Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Wewe umevuta bangi Kama huyo unayemuabudu

2 Samuel 22:9 ►

Smoke rose from his nostrils; consuming fire came from his mouth, burning coals blazed out of it.
Weka Aya.
Allah anasema

"Mimi ni Mungu Mwenyezi jina langu ni Allah, niabuduni."

WEKA AYA ALLAH ANAJITAMBULISHA KAMA MUNGU MWENYEZI. KWA KUTAJA JINA LAKE

Mimi naijua lugha ya Kiarabu, weka hiyo matini niisome.
 
Weka Aya.
Allah anasema

"Mimi ni Mungu Mwenyezi jina langu ni Allah, niabuduni."

WEKA AYA ALLAH ANAJITAMBULISHA KAMA MUNGU MWENYEZI. KWA KUTAJA JINA LAKE

YESU SI MUNGU:

KWA SABABU NI MWANA ADAMU

Hakuna aya yoyote katika Biblia inayosema kwamba Yesu ni mungu,
kinyume kabisa na baadhi ya Wakristo wanaoamini kwamba Yesu ni mungu.

Tunaposoma Biblia tunakuta aya kadhaa zinazoeleza kwamba
Yesu ni mwana wa Adamu.

Basi mwana wa Adamu hawezi kuwa mungu wala mwana wa Mungu. Biblia inasema:

1. Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, wakasema mlafi huyu na mlevi. (Mathayo 11:19).

2. Kwani kama vile Yona alivyokuwa mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo, Mwana wa Adamu atakavyokuwa kwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:40).

3. Yesu akamwambia, mbweha wana pango, na ndege wa angani wana
viota, lakini mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake. (Mathayo 8: 20).

Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana wa Adamu. Kwa mfano:

Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo – Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu. Haieleweki ni kwa sheria na kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa Mungu?

4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
(Mathayo 1:1)
 
Wapi Allah anasema

"Mimi ni Mungu Mwenyezi jina langu ni Allah, niabuduni.

Wewe ulijua wapi kuwa Allah ni jina la Mungu aliyeumba Mbingu na nchi ?
 
Mungu wa biblia anaapa

Amos 8:7 (KJV)
7 The Lord hath sworn by the excellency of Jacob, Surely I will never forget any of their works.
Wapi Allah anasema

"Mimi ni Mungu Mwenyezi jina langu ni Allah, niabuduni.

Wewe ulijua wapi kuwa Allah ni jina la Mungu aliyeumba Mbingu na nchi ?

Naomba hiyo Aya Tafadhali
Weka hiyo Matini, Kiarabu nakijua vizuri tu.
 
Allah ni janja janja tu, hajawahi kuumba chochote na sio Mungu muumbaji.

Bado naisubiri Aya ambayo Allah anajitambulisha kwa hadhi yake, na kwa kutaja jina lake ili tujue ndiye Mungu mwumba mbingu na nchi.

"Mini ni Mwenyezi Mungu, jina langu ni Allah"

Au aseme

"Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, jina langu ni Allah"

Kama hakuna Aya ya namna hiyo, Allah atambulike rasmi ni kati ya miungu ya Kiarabu.

Ifike mahali ukweli uwekwe wazi.
 
Tofauti nyingine ni kwmba malaika Gabriel alimtokea Mariam mama wa Yesu nyumbani kwake, na mariam mama wa lssa alitokewa na jibril akiwa msikitini.
Buji umenena la maana sana, jamaa waache kumchakachua mwokozi
Jibril na Gabriel ni jina moja ni sawa na James na Juma hapa ni kwamba Kuna matamshi ya Kiarabu na matamshi ya Kizungu msichanganye watu
 
Hakuona mguu, mkono, kichwa....
Ila kama dhakari na kile cha kike[emoji56][emoji15][emoji12]
Unamaanisha kaona dhakari na kile cha kike.
Hadi anaapa kwa aliyeviumba.
Mungu wa Waislamu anapenda sana hizo mambo ndio maana kawaahidi Bikra 72 na Pombe.
 
