Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Matendo yake

Ni kweli Biblia haikueleza lolote juu ya Yesu kuongea siku aliyozaliwa. Na haijulikani ni kwanini tukio zito na muhimu kama hilo lisigusiwe na Biblia!

Hata hivyo, napenda kukufahamisha kwamba si hilo tu liliachwa kuandikwa ndani ya Biblia lakini Bwana Yohana anatuambia kuwa:

"Kuna na mambo mengine mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa kwa moja kwa moja nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa" (Yohana 21:25).

Kwa kauli hiyo ya Mwinjilisti Yohana inatosha kuwawondoa wasiwasi iwapo mtapata alililofanya Yesu au Isa (a.s) ndani ya Qur’an Tukufu ambalo halimo ndani ya Biblia Takatifu.

Kwa kuwa litakuwa katika orodha ya mambo ambayo yalihofiwa kuandikwa moja kwa moja kama anavyotueleza Yohana ndani ya Biblia hapo juu. Kwa hali hiyo, hoja hiyo haiwezi kutofautisha Yesu na Isa.

Kwa bahati mbaya katika kudai kwenu kwamba Bwana Yesu ndiye "Mwanzo na mwisho" mnanukuu kitabu cha ufunuo wa Yohana.

Hamjajuwa kwamba mafundisho na miongozo ya kitabu hicho inawahusu Wayahudi peke yao.

Na yeyote aliyejifanya kuwa ni Myahudi wakati siye, kitabu hicho kilimshutumu kwamba anatokana na kundi (sinagogi) la shetani. (Tazama Ufunuo 2:9).

Kwa hiyo, kitabu hicho kuwatoa wasiokuwa Wayahudi kunadhihirisha kuwa Bwana Yesu au Nabii Isa (a.s) ni "Mwanzo na mwisho" kwa Wayahudi.

Ni wa "mwanzo" kwa Wayahudi kwa kuzaliwa bila ya baba (Luka 1:34-35) nani wa "mwisho" kwa Wayahudi kwa kuwa baada ya yake haji tena Mtume mwingine kwa ajili ya nyumba ya Israeli (Mathayo 21:33-34).
Nabii Issa alioa?
 
Kwa mantiki hiyo, maelezo ya Qur’an Tukufu juu ya "udada" wa Mariamu kwa Nabii Haruna bado haujatofautisha Yesu na Isa.

Lakini maana yake ni yule yule mmoja, Bikira Mariamu anayetajwa na Qur’an na Biblia kama tulivyoona hapo juu.
Hii Muhammad aliharibu pakubwa mno , hairekebishiki kabisa
-Imran alikuwa na watoto Musa ,haruni na Miriam
-Mariam mama wa Isa baba yake ni Imran
Muhammad alipokuwa bize kuunda dini yake akachanganya madesa akampachika Mariam kwa kina Musa na haruni

Hiyo hairekebishiki kabisa ata uje na page 1000 za maelezo , yeye mwenyewe alivyoona kaaribu ikabidi akomae tu ila walikuwa wanamcheka sana
 
Pili: Yesu au Nabii Isa (a.s.) aliumbwa kwa tamko tu la Mwenyezi Mungula kusema "kuwa na akawa" kama Adamu (a.s.) (3:59).
-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
 
Mada inasemaje kwani, na wewe umeuliza nini.
Angalia Mada na Swali lako.
Huwa unarukaruka sana hoja we Mujahidina.

Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.

Kuhusu Roho Mtakatifu aliyetabiriwa na Yesu bado ni Nabii Muhammad(s.a.w) kwa kuwa lipo sharti moja muhimu alilolitaja Bwana Yesu la kuondoka kwanza yeye (Yesu) ndipo huyo msaidizi mwingine aje.

Na Mtume Muhammad(s.a.w) alitumwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) pamoja na mambo mengine alikuja kutangaza kwamba ndiye Nabii aliyebashiriwa kuja kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.). Yesu alisema:

"Lakini mimi nawaambia iliyo kweli, yawafaa ninyi mimi niondoke kwa maana mimi nisipoondoka, huyo msaidizi hatakuja kwenu, bali mimi nikienda zangu nitampeleka kwenu". (Yohana 16:7).

Kauli hiyo ya Yesu inatofautiana wazi na dai la wakristo hasa tunaporejea katika maandiko mengine mengi ya Biblia yanayoonyesha kwamba Roho Mtakatifu wanayemfikiria Wakristo alikuwepo hata kabla Yesu hajazaliwa(Marko 12:36), kabla Yesu hajaondoka (Yohana 20:22-23), mama yake (Yesu)alichukua mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu (Luka 1:35) n.k.

Kuhusu kudumu kwa huyo msaidizi kusudio lake siyo lazima Mtume Muhammad(s.a.w) awepo pamoja nasi kimwili. Lakini kudumu kwa usahihi kwa mafundisho yake ni hoja tosha ya kukiri kwamba Mtume Muhammad (s.a.w) yupo pamoja nasi daima. (Qur’an 2:154).

Hii inafanana na ile kauli ya Yesu alipowaambia wafuasi wake kwamba:"…Natazama, mimi niko pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari. (Mathayo 28:20).

Hii haina maana kuwa leo Yesu tuko pamoja naye duniani kimwili.

