Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Mungu Wetu Yesu ni Bora kuliko miungu yenu allah, Allat, aluza, almanata!
Ona muham mad Anavyo bainisha alichoona penye kihenge chake!
[emoji116][emoji116]
مَا كَذَبَ ٱلْفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ﴿١١﴾
Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.
أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?
وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,
عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.
عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.
إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.
مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.
لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.
أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
H
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu
أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?
تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma
Misingi Na Imani Za Ukristo
Tukizungumza kwa haraka haraka, msingi na imani ya Uungu inasema kwamba Yesu ni mwana Mungu - Neno la Mungu lililofanywa mwili.
Hata hivyo, kama tulivyoona hapo nyuma, Yesu mwenyewe hakuwahi kudai kuwa yeye ni Mungu, Paulo alimpa sifa hii kwa sababu moja kubwa: alitaka kupata wafuasi wengi miongoni mwa Warumi na Wagiriki (watu wa mataifa).
Wajentaili (Wagiriki na Warumi) walikuwa ni wapagani waliokuwa wakiabudu miungu wengi wenye historia ndefu iliyojaa imani za ajabu ajabu zisizokuwa na hoja wala dalili za kiakili.
Miungu wengi wa kipagani wa wakati ule - Mithrus, Adonis, Attis na Osiris, hawa wakiwa ni baadhi tu - wote walikuwa ni watoto wa mungu mkuu anayetawala, na kila mmoja wa watoto hawa wa mungu (ambao nao ni miungu) alikufa kwa ajali mbaya katika utoto wake, kisha akaja muda mchache baadaye ili kuokoa maisha ya watu wake.
Paulo alilizingatia hili, akawapa wapagani jambo linalofanana na hilo katika Ukristo, akamfanya Yesu kuwa Mungu, kwa kudai kuwa alikuwa mtoto wa Mungu (Mkuu) na kwamba, yeye pia alikufa kwa ajili ya dhambi zao.
Kwa kufanya hivyo Paulo aliyapatanisha (aliyafananisha) mafundisho ya Yesu na imani za kipagani ili kuufanya Ukristo ukubalike zaidi kwa watu wa mataifa (Warumi na Wagiriki).
Ilivyo hasa, Paulo hakutangaza wazi kwamba msingi na imani hii ya Mungu imetokana na upagani.
Ni yule tu anayejaribu kuichimba historia - watu na utamaduni wao - ndio ataweza kuuona ukweli huu.
Paulo alithibitisha imani na msingi huu wa Uungu kwa namna nyingine. Paulo alihisi kuna sababu kama tano zinazomfanya Yesu awe Mungu.
1) Yesu alizaliwa na mwanamke bikira bila ya "msaada" wa baba wa kibinadamu
Kulijibu hili, tunaweza kuangalia mfano wa Adam, mwanadamu wa kwanza. Aliumbwa bila ya baba wala mama lakini hatumfikirii kuwa yeye ni Mungu.
2) Yesu alifanya miujiza
Kuliangalia hili tunaweza kuangalia mfano wa Nabii Musa na Nabii Elisha, wote walifanya miujiza mikubwa mikubwa, lakini hakuna yeyote kati ya hawa anayefikiriwa kuwa ni Mungu.
Ukweli kwamba Yesu alifanya miujiza sio ushahidi kwamba Yesu alikuwa Mungu, na wakati miujiza hii ilipotokea, ilitokea kwa uwezo na ridhaa ya Mwenyezi Mungu sio kwa uwezo wake Yesu mwenyewe.
Miujiza yake ilifanyika kwa kusudio lile lile kama la Mitume waliotangulia kabla yake nalo ni kuuthibitisha ukweli wa ujumbe na utume wake kwa watu waliokuwa wagumu kuamini.
3) Yesu alikuwa na tabia njema "isiyofikiwa na yeyote"
Kujibu hili tunaweza kuonyesha baadhi ya mifano katika injili - kama vile kumwita Petro "Shetani" katika Mathayo 16:33, na kuwaita wengine "nyoka na kizazi cha nyoka wenye sumu" katika Mathayo 23:33, na katika Mathayo 5:22 tunaambiwa kuwa "anayemwita mwenzake pumbavu" anastahili kuingia moto wa Jahanam.
Hivyo tukiangalia maneno aliyomwambia Petro kuwa ni shetani na kwamba wengine ni nyoka wenye sumu inaleta mashaka juu ya sifa hii kwamba Yesu alikuwa na tabia njema isiyoweza kufikiwa na yeyote.
4) Yesu alifufuka kutoka katika mauti
Ni kweli, "kuyashinda mauti" ni muujiza, lakini vipi kuhusu Nabii Eliya ambaye hakufa kabisa, lakini alichukuliwa kwenda mbinguni moja kwa moja kwa kutumia troli yenye matairi mawili iliyokuwa kama moto (Wafalme wa pili 2:11)?
Ni muujiza mkubwa kabisa, lakini bado hatumchukulii yeye kuwa ni Mungu.
Na mwisho, Wakristo wanasema kwamba:
5) Yesu alitabiriwa katika Agano la Kale
Wakristo hufanya haraka kusoma Isaya 53 kama utabiri wa kuja kwa Yesu na ujumbe wake kwa wanaadam.
Tatizo hapa ni kwamba halikutajwa jina halisi katika sura hii.
Bila kutaja jina kamili, nani anaweza kuelewa ni Nani hasa anayetabiriwa katika sura hii.