Lete Aya, Allah anasema.

"Mimi ni Mungu jina langu ni Allah niabuduni"
Sasa kama hujui!; Biblia Takatifu yoote! IMEFUNUA UJIO WA MUNGU DUNIANI KTK UMBILE BORA LA KIBINADAMU!
Habari ndio Hiyo hutaki meza sumu ya mbewa unune, team mkamua ngama apate tenda, wengine tuambuli uji na maharage kwenye kifuu!![emoji123][emoji106]
 
Jibril na Gabriel ni jina moja ni sawa na James na Juma hapa ni kwamba Kuna matamshi ya Kiarabu na matamshi ya Kizungu msichanganye watu
Kwa msisitizo sana
Jibrili ndio yule yule Gabriel wa kwenye Biblia.
Isa ndie yuleyule Yesu wa kwenye Biblia.
Qurani imewatumia wahusika wale wale wa kwenye Biblia.
Haijapindisha kabisa.
Hii ndio sawa.
 
Sasa kama hujui!; Biblia Takatifu yoote! IMEFUNUA UJIO WA MUNGU DUNIANI KTK UMBILE BORA LA KIBINADAMU!
Habari ndio Hiyo hutaki meza sumu ya mbewa unune, team mkamua ngama apate tenda, wengine tuambuli uji na maharage kwenye kifuu!![emoji123][emoji106]
Mtumishi mbona unanishambulia.
Wamesha kuonyesha Aya, ambayo Allah anajitambulisha kwa kutaja hadhi na jina lake ?

Hebu iweke hapa tuisome. Anaposema.

"Mimi ni Mungu Mwenyezi, jina langu ni Allah."
Au
"Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, jina langu ni Allah"

Ili tumjue kuwa sio kati ya miungu ya Kiarabu.
 
Akili Za govi, sikulaumu
Kama hizi!; muham mad anataka Waislamu waue au wauawe ili wapate pepo
[emoji116][emoji116]
۞ إِنَّ اللَّهَ اشْتَرَىٰ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ أَنفُسَهُمْ وَأَمْوَالَهُم بِأَنَّ لَهُمُ الْجَنَّةَ ۚ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَيَقْتُلُونَ وَيُقْتَلُونَ ۖ وَعْدًا عَلَيْهِ حَقًّا فِي التَّوْرَاةِ وَالْإِنجِيلِ وَالْقُرْآنِ ۚ وَمَنْ أَوْفَىٰ بِعَهْدِهِ مِنَ اللَّهِ ۚ فَاسْتَبْشِرُوا بِبَيْعِكُمُ الَّذِي بَايَعْتُم بِهِ ۚ وَذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ

(AT-TAWBA - 111)
Hakika allah amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa,
 
Ndiyo umeleta ushahidi wa aya Bwana Yesu anasema Mimi ni Mungu nilyevaa mwili wa mwanadamu??
Mungu Wetu Yesu ni Bora kuliko miungu yenu allah, Allat, aluza, almanata!
Ona muham mad Anavyo bainisha alichoona penye kihenge chake!
[emoji116][emoji116]
مَا كَذَبَ ٱلْفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ﴿١١﴾
Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.

أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.

أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
H
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma
 
Wapi Allah anasema

"Mimi ni Mungu Mwenyezi jina langu ni Allah, niabuduni.

Wewe ulijua wapi kuwa Allah ni jina la Mungu aliyeumba Mbingu na nchi ?

Naomba hiyo Aya Tafadhali
Weka hiyo Matini, Kiarabu nakijua vizuri tu.

Vilevile ukisoma Biblia ya Revised Standard Version (RSV) kuhusiana na Isaiah 7:14, wao wamelitafasiri neno la Kihebrania (עַלְמָה) 'almāh{al-maw'} kuwa ni "young woman" Mwanamke Kijana au kwa Kiswahili cha kawaida twaweza kusema Msichana (Kigori) na si kama wanavyotafasiri kwenye biblia zingine kuwa neno ilo lina maana ya "virgin" yaani Bikra au Bikira.

