Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ndo mana sisi tunaamini kwamba mwenye bibilia kuna maneno ya ukweli(machache)na mengi ya uongo ambayo hayana msingi.

Kwa hiyo unapotoa hoja za Uungu wa yesu ndani ya bibilia ujue hayo ni katika maandiko ya uongo ambayo yanafaa kutazamwa kwa jicho la pili..

Issa na mama yake mariamu kaelezewa ndani ya Qurani kiuadilifu kabisa pasi na kumtilia chumvi wala nini.

Maandiko yanayomsema yesu ni Mungu ni maandiko ya uongo ambayo hayaingii hata akilini, kwani hata baadhi ya hao wakristo wenyewe wanaukana Uungu wa yesu.
Utakuwa unachanganya.
Quran inawataka waislam waulize wasomi wa vitabu kabla yake. 10:94
Sisi tunasoma vitabu kabla ya quran ndio tunakuelekeza kuhusu Yesu mkuu, inabidi utusikie.
Ni propaganda kisema vimepotoshwa maana vikisemwa viko sahihi uislam unakuwa hauna sababu ya uwepo mkuu.

nakwambia ukweli, wala sijipendekezi humu nipate wafuasi au nibadili mtu dini.
 
nilitamani umkosoe Yesu kwa Kauli zake. '' kabla baba yenu hajakuwako MIMI NIKO''
kwanza nakupongeza maana unahekima kuliko wale wayahudi walioambiwa hivyo maana wao waliona anakufuru kujiita Mungu yaani '' MIMI NIKO'' au kiebrania YHWH. hili jina hata wenyewe wanaogopa kulitamka halipo kwa utukufu wake. ytasikia Mungu wanamuita elohim, adonai, etc lkn sio yhwh.
Kwa jinsi ilivyo bibilia, ni vigumu kukubali kwamba hayo ni maneno ya Yesu, kwa sababu yanaleta utata na ndani yake kuna kupingana kwenye hicho kitabu, na hasa ukizingatia njia Bibilia ilivyokusanywa na kufanywa kitabu. Nafikiri huwezi kukataa kuwa kuna vitabu vingi sana ambavyo hamkuvieka kwenye Bibilia kwa maslahi yenu wenyewe.

KITENDO CHA KUTAKA KUJUA ALIKUWA ANAFANYA NINI, NI ISHARA UNAANZA KUKUBALIANA NA YESU AMBAYE NAJUA UNAMUHESHIMU SANA KUWA HASEMI UONGO NA YEYE HUSEMA KWELI TU. ALIKUWA ANATAWALA NA BABA YAKE HUKO JUU. NA SIO MARA YA KWANZA MUNGU KUJA KAMA BINADAMU, ALIKUJA SIKUHILE KWA IBRAHIMU NA AKALA KABISA MSOSI, kwenye tanuru la moto la nebukadneza alishuka pia. ALIPOBADILIKA PALE MLIMANI K
Mimi unanifurahisha jinsi unevyo interprate msimamo wa mtu. Yaani una interprate kibibilia zaid kuliko kiuhalisia. Nikisema kibibilia namaanisha kwa matamanio yako. Yaani vile unavotaka kuamii ndivo unavotafsiri actions/msimamo n.k to fit what you want to believe.
Yesu/Issa ibn Mariam namuheshimu sana kama nnavowaheshimu mitume wote walioshushwa na Allah s.w. Ila kama unamzungumzia yule mtu aliesulubiwa msalabani, kusema ukweli yule simjui ni nani mana Quran inatufundisha kuwa yule hakuwa Issa ibn mariam, bali ni mtu miongoni mwa waasi aliefananishwa na Issa.

Siku hio alokuja kwa Ibrahimu, alikuja akiwa na jina gani?

