Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
View attachment 1138874
Huyu muhindi anaitwa Ramit Raghav kapata mtoto akiwa na miaka 94. Shida ilikuwa ni Mama kupita Muda wa Menopause mababu wanazaa tu mkuu.
Man, hayo maneno ya kwamba mume alikuwa mzee sio ya kwangu mimi bali ya bible unayoiamini wewe na wala sio maneno ya Quran!
14Elisha akasema, “Tumfanyie nini basi?” Gehazi akamjibu, “Hakika hana mtoto, na mumewe amekuwa mzee.” 15Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni. 16Elisha akamwambia “Majira kama haya mwakani, utakapotimia mwaka ujao, wakati kama huu, utakuwa na mtoto mikononi mwako.” Mama akamjibu, “La, Bwana wangu! Wewe ni mtu wa Mungu; usinidanganye mimi mtumishi wako!” 17Lakini huyo mwanamke akapata mimba na kuzaa mtoto wakati kama huo mwaka uliofuata, kama Elisha alivyokuwa amemwambia.
SOURCE: 2 Wafalme 14-17.

Ni wapi walipoandika mwanamke alikuwa tasa au mwanamke kupita menopause?! Au unaibishia Bible ambayo ndiyo kitabu chenu?

Kabla hatujaendelea na hayo mengine, nioneshe kifungu kinachosema huyo mwanamke alikuwa tasa!
 
Uchafu gani quraan imesafisha zaidi ya kuwaambia mshirikiane na shetani? Mie nimeshasema kiruani ni mpango wa shetani kuwapeleka kuzim. Hapa haditume amethibitisha hajui alifa atakwenda wapi na atafanywa nini.uhamadi aliyeenda kuongea na majini na kuwapa quran na wakasilim leo mtu amfuate si atakuwa mpumbavu. Qur'an nasema bila shaka ni kitabu kipumbavu cha uongo cha shatani kinachowapeleka watu kuzim.
Jifunze kuandika kwanza wewe kikuku.

Kwa kukusaidia tu ni Bibilia ndio iliosema mtume kafanya ngono na watoto wake wa kuwazaa. Huu uchafu haujwahi kutokea kwa mtume yoyote pumbavu zako na za kanisa lako mlokosa akili!

Naam mtume wetu hawezi kujipa kiburi, yupo humble. Ila cha kushangaza ni kuwa Mungu wenu hajiwezi mpaka anajielekea mwenyewe na kujiomba msaada?? Upumbavu kama huu mnao wakiristo kwenye kitabu mnachokiita bibilia ilokosa uhakika!
 
Mtaje huyo mtume aliefanya hivyo!
 
Wewe wenyewe unakiri Biblia ndio kitabu kikuu na kinafuatwa. Huyo Yesu mnae mkataa mnajua kabisa ndio anaekuja kuhukum ulimengu na kufufua wafu. Sasa kama sio kukosa heshima ni nini? Nakuambia achana na Muhamadi maana kafa na hamjui aliko. Ila Yesu yuko hai tena Mbinguni kwenye utukufu wake na atarudi. Mfate ili uokolewe maana siku ikifika utasema heri usingesikia Maneno ya uzima.
 
Kama yy ni Mungu Mama yake aliumbwa na nani? Je, Huyo yusufu aliumbwa na nani kama alikuwepo kabla ya Mungu wenu...Wazazi wake Bikra maria (Maryam) waliumbwa nani, Adam na Eva (Hawa) waliumbwa na nani wakat walikuwpo kabla ya Mnaesema Mungu Yesu (Issa Mwana wa Maryam) kuzaliwa
Sisi tunafahamu kwamba Yesu hakuzaliwa kwa namna ya kawaida inayofahamika kwa kuwa ni Mungu. Sasa tunawauliza wanaosema sio Mungu kwa nini basi yanamuita kwa jina la mama yake na sio la mume wa mama yake?
 
