of the Islamic
god.

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah. For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah which Muhammad subsequently destroyed when he conquered Mecca:

Narrated Abdullah:
When the Prophet entered Mecca on the day of the Conquest, there were 360 idols around the Ka'ba. The Prophet started striking them with a stick he had in his hand and was saying, "Truth has come and Falsehood will neither start nor will it reappear.” (Sahih al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 583)

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses. The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.
Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:
 
Umekuwa mtu wa kukopi na kupest vitu usivyoulizwa.

Kwanini usianzishe mada ya kuusimulia Uislamu ?

Umeulizwa.

Mnamwabudu Allah kama Mungu wenu.
Unaweza kuonyesha aya japo moja tu inayomtambulisha Allah kama Mungu Mwenyezi ?

Sema ipo na iweke.
Au sema haipo.

Wapi Allah anasema.

"Mimi ndiyo Mwenyezi Mungu, jina langu ni Allah"

Kama haipo sema mnamwabudu kwa mamlaka ya nani ?

Wacha daawa ya Govi lako la ukafiri ikuingie vizuri , tupate kulivua

Mungu wa Upendo​

Fikra ya kwanza kubuniwa na Paulo na ambayo hutumika mara nyingi katika Ukristo kuhusiana naYesu ni Upendo na Mungu.

Kwa mujibu wa wakristo, upendo wa Mungu umekuwepo tu kwa sababu ya kusulubishwa na kufa kwa Yesu - alama ya upendo wa Mungu ni msalaba, kwa mujibu wa Wakristo. Kwa mujibu wa namna yao ya kufikiri, Mungu alitupenda mno hata akamtuma mwanae wa pekee ili apate mateso na hatimaye afe ili amwokoe mwanadamu kutoka kwenye minyororo ya dhambi.
 
Wapi Allah anajiita kuwa ni Mungu.

Hili swali utalijibu tu Maamuma wewe weka Aya.

" Mimi ni Mungu mwenyezi, jina langu ni Allah"

Jibu swali nani alikuwambia kuwa Allah ni Mungu Mwenyezi ?

Allah ni ka miungu ka wapagani soma hapa.

The pagan origins of the Islamic
god.

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah. For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah which Muhammad subsequently destroyed when he conquered Mecca:

Narrated Abdullah:
When the Prophet entered Mecca on the day of the Conquest, there were 360 idols around the Ka'ba. The Prophet started striking them with a stick he had in his hand and was saying, "Truth has come and Falsehood will neither start nor will it reappear.” (Sahih al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 583)

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses. The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.
Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:

Pata daawa ya kulitoa govi la ukafiri

Je, Mungu Aweza Kufa?​

Tukiendelea na dhana yenye kutatanisha kwamba Mungu wa Wakristo anaweza tu kusamehe dhambi ndogo kwa kusababisha dhambi kubwa - dhambi ya kumtoa Yesu ili auliwe - dhambi ya kuua, tunalazimika kujadili mada ya uungu ili tuweze kuijadili mada hii.

Mungu ni wa milele, alikuwepo tangu na tangu na atakuwepo milele na milele: Hakuumbwa; Hawezi kufa; n.k.

Kama Yesu ni mtoto wa Mungu, kama wakristo wanavyodai, hii ingemfanya na yeye kuwa Mungu pia, ingewezekanaje yeye, kama Mungu, afe msalabani kama wanavyodai?

Ikiwa "mwili wake wa ubinadamu" ndio ulikufa, hii italeta maana kwamba alikufa kama mtu mwingine yeyote.

Na kama ni hivi - imani yote ya kuwa Yesu aliteswa na kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanaadamu, itakuwa haina msingi wowote - kwani damu ya mtu wa kawaida haiwezi kuwa fidia ya dhambi za mtu mwingine.
 
Hili li Gavana, linaweza kuwa ni Jinni la Kiislamu.

Ukiliuliza swali halijibu,
Lenyewe ni kukopi na kupest tu.
Na halichoki,
halilali
halipumziki.
Lipo 24/7
Linajibishana na kila mtu hata muwe 100 lenyewe moja tu linawajibu wote muda wote, hata kama nje ya mada.

Jinni Gavana, Watu wa Mungu tumekugundua
Wewe ni Jinni sharifu,
Jini lenye jukumu la kuueneza Uislamu.
Jini linalo waingia watoto wachanga na kuwakremisha Qurani.
 
Hili li Gavana, linaweza kuwa ni Jinni la Kiislamu.

Ukiliuliza halijibu lenyewe ni kukopi na kupest tu.
Na halichoki halilali halipumziki.

Jinni Gavana, tumekustukia
Wewe ni Jinni sharifu,

Pata daawa ya kuliondosha govi la ukafiri akilini mwako , tulia ugangwe

Athari za Upagani Katika Imani Ambazo Paulo Aliziingiza Katika Ukristo​

Paulo hakuielewa maana halisi ya kafara zilizokuwa zikitekelezwa na Wayahudi katika Agano la Kale; waliteketeza kafara hizi kama shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutokana na rehema nyingi ambazo Mwenyezi Mungu aliwajaalia - na sio kwa ajili ya kuhakikishiwa msamaha wa Mwenyezi Mungu kutokana na madhambi yao.