KWA NINI HATAKI KUITWA MWEMA?
PAMOJA NA YOTE, AKIWA KTK UMBILE LA BINADAMU ALIISHI AKIZIELEKEZA SIFA ZOTE KWA BABA YAKE. NA ALITAKA YULE DOGO ALIYEKUJA ATAMBUE HILO WEMA NI KWA BABA TU HATA WEWE JIFUNZE HILO MAANA YULE KIJANA INAONEKANA ALIKUWA ANATAKA KUMPAMBAPAMBA AU ALIKUWA ANAMKEJELI.
Hapa mtoto mdogo anaweza kukwambia kuwa hayo maneno yanazungumzwa kuhusu mtoto na baba. Kwaio hapa unatuambiwa kuwa Yesu na Mungu ni 2 different entities. Kiswahili ulichotumia hapo sio kigumu wala hakina haja ya kwenda ndani wala huwezi kuingia ndani maana hakuna maana iliojificha hapo. Kuna Yesu na Kuna Baba yake Yesu ambae ni Mungu.

wafilipin2:5
Muwe na nia kama ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu;6 yeye kwa asili
alikuwa sawa na Mungu, lakini hakuona kwamba kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kush ikilia sana. 7 Bali alikubali kuacha vyote, akachukua hali ya mtumishi, akazaliwa na umbo la wanadamu.8 Alipochukua umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii mpaka kufa, tena kifo cha msalaba. 9 Kwa sababu hiyo, Mungu alimwinua juu kabisa, akampa jina ambalo ni kuu kuliko majina yote; 10 ili kwa jina la Yesu, kila goti lipigwe, mbinguni na duniani na kuzimu; 11 na kila ulimi ukiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu
Wallah hapo wacha nitoe busu la kuelekea hewani... yaani ni busu la kuashiria kuwa umeleta kitu kizuri sana, na ni muendelezo wa ushahidi kuwa Yesu sio Mungu, na uzuri zaidi umeuleta mwenyewe, busu la furaha kama mzazi anapombusu mwanawe kwenye kichwa!

Kwenye Blue - Tafsiri yake kiundani ni kuwa Agenda ya Yesu na ya Mungu ni Sawa, wote walitaka kuwaokoa Mayahudi. Ni sawa na kusema kuwa Stalin an hitler wote wamoja (maanake wote madikteta). Lakini tuseme kuwa ni hio tafsiri utakavyo wewe. Mimi nikisema, Ronaldo ni sawa na Messi, maana yake, Kuna Ronaldo na Kuna Messi, wawili tofauti. Ni kiswahili chepesi kabisa.

Kwenye Purple (nisamehe kama sio purple)- Sasa hii aya inatuambiwa kuwa yesu hakuwa mwanadamu tangia mwanzo bali alikuwa another entity ambayo ikachukua umbo la kibinaadamu... Kwenye Black sasa inasema Mungu kamwinua, Kamwinua nani? Yesu? au nani alieinuliwa juu?
 
Quran inawataka waislam waulize wasomi wa vitabu kabla yake. 10:94
Quran inatwambia tuwaulize Ahlul Kitab. Ahlul Kitab ni watu ambao wameshushiwa vitabu kutoka kwa Allah. Hawa ni Mayahudi ambao walishushiwa taurat Aloshushiwa Mussa, Injil aloshushiwa Issa, Zabur aloshushiwa Daud.

Sasa kuna mwehu wa kikiristo anasema Wakiristo hamfuati Taurati maana ni USHENZI.

Injil aloshushiwa Issa hamnayo. na Zabur nayo wameshushiwa mayahudi tena tukuulize wewe ambae vitabu vyote havikuhusu?
 
Acha nitulie niwe msomaji mana naona unamwaga elimu ya kutosha kwa huyo bwana mdogo hapo..

Nilipenda nichangie ila naona bora nitulie nijifunze Zaidi.