Kama yy ni Mungu Mama yake aliumbwa na nani? Je, Huyo yusufu aliumbwa na nani kama alikuwepo kabla ya Mungu wenu...Wazazi wake Bikra maria (Maryam) waliumbwa nani, Adam na Eva (Hawa) waliumbwa na nani wakat walikuwpo kabla ya Mnaesema Mungu Yesu (Issa Mwana wa Maryam) kuzaliwa
Ungeujua ukuu wa Mungu na Uweza wa MUNGU wala usinge uliza hayo maswali. Ila ukifunga na kuomba mbona yeye atakujibu bila shida. Embu Muombe Mungu YEHOVA uone kama hatakujibu. Achana kwanza na huyo mungu wa quraan maana yeye hana uwezo wa kutoa majibu. Yeye ni BUBU na KIZIWI wala hasikii.
 
Hakika Kwa Allah ni marejeo yetu.
 
wewe inaoneshea shule hujapita, basi ata kiswahili kikupige chenga?
17. Tukampelekea Roho wetu, HAWA wengi walikuwa kina nani maana inaonesha walikuwa mobu kubwa , Yesu na huyo issa sio wamoja wapo tofauti kabisa,
 
Kama yy ni Mungu Mama yake aliumbwa na nani? Je, Huyo yusufu aliumbwa na nani kama alikuwepo kabla ya Mungu wenu...Wazazi wake Bikra maria (Maryam) waliumbwa nani, Adam na Eva (Hawa) waliumbwa na nani wakat walikuwpo kabla ya Mnaesema Mungu Yesu (Issa Mwana wa Maryam) kuzaliwa
Mambo ya umama ni ya Binadamu.
Yeye ni Mungu mwana kwa Uwepo na wadhifa huku Baba yake ni Mungu Baba. Lao ni Moja.
Ukija na hoja ya kutaka mama atokee atakayemzaa Yesu Huko Mbinguni ntakuambia tu '' Yesu anasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa hivyo hakuna mambo ya kuzaa''' ukiambiwa mwana wa Mungu sio kwa kuzaa bali kwa uwepo
 
Jifunze kuandika kwanza wewe kikuku.

Kwa kukusaidia tu ni Bibilia ndio iliosema mtume kafanya ngono na watoto wake wa kuwazaa. Huu uchafu haujwahi kutokea kwa mtume yoyote pumbavu zako na za kanisa lako mlokosa akili!

Naam mtume wetu hawezi kujipa kiburi, yupo humble. Ila cha kushangaza ni kuwa Mungu wenu hajiwezi mpaka anajielekea mwenyewe na kujiomba msaada?? Upumbavu kama huu mnao wakiristo kwenye kitabu mnachokiita bibilia ilokosa uhakika!
nyie jamaa mmedanganywa sana.
mmedanganywa kuwa mtu kuwa mtume basi automatic ni sinproof.
Hivi unajua hata mtume Mohammad aliwahi Kurogwa. Huu ni udhaifu mkubwa maana hana ulinzi wa Malaika wa Mungu. Wachawi wanapenya bila shida.

Sasa mitume wote wa kwenye Bibilia ukimuacha Yesu ambaye ni Mungu alikuja kama mtume kwa miaka 30 Kisha akarudi katika Enzi zake baada ya kumariza mradi wa kumkomboa mwanadamunwengine wote walikosea mara nyingi tu kama ulikuwa hujui.
Ukiambiwa kuna mtume sinless huo ni ushahidi tosha huyo ni mtume wa uongo.

Ushahidi.
Nuhu alilewa akabaki uchi
Ibrahim alizini na mfsnyakazi wake, alisema uongo kuwa mkewe ni dada yake.
Yakobo muongo wa kutupwa.
Daudi mzinzi aliyetubu.
Suleiman zinaa
Petro Kiherehere na kutoamini
Yohana hasira
Paulo Muuaji.
Eliya Kutokuamini
Isaya mtu wa midomo michafu

etc

wote hawa ni wanadamu wadhambi walioamua kubadilika na ktumiwa na Mungu.
Ukíona kitabu kinaandika mambo chanya na mema tu ya Mtume bila uovu wake kama mwanadamu huo ni ushahid hicho kitabu ni cha uongo
 
Naon swali limekutatiza
Mungu ndiye muanzilishi wa ulimwengu huu bibilia inakiri kuwa ulimwengu na vilivyomo vilikuwepo kabla ya yesu kuzaliwa
Ko ulimwengu huo haukuwa na Mungu? Kuanzia kizazi cha maryam kurud nyuma hakikuw na Mungu mpaka Maryam alipomzaa Mungu (masikitiko makubwa) kuweni open minded kubalin kusom zaid
Ungeujua ukuu wa Mungu na Uweza wa MUNGU wala usinge uliza hayo maswali. Ila ukifunga na kuomba mbona yeye atakujibu bila shida. Embu Muombe Mungu YEHOVA uone kama hatakujibu. Achana kwanza na huyo mungu wa quraan maana yeye hana uwezo wa kutoa majibu. Yeye ni BUBU na KIZIWI wala hasikii.
 
