Nakushangaa sana unayakataaje Majini wakati Mtume kawaambia ni ndugu zenu wa kweli katika Dini.
................
Jami` at-Tirmidhi 18
Abdullah bin Mas'ud narrated that :
Allah's Messenger said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
..................
Na ni Maislamu yenzenu.
.........
Surah Al-Djini: Ayah 14
وَأَنَّا مِنَّا ٱلۡمُسۡلِمُونَ وَمِنَّا ٱلۡقَٰسِطُونَۖ فَمَنۡ أَسۡلَمَ فَأُوْلَٰٓئِكَ تَحَرَّوۡاْ رَشَدٗا
Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
وَأَنَّا مِنَّا ٱلۡمُسۡلِمُونَ وَمِنَّا ٱلۡقَٰسِطُونَۖ فَمَنۡ أَسۡلَمَ فَأُوْلَٰٓئِكَ تَحَرَّوۡاْ رَشَدٗا
...........
Wewe ni wa kumkanusha Allah na Mtume wake kweli, na anajiita Mwislamu.[emoji849]
Jinga kabisa wewe