Ubarikiwe sana
Kwa jinsi ilivyo bibilia, ni vigumu kukubali kwamba hayo ni maneno ya Yesu, kwa sababu yanaleta utata na ndani yake kuna kupingana kwenye hicho kitabu, na hasa ukizingatia njia Bibilia ilivyokusanywa na kufanywa kitabu. Nafikiri huwezi kukataa kuwa kuna vitabu vingi sana ambavyo hamkuvieka kwenye Bibilia kwa maslahi yenu wenyewe.

Mimi unanifurahisha jinsi unevyo interprate msimamo wa mtu. Yaani una interprate kibibilia zaid kuliko kiuhalisia. Nikisema kibibilia namaanisha kwa matamanio yako. Yaani vile unavotaka kuamii ndivo unavotafsiri actions/msimamo n.k to fit what you want to believe.
Yesu/Issa ibn Mariam namuheshimu sana kama nnavowaheshimu mitume wote walioshushwa na Allah s.w. Ila kama unamzungumzia yule mtu aliesulubiwa msalabani, kusema ukweli yule simjui ni nani mana Quran inatufundisha kuwa yule hakuwa Issa ibn mariam, bali ni mtu miongoni mwa waasi aliefananishwa na Issa.

Siku hio alokuja kwa Ibrahimu, alikuja akiwa na jina gani?

Hapa mtoto mdogo anaweza kukwambia kuwa hayo maneno yanazungumzwa kuhusu mtoto na baba. Kwaio hapa unatuambiwa kuwa Yesu na Mungu ni 2 different entities. Kiswahili ulichotumia hapo sio kigumu wala hakina haja ya kwenda ndani wala huwezi kuingia ndani maana hakuna maana iliojificha hapo. Kuna Yesu na Kuna Baba yake Yesu ambae ni Mungu.

Wallah hapo wacha nitoe busu la kuelekea hewani... yaani ni busu la kuashiria kuwa umeleta kitu kizuri sana, na ni muendelezo wa ushahidi kuwa Yesu sio Mungu, na uzuri zaidi umeuleta mwenyewe, busu la furaha kama mzazi anapombusu mwanawe kwenye kichwa!

Kwenye Blue - Tafsiri yake kiundani ni kuwa Agenda ya Yesu na ya Mungu ni Sawa, wote walitaka kuwaokoa Mayahudi. Ni sawa na kusema kuwa Stalin an hitler wote wamoja (maanake wote madikteta). Lakini tuseme kuwa ni hio tafsiri utakavyo wewe. Mimi nikisema, Ronaldo ni sawa na Messi, maana yake, Kuna Ronaldo na Kuna Messi, wawili tofauti. Ni kiswahili chepesi kabisa.

Kwenye Purple (nisamehe kama sio purple)- Sasa hii aya inatuambiwa kuwa yesu hakuwa mwanadamu tangia mwanzo bali alikuwa another entity ambayo ikachukua umbo la kibinaadamu... Kwenye Black sasa inasema Mungu kamwinua, Kamwinua nani? Yesu? au nani alieinuliwa juu?
 
Kwahiyo alipokuja kama Mungu halafu kazi ya uumbaji viumbe wengine alikaimu kwa nani maana tunajua Yesu alipokuwa duniani alikuwa akimtumikia Mungu pekee aliyepo mbinguni.Huu ni msiba mkubwa kuamini hiki unachokiamini.
hawa sio miungu na taarifa zao zipo. waliumbwa na Mungu. Na Yesu kama mwana wa Mungu ambaye anauungu wote ndani yake Bibilia inasema hakuna kilichofanyika ambachokilifanyika pasipo yeye wakiwemo hao wanadamu wa kwanza.

Yesu sio kiumbe, ni kiumba. alifanyika kiumbe ili akiokoe kiumbe dunia alipomaliza hiyo project alirudi tena kama muumba ktk enzi zake. Na siku sio nyingi atarudi kama Mungu sio yule tena tuliyezoea kumdhihaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quran inatwambia tuwaulize Ahlul Kitab. Ahlul Kitab ni watu ambao wameshushiwa vitabu kutoka kwa Allah. Hawa ni Mayahudi ambao walishushiwa taurat Aloshushiwa Mussa, Injil aloshushiwa Issa, Zabur aloshushiwa Daud.