Man, hayo maneno ya kwamba mume alikuwa mzee sio ya kwangu mimi bali ya bible unayoiamini wewe na wala sio maneno ya Quran!SOURCE: 2 Wafalme 14-17.

Ni wapi walipoandika mwanamke alikuwa tasa au mwanamke kupita menopause?! Au unaibishia Bible ambayo ndiyo kitabu chenu?

Kabla hatujaendelea na hayo mengine, nioneshe kifungu kinachosema huyo mwanamke alikuwa tasa!
Umetoa mifano miwili. Kuhusu Menopause nakujibu hoja ya Sarah na Ibrahim. Ila hii fsmilia kama shida ni mume mzee wenda alijua anaweza akafa. lkn hata kama akiwa mzee wakutokuweza kuzalisha nimesema Mungu anaweza kureverse Reproductive organs zote zikawa za kijana rijali na wwakapata mtoto kama wanadamu wengine.

Mifano hii yote haina uhusiano na Yesu. Yesu hakukuwa na mfumo wowote wa kibinadamu kuoata mtoto uliotumika, ndio maana nasema Mariam alitumika tu kama daraja la Kumuitia Yesu Mungu mwana aliyejishusha na kuwa kama mwanadamu
 
Ally Hassan Mwinyi, je hilo Mwinyi ni jina la mama yake?

Kassim Majaliwa

Hamisi Kigwangala

Shehe Issa bin Simba

Ally Mohamed Shein

Sheikh Issa Ponda

Hayo majina ya ubini wao ni majina ya mama zao?
Ubini wa mama hutumika na waislam Kwa mtoto ambaye hana baba Kwa maana amezaliwa kabla wazazi hawajaona!na c kila MTU! Tunamwita Issa bin Mariam Kwa kuwa Mama yake Nabii Issa hakuwahi kuingiliwa na binaadam Kwa ujauzito wa nabii Issa.
 
Wanapenda kujinasibisha kuwa wao ndio ahlul kitab wakati hawanacho ata kimoja. Wao ni watu wa Council of Nicea.
unauelewa finyu juu ya watu wa kitabu.
hivi unajua wakayi council of nicea inakaa kulikuwa na wakristo wengi tu wenye kitabu iran, iraq, syria, uarabuni, hadi india mabao hayo mambo hawakuhusika lkn vitabu vyao (received texts) bado vilikuwa vinaendana na hivyo vya magharibi.
 
Nashindwa kuiweka sawa nitoke nje ya mada kidogo sheria ya kiislam mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ataitwa kwa ubini wa mama yake,
Yesu hakuwa na baba ila mama alikuwa naye ndo mana anaitwa masihi bin marium au issa mwana wamarium
 
Hapa anaeleta ubishi usiokuwa na hoja ni wewe tu naona. Maana unacholeta kinakuwa crashed lakini unajidai kupindisha. Ukweli wewe mwenyeo unajua kabisa kuwa hufuati vitabu alivoshusha Mungu, bali unafuata vitabu vilivochaguliwa kikaoni na wakiristo. Nafsi yako kabisa inakwambia kuwa Yesu sio Mungu uku ushahidi ukiwa nje nje na unauona lakini unafumba macho unajifanya huoni!

Ni vyema kuwa unakiri kama mnayoyasoma yote kwenye Bibilia ni mikono ya mnaowaita Wanafunzi (wengine mkiwa hamuna uhakika nao na wengine ikiwa hamuwajui kabisa) Ukitizama bibilia inakwambia Gospel according to mathew, maana yake ni kuwa alieandika hio Gospel nayo sio mathew bali inamuandishi alieandika kwa mujibu wa Mathew. Sasa hapa ndio udhaifu na uzushi wa bibilia unapoonekana bila ya kuhitaji chochote. Yaani hata hizo injil hazina uhakika kama waandishi ni hao waliotajwa. mitale na midimu umekosa hoja masikini na kujaribu kulazimisha imani yako pofu.