Karibu dini zote za kipagani zinaamini kwamba kafara wanazozitoa kwa miungu yao ni kwa ajili ya kutaka msamaha wa madhambi yao. Mimea, wanyama na hata watu waliuawa ili kuwa na uhakika ya "rehema ya Mwenyezi Mungu".

Sio hivyo tu bali karibu wafuasi wa dini zote za kipagani huchukua vyakula hasa mikate na pombe, vinavyokuwa vimetengwa kwa ajili ya sadaka kwa miungu.

Wapagani waliamini kwamba kwa kula vyakula hivi vilivyotengwa kwa ajili ya miungu, wao pia (wapagani) walikuwa wanapata baadhi ya sifa na nguvu za kimungu - roho za miungu hao ziliingia na kuishi ndani yao (hao wapagani).

Paulo alichukua imani hii akaiingiza katika Ukristo, akaiita kuwa ni "Sakramenti ya chakula cha Bwana au Ekaristi".

Kwa sababu inachukuliwa kuwa ni sehemu kubwa ya imani ya kuteswa na kufa kwa Yesu.

Mfumo na tendo hili la Ekaristi umekuwa ni moja wa Sakramenti muhimu kabisa katika Ukristo kwa sababu ni alama na ukumbusho wa tendo la Yesu kutoa mwili na damu yake kama kafara na fidia ya dhambi za mwanadamu.

Imani hii ambayo Paulo aliingiza katika Ukristo kutoka kwenye upagani ilimrahisishia sana kazi. Kwa hadhira yake - watu wa mataifa hawakuona taabu yeyote kuingia katika ukristo kwani imani ya Mungu kufa akiwa kijana na baadaye kuwa hai kuwaokoa watu wake ili kuwepo katika imani zao za kipagani.

Ikiwa miungu wao akina Adonis au Mithran waliwahi kufanya kitu cha aina hii kwa ajili yao kwa nini Yesu ashindwe kulifanya hilo sasa hivi?
 
Pata daawa ya kuliondosha govi la ukafiri akilini mwako , tulia ugangwe

Athari za Upagani Katika Imani Ambazo Paulo Aliziingiza Katika Ukristo​

Paulo hakuielewa maana halisi ya kafara zilizokuwa zikitekelezwa na Wayahudi katika Agano la Kale; waliteketeza kafara hizi kama shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutokana na rehema nyingi ambazo Mwenyezi Mungu aliwajaalia - na sio kwa ajili ya kuhakikishiwa msamaha wa Mwenyezi Mungu kutokana na madhambi yao.

Karibu dini zote za kipagani zinaamini kwamba kafara wanazozitoa kwa miungu yao ni kwa ajili ya kutaka msamaha wa madhambi yao. Mimea, wanyama na hata watu waliuawa ili kuwa na uhakika ya "rehema ya Mwenyezi Mungu".

Sio hivyo tu bali karibu wafuasi wa dini zote za kipagani huchukua vyakula hasa mikate na pombe, vinavyokuwa vimetengwa kwa ajili ya sadaka kwa miungu.

Wapagani waliamini kwamba kwa kula vyakula hivi vilivyotengwa kwa ajili ya miungu, wao pia (wapagani) walikuwa wanapata baadhi ya sifa na nguvu za kimungu - roho za miungu hao ziliingia na kuishi ndani yao (hao wapagani).

Paulo alichukua imani hii akaiingiza katika Ukristo, akaiita kuwa ni "Sakramenti ya chakula cha Bwana au Ekaristi".

Kwa sababu inachukuliwa kuwa ni sehemu kubwa ya imani ya kuteswa na kufa kwa Yesu.

Mfumo na tendo hili la Ekaristi umekuwa ni moja wa Sakramenti muhimu kabisa katika Ukristo kwa sababu ni alama na ukumbusho wa tendo la Yesu kutoa mwili na damu yake kama kafara na fidia ya dhambi za mwanadamu.

Imani hii ambayo Paulo aliingiza katika Ukristo kutoka kwenye upagani ilimrahisishia sana kazi. Kwa hadhira yake - watu wa mataifa hawakuona taabu yeyote kuingia katika ukristo kwani imani ya Mungu kufa akiwa kijana na baadaye kuwa hai kuwaokoa watu wake ili kuwepo katika imani zao za kipagani.

Ikiwa miungu wao akina Adonis au Mithran waliwahi kufanya kitu cha aina hii kwa ajili yao kwa nini Yesu ashindwe kulifanya hilo sasa hivi?
Wapi Allah anajiita kuwa ni Mungu.

Hili swali utalijibu tu Maamuma wewe weka Aya.

" Mimi ni Mungu mwenyezi, jina langu ni Allah"

Jibu swali nani alikuwambia kuwa Allah ni Mungu Mwenyezi ?

Allah ni ka miungu ka wapagani soma hapa.

The pagan origins of the Islamic
god.

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah. For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kaabah.

Narrated Abdullah:
When the Prophet entered Mecca on the day of the Conquest, there were 360 idols around the Kaa'ba. The Prophet started striking them with a stick he had in his hand and was saying, "Truth has come and Falsehood will neither start nor will it reappear.” (Sahih al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 583)

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses. The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.

Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Huenda kwa waislam mtende ndio kitambulisho zaidi na kwa wakristo hori la ng'ombe ndio kitambulisho kikubwa. Ila inawezekana labda hori la ng'ombe lilikua chini ya mtende na maria/mariam akamzaa yesu/ issa hapo.
 
Back
Top Bottom