Sasa kuna mwehu wa kikiristo anasema Wakiristo hamfuati Taurati maana ni USHENZI.

Injil aloshushiwa Issa hamnayo. na Zabur nayo wameshushiwa mayahudi tena tukuulize wewe ambae vitabu vyote havikuhusu?
Wakati hayo yanaandikwa mkuu yote hayo unayosema hatuna yalikuwa mikononi mwq wakristo hadi wale wq madina. Hata mkristo waraqa alikuwa nayo. Hakukuwahi kuandikwa kitabu na Yesu Bali wanafunzi Wa Yesu ndio walioandika hiyo injili aliyoleta Yesu. Ni propaganda tu ya kuvikwepa hivi. Mtume anawafahamu manasara kuliko wewe, na anazijua injili hizo nne mkuu. Manasara au thenashara ni wafuasi wa kristo mimi nikiwemo. Mbona nawaeleza tena mnanibishia!!!
 
Kwa kifupi tuu Yesu ni Mwana wa Mungu.
Na njia pekee ya kuja duniani ni kuja kwa njia ya mwanadamu. Hivyo alipitishwa tuu kwenye tumbo la Mariam.
 
Kwahiyo alipokuja kama Mungu halafu kazi ya uumbaji viumbe wengine alikaimu kwa nani maana tunajua Yesu alipokuwa duniani alikuwa akimtumikia Mungu pekee aliyepo mbinguni.Huu ni msiba mkubwa kuamini hiki unachokiamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuja ktk umbile la mwanadamu bila utukufu ndio maana mnatchanganyikiwa na kushindwa kuconnect dots kama mayahudi. Yeye ni mwana ndio kwa thread hii tumegundua Yesu hakuwa mtu wa kawaida mwenye Baba
Binadamu... Baba yakr ni Mumgu baba wote ni wa milele na
Acha nitulie niwe msomaji mana naona unamwaga elimu ya kutosha kwa huyo bwana mdogo hapo..

Nilipenda nichangie ila naona bora nitulie nijifunze Zaidi.

Ubarikiwe sana
To a hija mkuu usihofu. Kuacha kutoa maoni yako na kukasimisha uwezo huo kwawingime ni kuukosea adabu ubinadamu wako. Quran inamtaka muislam kujadili mambo ya dini mkiu.
Ila naheshimu maamuzi yako
 
Alikuja ktk umbile la mwanadamu bila utukufu ndio maana mnatchanganyikiwa na kushindwa kuconnect dots kama mayahudi. Yeye ni mwana ndio kwa thread hii tumegundua Yesu hakuwa mtu wa kawaida mwenye Baba
Binadamu... Baba yakr ni Mumgu baba wote ni wa milele na

To a hija mkuu usihofu. Kuacha kutoa maoni yako na kukasimisha uwezo huo kwawingime ni kuukosea adabu ubinadamu wako. Quran inamtaka muislam kujadili mambo ya dini mkiu.
Ila naheshimu maamuzi yako
Hapana, nimeona kwamba kuna kitu fulani hujafahamu kuhusu misimamo ya uislamu.
 
Quran inatwambia tuwaulize Ahlul Kitab. Ahlul Kitab ni watu ambao wameshushiwa vitabu kutoka kwa Allah. Hawa ni Mayahudi ambao walishushiwa taurat Aloshushiwa Mussa, Injil aloshushiwa Issa, Zabur aloshushiwa Daud.
Sasa kuna mwehu wa kikiristo anasema Wakiristo hamfuati Taurati maana ni USHENZI.
Injil aloshushiwa Issa hamnayo. na Zabur nayo wameshushiwa mayahudi tena tukuulize wewe ambae vitabu vyote havikuhusu?
Kama hawaelewi hapa,hawatokaa waelewe Tena until dooms day.
 