Neno Bikira au Bikra kwa Kihibrania ni [בְּתוּלָה (bəṯūlāh)] limetumika mara 50 kwenye Septuagint.

Hapa chini kuna tafasiri mbalimbali kutoka baadhi ya Biblia

Revised Standard Version (American; RSV)
Therefore the Lord himself will give you a sign. Behold, a young woman[a] shall conceive and bear a son, and shall call his name Imman'u-el
---

Tafasiri Nyingine:

The Jerusalem Bible (Koren Publishing; JBK).
Therefore the Lord himself shall give you a sign: a maiden is with child and she will bear a son, and will call his name Immanuel.
---

New Jerusalem Bible (Catholic; NJB)
The Lord will give you a sign in any case: It is this: the young woman is with child and will give birth to a son whom she will call Immanuel
---

New English Bible (NEB)

Therefore the Lord himself shall give you a sign: A young woman is with child, and she will bear a son, and will call him Immanuel
 
Mungu Wetu Yesu ni Bora kuliko miungu yenu allah, Allat, aluza, almanata!
Ona muham mad Anavyo bainisha alichoona penye kihenge chake!
[emoji116][emoji116]
مَا كَذَبَ ٱلْفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ﴿١١﴾
Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.

أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.

أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
H
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma

Uchunguzi wa karibu, katika dini mbili kati ya hizi - Uyahudi na Uislamu - utaonyesha hili kuwa ni kweli: Wote Wayahudi na Waislamu wanamuabudu Mungu mmoja, Muumba wa Mbingu na Ardhi.

Hii dini nyingine, Ukristo, ina mushkeli kidogo, hususan wakati tunapoelezea maana ya imani ya kumuamini Mungu Mmoja asiyekuwa na mshirika tofauti na inavyoaminiwa na Ukristo.

Badala ya kumfanya Mwenyezi Mungu Mtukufu awe ndio kiini na msingi mkuu wa imani yao, Wakristo wamebadilisha muelekeo wao na kumfanya Yesu, anayeeleweka kwao kama "Yesu kristo" au "Yesu Aliyepakwa mafuta" kuwa ndio msingi mkuu wa imani.

Kwa Wayahudi Yesu alikuwa "Kijana mzuri wa kiyahudi".

Kwa Waislamu Yesu alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu lakini alikuwa binadamu; mmoja wa wajumbe wateule wa Mwenyezi Mungu Mtukufu. Kwa Wakristo, hata hivyo, Yesu ni zaidi ya hayo.

Ukristo, kiini chake kikuu ni Yesu Kristo. Dini hii imepata jina lake kutokana na jina la Yesu Kristo.

Misingi na imani zote muhimu za kikristo kiini chake ni Yesu kristo.

Sikukuu kubwa za Kikristo huwa ni kumbukumbu ya matukio katika maisha ya Yesu Kristo.

Alama ya imani ya Kikristo, msalaba, ni alama ya Yesu Kristo.

Sala na dua za Wakristo huelekezwa kwa Yesu Kristo, kwa vile wanaamini kuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu Mwenyewe huwa hawezi kuombwa na binadamu wa kawaida.

Kwa mujibu wa Mwandishi wa Kikristo Fritz Ridenour: "Msingi wa Ukristo ni kwamba Yesu Kristo hasa ndiye sababu ya kuwepo Ukristo na kwamba yeye ndiye anayeushikilia na kuumiliki".1

Wakristo wengi leo wanashindwa kuelewa kuwepo kwa Mwenyezi Mungu bila ya Yesu kusimama mbele ya Mwenyezi Mungu badala yao.

Bwana Ridenour anasema kwamba Ukristo ni: "....Uhusiano na mwanadamu, Yesu Kristo".