Mtume anawajua vizuri zaid manasara kuliko mimi na ndio maana akatufundisha kuwa ile bibilia yenu kuwa ni uzushi na Quran imekuja kusafisha uchafu ulioletwa na bibilia. Haiwezekani Mtume wa mungu afanye ngono na watoto wake wa kuwazaa halafu abakie tu ivi ivi na utume. Quran imekuja kufuta story zote mlizozitunga na kufanya Bibilia.

Waislam tunaambiwa tuamini maneno ya Mungu, sio maneno ya mnaowaita nyie mitume wa yesu. Quran inatwambia tuwaulize Ahlul Kitab na sio watu wa bibilia.

Kuna post yangu kabla ya hii uloiquote umeikalia kimya! Bila shaka itakuwa umeelewa ila saiv umebaki ubishi tu 🙂
BIBILIA HAIJAANDIKWA NA MUNGU.
Mungu ameandika sehemu tatu tu.
1: Kwenye mbao za mawe.
2: Mene mene tekel na Peresi Kwenye ukuta ukumbini mbele ya mfalme belshaza
3: Ardhini alipoandika mbele ya Wale jamaa waliokuwa wanataka kumponda yule kahaba.

Mungu amekuwa akiandika, akiongea na akifikia wanadamu kupitia wanadamu waliovuviwa na Roho wake. Huu ni utaratibu wa Mungu. Angeweza kuandika akavitupa vitabu kutoka mbinguni ila ndio mfumo aliochagua. Ndio maana nakushangaa kuona wakina yohana, marko wanaandika.

Pia kushangaa nicea kufanya cannonization ni unafiki wa kiwango cha rami. Hujui mkuu walikaa wanadamu kama 20 hivi kupitisha version ya quran ambayonsina hakika kama bado ni ileile aliyoshushiwa Mohammad. Unajua Uthman ndiye aliyejifungia na wenzake na wakatoka na version ya quran copy saba na akazigawa kisha akazituma nchi kadhaa moja ikibaki maka, na licha ya maeneo hayo kuwepo waislam hadi leo lkn hakuna hata copy moja ambayo imebaki kama ushahidi?

Yale maneno ya Bibilia ninsahihi mkuu
 
Naon swali limekutatiza
Mungu ndiye muanzilishi wa ulimwengu huu bibilia inakiri kuwa ulimwengu na vilivyomo vilikuwepo kabla ya yesu kuzaliwa
Ko ulimwengu huo haukuwa na Mungu? Kuanzia kizazi cha maryam kurud nyuma hakikuw na Mungu mpaka Maryam alipomzaa Mungu (masikitiko makubwa) kuweni open minded kubalin kusom zaid
Nimekuambia uwe unauliza maswali kama msomi. Yesu alikuepo kabla ya misingi ya Dunia kuwepo. Yeye ndio alieumba kilakitu. Na ukuu wake na uweza wake hawezi shindwa kuja kama alivyokuja.
 
Mtaje huyo mtume aliefanya hivyo!
Kasome Mwanzo, uchafu wenu... Shhhhhhh mtoto mdogo anatakiwa anyamaze wakubwa wakiongea.
Capture.JPG
 
Wewe wenyewe unakiri Biblia ndio kitabu kikuu na kinafuatwa. Huyo Yesu mnae mkataa mnajua kabisa ndio anaekuja kuhukum ulimengu na kufufua wafu. Sasa kama sio kukosa heshima ni nini? Nakuambia achana na Muhamadi maana kafa na hamjui aliko. Ila Yesu yuko hai tena Mbinguni kwenye utukufu wake na atarudi. Mfate ili uokolewe maana siku ikifika utasema heri usingesikia Maneno ya uzima.
Wapi hapo nimekiri kuwa Bibilia ndio kitabu kikuu na kinafuatwa? Niachane na Muhammad nimfate Yesu alosulubiwa msalabani? 😀 Nimfate Mungu aloshindwa kujizuia asisulubiwe? Nimfate Mungu anaekufa? Duh!
 
Back
Top Bottom