Soma Aya ya 1 hadi ya 3
Kwa kifupi tuu Yesu ni Mwana wa Mungu.
Na njia pekee ya kuja duniani ni kuja kwa njia ya mwanadamu. Hivyo alipitishwa tuu kwenye tumbo la Mariam.
Screenshot_2019-06-25-15-12-11.jpeg
 
Kama hawaelewi hapa,hawatokaa waelewe Tena until dooms day.
Mtulie mnapopewa ilim na manasara.
Huyu Bwana hajui hata kwa mini khadija alipomuona mtume anatetemeka akiwa ametokewa huko pangoni hakumpeleka kwa waganga au hospital alimpeleka kwq waraqa mkristo au nasara kama mimi. Yule alikuwa syriac christian. Receivd text ambazo zilikuwa mikononi mwa Syriac Christians kama Bibilia pamoja na vingine zilikuwemo vitabuvya injili Marko, Mathew, luka, yohana.

Hata ukiingia syria allepo ukaxhimba unaweza kukutana na sxrolls. Mtume alivikuta kwake, tena huyu bwana alikuwa anavitafsiri kwa kiarabu. Anaposema injili anajuaanamaanisha hii mnayoipinga kipropagabda tu.n i
 
Wakati hayo yanaandikwa mkuu yote hayo unayosema hatuna yalikuwa mikononi mwq wakristo hadi wale wq madina. Hata mkristo waraqa alikuwa nayo. Hakukuwahi kuandikwa kitabu na Yesu Bali wanafunzi Wa Yesu ndio walioandika hiyo injili aliyoleta Yesu. Ni propaganda tu ya kuvikwepa hivi. Mtume anawafahamu manasara kuliko wewe, na anazijua injili hizo nne mkuu. Manasara au thenashara ni wafuasi wa kristo mimi nikiwemo. Mbona nawaeleza tena mnanibishia!!!
Hapa anaeleta ubishi usiokuwa na hoja ni wewe tu naona. Maana unacholeta kinakuwa crashed lakini unajidai kupindisha. Ukweli wewe mwenyeo unajua kabisa kuwa hufuati vitabu alivoshusha Mungu, bali unafuata vitabu vilivochaguliwa kikaoni na wakiristo. Nafsi yako kabisa inakwambia kuwa Yesu sio Mungu uku ushahidi ukiwa nje nje na unauona lakini unafumba macho unajifanya huoni!

Ni vyema kuwa unakiri kama mnayoyasoma yote kwenye Bibilia ni mikono ya mnaowaita Wanafunzi (wengine mkiwa hamuna uhakika nao na wengine ikiwa hamuwajui kabisa) Ukitizama bibilia inakwambia Gospel according to mathew, maana yake ni kuwa alieandika hio Gospel nayo sio mathew bali inamuandishi alieandika kwa mujibu wa Mathew. Sasa hapa ndio udhaifu na uzushi wa bibilia unapoonekana bila ya kuhitaji chochote. Yaani hata hizo injil hazina uhakika kama waandishi ni hao waliotajwa. mitale na midimu umekosa hoja masikini na kujaribu kulazimisha imani yako pofu.

Mtume anawajua vizuri zaid manasara kuliko mimi na ndio maana akatufundisha kuwa ile bibilia yenu kuwa ni uzushi na Quran imekuja kusafisha uchafu ulioletwa na bibilia. Haiwezekani Mtume wa mungu afanye ngono na watoto wake wa kuwazaa halafu abakie tu ivi ivi na utume. Quran imekuja kufuta story zote mlizozitunga na kufanya Bibilia.

Waislam tunaambiwa tuamini maneno ya Mungu, sio maneno ya mnaowaita nyie mitume wa yesu. Quran inatwambia tuwaulize Ahlul Kitab na sio watu wa bibilia.