Na Wakristo wengi sana wana imani hii, hawamwelewi Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa namna nyingine yoyote isipokuwa kwa kupitia kwa Yesu Kristo.

Wakristo wanasema mwabudu Mwenyezi Mungu, lakini Yesu pia picha yake iwepo akilini.

Kwa jinsi wanavyomuona - kwa nyongeza ya Mwenyezi Mungu, kama Mungu halisi, Ukristo ni dini yenye miungu wawili, sio mmoja, na dini yenye Mungu zaidi ya mmoja sio dini inayompwekesha Mwenyezi Mungu Mmoja asiye na mshirika.

Hali hii ilikujaje?

Ilikuwaje dini ya Ukristo imbadilishe Mtume wa Mwenyezi Mungu (ambaye ni binadamu) na kumfanya yeye Mwenyewe (Yesu kristo) kuwa Mungu?

  • 1. How To Be A Christian In An Unchristian World, p. 176 (Jinsi ya kuwa Mkristo katika ulimwengu usiokuwa wa kikristo, uk. 176).
  • 2. Ibid, p. 14. (Kitabu hicho hapo juu = Ibid, uk. 14).
 
Mungu Wetu Yesu ni Bora kuliko miungu yenu allah, Allat, aluza, almanata!
Ona muham mad Anavyo bainisha alichoona penye kihenge chake!
[emoji116][emoji116]
مَا كَذَبَ ٱلْفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ﴿١١﴾
Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.

أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.

أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
H
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma

Agano Lililovunjika​

Akiwa amechoshwa na ibada ya masanamu miongoni mwa watu wake, Nabii Ibrahim aliiacha nchi yake karibu miaka 2000 kabla ya Yesu ili apate uhuru wa kumuabudu Mwenyezi Mungu mmoja.

Ilikuwa vigumu kwake kuiacha nyuma familia yake.

Hivyo Mwenyezi Mungu alimbariki kwa kumpa watoto wawili wa kiume.

Kisha akamfariji Nabii Ibrahim kwa kumwambia kuwa mtoto wake mdogo, Is-haq atafanya naye Agano la Milele. Is-haq akazaliwa katika nchi ya Kiyahudi ya watu "Wateule" wa Mungu. (Baadaye tunaona ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa mtoto mwingine wa Nabii Ibrahim, Ismail).

Licha ya heshima na utukufu huu wa kuitwa "watu wateule" wa Mungu, Wayahudi waliendelea bila kuacha kurudia ibada ya masanamu na Mwenyezi Mungu aliendelea kupeleka Mitume mmoja baada ya mwingine ili kuwaonya Wayahudi juu ya kutoridhishwa Kwake na tabia yao.

Baada ya maonyo kushindwa kuibadilisha tabia yao, nchi jirani zilizokuwa maadui ziliingia na kuwapiga vibaya Wayahudi.

Ingawa Mwenyezi Mungu aliwakubalia muda wa amani na nafuu mara nyingi aliposikia kilio chao cha kutaka rehema yake, lakini sasa hivi, hasira Yake ilikuwa kubwa mno kiasi kwamba mnamo mwaka 581 kabla kuja Yesu, kwa sababu ya kiburi na jeuri yao iliyoendelea, Aliruhusu Wababiloni kuwafagia Wayahudi wote wa Ufalme wa Yuda Kusini, ambako Mfalme Nebuchadnezzar na jeshi lake waliosonga mbele na kuupiga vibaya mji wa Jerusalem na wakawachukua Wayahudi kama mateka.

Upande wa Juu wa Ufalme wa Kiyahudi wa Israel ulipatwa na balaa kama hili mwaka 721 kabla ya Yesu katika mikono ya Waassyria.

Wakiwa wametawanywa na jumba lao la ibada kuharibiwa vibaya, Wayahudi waliamua kuanza kufuata sheria ya Mwenyezi Mungu.

