Hapa anaeleta ubishi usiokuwa na hoja ni wewe tu naona. Maana unacholeta kinakuwa crashed lakini unajidai kupindisha. Ukweli wewe mwenyeo unajua kabisa kuwa hufuati vitabu alivoshusha Mungu, bali unafuata vitabu vilivochaguliwa kikaoni na wakiristo. Nafsi yako kabisa inakwambia kuwa Yesu sio Mungu uku ushahidi ukiwa nje nje na unauona lakini unafumba macho unajifanya huoni!
Ni vyema kuwa unakiri kama mnayoyasoma yote kwenye Bibilia ni mikono ya mnaowaita Wanafunzi (wengine mkiwa hamuna uhakika nao na wengine ikiwa hamuwajui kabisa) Ukitizama bibilia inakwambia Gospel according to mathew, maana yake ni kuwa alieandika hio Gospel nayo sio mathew bali inamuandishi alieandika kwa mujibu wa Mathew. Sasa hapa ndio udhaifu na uzushi wa bibilia unapoonekana bila ya kuhitaji chochote. Yaani hata hizo injil hazina uhakika kama waandishi ni hao waliotajwa.
mitale na midimu umekosa hoja masikini na kujaribu kulazimisha imani yako pofu.
Mtume anawajua vizuri zaid manasara kuliko mimi na ndio maana akatufundisha kuwa ile bibilia yenu kuwa ni uzushi na Quran imekuja kusafisha uchafu ulioletwa na bibilia. Haiwezekani Mtume wa mungu afanye ngono na watoto wake wa kuwazaa halafu abakie tu ivi ivi na utume. Quran imekuja kufuta story zote mlizozitunga na kufanya Bibilia.
Waislam tunaambiwa tuamini maneno ya Mungu, sio maneno ya mnaowaita nyie mitume wa yesu. Quran inatwambia tuwaulize Ahlul Kitab na sio watu wa bibilia.
Kuna post yangu kabla ya hii uloiquote umeikalia kimya! Bila shaka itakuwa umeelewa ila saiv umebaki ubishi tu
🙂