Kuna post yangu kabla ya hii uloiquote umeikalia kimya! Bila shaka itakuwa umeelewa ila saiv umebaki ubishi tu 🙂
 
Sasa Yusuph ali date nae vipi ili hiyo mimba iingie na wakati alikuwa bikra,mosi! Pili sio Dini zote zinaamini mume wa Mariam alikuwa Yusuph
 
Ndo mana sisi tunaamini kwamba mwenye bibilia kuna maneno ya ukweli(machache)na mengi ya uongo ambayo hayana msingi.

Kwa hiyo unapotoa hoja za Uungu wa yesu ndani ya bibilia ujue hayo ni katika maandiko ya uongo ambayo yanafaa kutazamwa kwa jicho la pili..

Issa na mama yake mariamu kaelezewa ndani ya Qurani kiuadilifu kabisa pasi na kumtilia chumvi wala nini.

Maandiko yanayomsema yesu ni Mungu ni maandiko ya uongo ambayo hayaingii hata akilini, kwani hata baadhi ya hao wakristo wenyewe wanaukana Uungu wa yesu.
Ila quraan inayosema mtume alisilimisha majini yakawa waislam ndio unaamini? Yani unaamini majini kuliko kumuamini Mungu.
 
Hapa anaeleta ubishi usiokuwa na hoja ni wewe tu naona. Maana unacholeta kinakuwa crashed lakini unajidai kupindisha. Ukweli wewe mwenyeo unajua kabisa kuwa hufuati vitabu alivoshusha Mungu, bali unafuata vitabu vilivochaguliwa kikaoni na wakiristo. Nafsi yako kabisa inakwambia kuwa Yesu sio Mungu uku ushahidi ukiwa nje nje na unauona lakini unafumba macho unajifanya huoni!

Ni vyema kuwa unakiri kama mnayoyasoma yote kwenye Bibilia ni mikono ya mnaowaita Wanafunzi (wengine mkiwa hamuna uhakika nao na wengine ikiwa hamuwajui kabisa) Ukitizama bibilia inakwambia Gospel according to mathew, maana yake ni kuwa alieandika hio Gospel nayo sio mathew bali inamuandishi alieandika kwa mujibu wa Mathew. Sasa hapa ndio udhaifu na uzushi wa bibilia unapoonekana bila ya kuhitaji chochote. Yaani hata hizo injil hazina uhakika kama waandishi ni hao waliotajwa. mitale na midimu umekosa hoja masikini na kujaribu kulazimisha imani yako pofu.

Mtume anawajua vizuri zaid manasara kuliko mimi na ndio maana akatufundisha kuwa ile bibilia yenu kuwa ni uzushi na Quran imekuja kusafisha uchafu ulioletwa na bibilia. Haiwezekani Mtume wa mungu afanye ngono na watoto wake wa kuwazaa halafu abakie tu ivi ivi na utume. Quran imekuja kufuta story zote mlizozitunga na kufanya Bibilia.

Waislam tunaambiwa tuamini maneno ya Mungu, sio maneno ya mnaowaita nyie mitume wa yesu. Quran inatwambia tuwaulize Ahlul Kitab na sio watu wa bibilia.

Kuna post yangu kabla ya hii uloiquote umeikalia kimya! Bila shaka itakuwa umeelewa ila saiv umebaki ubishi tu 🙂
Uchafu gani quraan imesafisha zaidi ya kuwaambia mshirikiane na shetani? Mie nimeshasema kiruani ni mpango wa shetani kuwapeleka kuzim. Hapa haditume amethibitisha hajui alifa atakwenda wapi na atafanywa nini.uhamadi aliyeenda kuongea na majini na kuwapa quran na wakasilim leo mtu amfuate si atakuwa mpumbavu. Qur'an nasema bila shaka ni kitabu kipumbavu cha uongo cha shatani kinachowapeleka watu kuzim.
 
Back
Top Bottom