Hata hivyo imani ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu mmoja asiye na mshirika ilikuwa imepotea kabisa, badala yake kulikuwa mvurugiko uliokuwa ukiongezeka siku hadi siku wa mambo waliyoyaongeza wenyewe na mengine kuyapunguza katika vitendo vyao vya ibada.

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa ulimwenguni katika kipindi ambacho Yesu alipokea wito kutoka Mwenyezi Mungu wa kumtaka aje kama Mtume kwa Wayahudi.
 
Mungu Wetu Yesu ni Bora kuliko miungu yenu allah, Allat, aluza, almanata!
Ona muham mad Anavyo bainisha alichoona penye kihenge chake!
[emoji116][emoji116]
مَا كَذَبَ ٱلْفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ﴿١١﴾
Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.

أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.

أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
H
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma

Kazi Na Ujumbe Wa Yesu​

"Maana Mwana wa Mtu alikuja kuwaokoa wale waliopotea". (Mathayo18:11)

"Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo". (Mathayo 15:24)

Yesu pia aliweka wazi ni nini Mwenyezi Mungu alimtaka afanye:

"Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mimi mwenyewe, ila Baba aliyenituma ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini". (Yoshua12:49)

"Msidhani ya kuwa nimekuja kutengua sheria ya Musa au mafundisho ya Manabii, sikuja kutengua bali kukamilisha". (Mathayo 5:17)

Uchunguzi makini wa maneno ya Yesu unaonyesha kwamba, kinyume na Wakristo wanavyo fikiri, Yesu hakuwa na nia ya kuanzisha dini mpya; alikuja tu kuukamilisha na kuusisitizia ujumbe ambao Mwenyezi Mungu aliwapa Mitume wote waliotangulia kabla yake: kuwa Mwanadamu alitakiwa atii sheria za Mwenyezi Mungu na amuabudu Mwenyezi Mungu tu.

Hakuna wakati wowote katika kazi na maisha yake ya utume ambapo Yesu alidai kuwa zaidi ya mwanaadamu, aliyepewa ufunuo na kuongozwa na Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Bila chembe ya shaka yeye mwenyewe alijiita kuwa ni mwana wa mtu, na akaweka wazi, katika aya nyingi ndani ya injili, kwamba yeye hakuwa lolote isipokuwa ni Mjumbe na Mtume aliyetumwa na Mwenyezi Mungu.

"Yesu akamjibu, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mwenyezi Mungu peke yake". (Marko 10:18)
".. anayenipokea mimi, hanipokei mimi bali anampokea Yule aliyenituma". (Marko 9:37)

"Na uzima wa milele ndio huu, kukujua wewe uliye peke yako, Mungu wa kweli na kumjua Yesu kristo uliyemtuma". (Yohana 17:3)

"Mimi nimewaambieni ukweli niliousikia kwa Mungu, ninyi mwataka kuniua". (Yohana 8:40)

"Nakwenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu". (Yohana20 :17)

Licha ya juhudi zake zote - maneno ya ajabu pamoja na miujiza mingi - Yesu alikataliwa, hususan na watu wake.

Miaka mitatu baada ya kuanza kazi yake ya utume, alikamatwa na kuhukumiwa kwa shutuma kwamba anasambaza maneno ya chuki miongoni mwa watu dhidi ya watawala na maneno mabaya dhidi ya vitu vyao vitukufu vya kidini.

Mafanikio yalikuwa yamemkwepa - katika mwisho wa maisha yake hapa duniani, alikuwa amepata wafuasi kidogo sana wasiozidi 500.

Hali hii ilibadilika baadaye baada ya kuja nabii mpya, aliyedai kuzungumza kwa jina la Yesu, miaka michache baadaye.
 
Mwanzilishi Halisi Wa Ukristo - Paulo Wa Tarsus​

Mmoja wa wanafunzi hawa wa Yesu (Wanazareti) aliyeitwa Stephano alielekeza mahubiri yake mbele zaidi ambapo alitoa mahubiri makali kukemea maovu mbele ya Mahakimu wa kiyahudi walioeleweka kama Sanhedrin.

Wakifoka kwa hasira kwa sababu ya maneno yake ya "kishetani", mahakimu waliruka na kumkamata, kisha wakampeleka nje ya mji ambako walimpiga mawe mpaka kufa.

Kisa hiki kinapatikana katika "Matendo ya Mitume", sura ya 7, katika Biblia.

Mauaji ya Stephano yalishuhudiwa na kijana mdogo wa kiyahudi aliyeitwa Saulo (Paulo).

Paulo alizaliwa katika mji wa Tarsus, si muda mrefu sana baada ya Yesu.

Saulo (Paulo) alikuwa amejiunga na moja ya madhehebu ya kiyahudi "Pharisees".

Hawa Wapharisees waliojipa mamlaka na kujihalalishia kuwaua wanafunzi wa Yesu (Wanazareti), sasa hivi walikuwa na nia kubwa ya kuendelea kuwakamata na kuwaua wanafunzi wa Yesu.

Kufuatia mauaji dhidi ya Stephano, Paulo mwenyewe alichukua na kufanya kazi muhimu katika kuendeleza mauaji haya dhidi ya wanafunzi wa Yesu.

Utendaji kazi wake katika kuendeleza mauaji haya ulikuwa mzuri mno kiasi kwamba alifanywa kuwa ni ajenti mkuu wa harakati hizi katika mji wa Jerusalem, na alipewa kumbukumbu muhimu ili kuendeleza safisha safisha hii katika miji ya jirani.

Ni takriban miaka ishirini na tano tangu kupaa kwa Yesu mbinguni, ambapo huyu muuaji na mpinzani mkubwa wa Yesu na wafuasi wake alipokuwa njiani kuelekea Damascus kwenda kuwasaka wafuasi wa Yesu ambapo aliona katika ndoto anayodai kuwa alimuona Yesu, aliyemuuliza kuwa kwa nini alikuwa anataka kumuua (Yesu) kwa kuwatesa watu wake (Yesu).

Maelezo mengi yametolewa kuonyesha nini kilimtokea Saulo siku hiyo.

Kama vile ugonjwa unaotokana na kupigwa na miale ya jua kwa muda mrefu hasa kichwani, mawenge na hata kifafa.

Lakini hakuna lenye yakini tukiachilia kwamba maelezo yote haya yanakusudiwa kumbadilisha muuaji wa wanafunzi na wafuasi wa Yesu na adui mkubwa wa ujumbe wa Yesu, na kuwa mhubiri mzuri wa Yesu asiyekuwa na mfano wake.

Saulo alibadilisha jina lake na kuwa Paulo na akaenda katika jangwa la Arabuni ili kutafakari ni jinsi gani angetekeleza amri aliyoamini kuwa imetoka kwa Yesu ya kwenda kuhubiri.

Nini hasa angefanya ilikuwa ni kitendawili kwake, hata hivyo, maadamu wayahudi walikuwa wamemkataa Yesu na ujumbe wake, Paulo hakuona uwezekano wa kuwashawishi kwa mahubiri na kuwapata.

Baada ya kutafakari akaona itakuwa ni vizuri zaidi aache kushughulika na wayahudi na badala yake aeleze jitihada zake kwa wasio kuwa wayahudi (Gentiles). Ili kufanikisha hili busara na akili nyingi vilitakiwa kutumika.

Warumi na Wagiriki ambao hawakuwa Wayahudi ndio hasa Paulo aliowalenga kuelekeza mahubiri yake.

Hawa walikuwa wapagani waliokuwa wakiabudu miungu wa kike na miungu wa kiume na iliyokuwa mingi sana.

Majumba ya ibada za masanamu na masanamu yenyewe yalienea kwa wingi nchi nzima, na sheria ya kirumi iliwataka watu wote, isipokuwa Wayahudi, kusujudia na kutoa heshima kwa miungu hii ya kisanamu.

Paulo alielewa kwamba watu waliokuwa na imani ya kipagani iliyowakolea kiasi hicho wasingeweza kukubali kwamba neema ya Mungu na uokovu vingeletwa na mtu tu aliyeaminiwa kuwa muongofu na mtenda haki.

Ili kupata mafanikio ya haraka katika kazi yake Paulo alielewa wazi kwamba alilazimika "kulegeza" mambo kidogo, akizingatia utamaduni wa Warumi na Wagiriki (Watu wa Mataifa).

Paul Maier, katika kitabu chake "Wakristo wa Mwanzo" (First Christians), anatuambia kwamba ilipita miaka kumi na tatu tanguwakati Paulo "alipopokea wito kutoka kwa Yesu" mpaka alipoanza kuhubiri. Katika hiyo miaka kumi na tatu,

Paulo kwa kutumia ujanja na ubunifu wake wa hali ya juu alijifunza mambo mengi kuhusiana na mila na desturi za Warumi na Wagiriki, ambapo hatimaye alirudi Damaskas akiwa amejipatia silaha muhimu kwa kutambua kwamba Warumi na Wagiriki wangedai na kuhitaji Mungu ambaye wangeweza kumuona na kumshika katika hii dini yao mpya, na alikuwa tayari kuwakubalia hili pindi wakihitaji.

Paulo alifanikiwa sana katika kazi yake hii na aliweza kuwapata Warumi na Wagiriki wengi mno.

Japokuwa dini ya ukristo inachukua jina lake kutoka kwa Yesu kristo, Paulo mkazi wa Tarsus lazima atambulike na kueleweka kuwa ndiye mwanzilishi halisi wa Kristo, kwa vile yeye ndiye aliyebuni na kutunga misingi muhimu na imani za kikristo, na akajenga na kuimarisha Makanisa katika ulimwengu wote wa zama zake.

Wakristo hawalikatai hili:

"Hakuna mtu yeyote katika historia ya ukristo mwenye athari kubwa na umaarufu kama Saulo mkazi wa Tarsus".1

Katika kitabu "The 100" (Watu 100) chenye orodha ya watu wenye athari kubwa ulimwengu na maarufu kuliko wote mia moja mwandishi wa kitabu hicho Michael Hart anasema:

"Hakuna mtu mwingine aliyefanya kazi kubwa ya kueneza ukristo kama Paulo." 2

Kuna tatizo moja kuhusiana na jambo hili, kwamba mafundisho ya Paulo, mwanzilishi halisi wa ukristo, hayawiani na hayawezi kupatikana katika mafundisho ya Yesu wala katika mafundisho ya Mitume waliotangulia kabla yake.

Si hivyo tu, bali Paulo alionana mara chache sana na wanafunzi wa Yesu ambao wangeweza kumuongoza na kumuweka sawa, hawakukubaliana na mafundisho ya upotoshaji ya Paulo, na Paulo alilielewa hili.

Hatimaye hata hivyo, Paulo alifanikiwa kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kushawishi watu, mbali na ukweli kwamba yeye na wafuasi wake waliwazidi sana wanafunzi wa Yesu kwa nyadhifa zao kijamii, utajiri na elimu, aliweza kupata idadi kubwa ya wafuasi wa Kirumi na Kigiriki.

Mafundisho ya Yesu yaliyokusudiwa kwa Wayahudi yaliyokuwa yakifundishwa na wanafunzi wake hayakuweza kufurukuta tena mbele ya mafundisho ya Paulo.

Hebu tujaribu kufanya uchunguzi wa makini juu ya uzushi ambao Paulo aliuingiza katika dini "yake" ya Ukristo.
  • 1. Islam Revealed, p. 129 (Uislamu wawekwa wazi, uk. 129).
  • 2. The 100: A Ranking of the Most Influential Persons In History, p. 62 (Maarufu 100. Mtiririko wa watu wenye Athari kubwa kuliko wote katika Historia, uk. 62.)
 
Back
Top Bottom