Lakini watu walio duniani, lakini wakawa hawana faida wala manufaa yoyote kwa mwanadamu, watu kama hao ndio Bwana Yesu aliowaita kwamba ni "wafu"japokuwa wanapumua. (Mathayo 8:21).

Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri kuwa Yesu ndiye Isa aliyemtabiri Nabii Muhammad (s.a.w) kama nilivyoonyesha hapo juu kinyume na mnavyopotosha.

Wakristo mnaendelea kusema "Biblia inasema Yesu alisulubiwa na kufa msalabani na hatimaye kufufuka" (Mathayo 16:21).

Qur’an 4:157 inakataa kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Isa.

Aya hiyo (ya Mathayo 16:21) ya Biblia aliyoitaja hapo juu Che mittego inatia shaka kuamini kwamba ni Yesu ndiye aliyetamka maelezo yake, kwani naamini kwamba Yesu kamwe hawezi kutabiri jambo kisha lisitokee.

Mwandishi wa aya hiyo Bwana Mathayo Mtakatifu anasema:

"Tangu wakati huo Yesu alianza kuonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa Makuhani,na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka" (Mathayo 16:20).

Pamoja na maelezo hayo, lakini ukisoma Mathayo 27:27 unakuta waliompa mateso, kumsulubu mpaka kufa ni askari wala siyo wazee, wakuu wa makuhani wala waandishi kama ilivyotabiriwa na aya hiyo (ya Mathayo 16:21).

Kwa utata huo, ndio maana Qur’an Tukufu ikathibitisha kwamba "Hawakumwua wala hawakumsulubu". (4:157-158).

Na huu ni ushahidi tosha unaothibitisha kwamba Nabii Isa wa Qur’an ndiye Yesu wa Biblia.

Isingekuwa hivyo, Qur’an isingejishughulisha kabisa na suala la kukanusha madai ya Wakristo ya kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.).

Napenda kumuelewesha mgen kwamba watu wa vitabu wa kabla yetu tulioagizwa tuwaulize siyo Wakristo na mtu kama mgen na Che mittoga wanaozuwa na kupotosha wazi maandiko na ukweli kwa ujumla.

Kwanza Wakristo ni watu waliozuka miaka mitatu baada ya Bwana Yesu (Nabii Isa) kuondoka (Matendo 11:25-26).

Ni Uislamu na Waislamu wamekuwepo tangu zama za Nabii Adamu (a.s.) (30:30, 2:213).

Hivyo, watu waliokuwa kabla yetu siyo Wakristo, bali ni Mayahudi na Manasara waliokuwa wakiijua kweli iliyokuwemo ndani ya Torati, Zaburi, Injili na Nyaraka sahihi za Manabii na kuifuata.

Watu hao ni ndugu zetu Waislamu walitutangulia na siyo Wakristo.

Aidha, elimu ya roho ambayo binadamu wote (na si Waislamu peke yao)ambayo hawakupewa isipokuwa kidogo, ni elimu ya kuijua kiundani roho ile inayompa uhai kiumbe, na si elimu ya "kiroho" kwa maana ya "ujuzi wa mambo ya Mwenyezi Mungu" kama anavyopotosha mgen.

Hakuna mtu yeyote anayeweza kuonyesha japo picha ya roho yake ilivyo. Namsihi mgen kwamba mara nyingine asipende kuchanganya mambo kwa kuingiza mada isiyohusika katika mjadala husika.
 
-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
Tulia upate daawa

Vitu vyengine sio ulishwe , unaweza hata kumuuliza mchungaji wako 😛 😛
 
Hii Muhammad aliharibu pakubwa mno , hairekebishiki kabisa
-Imran alikuwa na watoto Musa ,haruni na Miriam
-Mariam mama wa Isa baba yake ni Imran
Muhammad alipokuwa bize kuunda dini yake akachanganya madesa akampachika Mariam kwa kina Musa na haruni

Hiyo hairekebishiki kabisa ata uje na page 1000 za maelezo , yeye mwenyewe alivyoona kaaribu ikabidi akomae tu ila walikuwa wanamcheka sana

Aliyeharibu ni Paulo aliyewatia kwenye ibada ya Ushirikina

Biblia na Quran zote mbili zinakubali kwamba alikuwa MLAWI yaani mshiriki wa kabila la urithi wa "makuhani" au "makuhani" katika Uyahudi. (Wote hatimaye wana wa Arun)

Ninajuaje hili?

Binamu ya Mariamu alikuwa Elizabeth ambaye tunaambiwa "wa jamaa ya kikuhani" ( Luka 1:5, 36 ).

Tazama pia Quran 3:35-36 (inasema Mariamu alikuwa wa ukoo wa ukuhani wa Imran).

Mzao wa kike wa ukuhani wa kurithi angeweza kabisa kuitwa "dada wa Haruni!
 
Tulia upate daawa

Vitu vyengine sio ulishwe , unaweza hata kumuuliza mchungaji wako 😛 😛
Jibu maswali kama nilivyoliuliza
Huwezi kudanganya watu kama watoto

-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
 
Aliyeharibu ni Paulo aliyewatia kwenye ibada ya Ushirikina

Biblia na Quran zote mbili zinakubali kwamba alikuwa MLAWI yaani mshiriki wa kabila la urithi wa "makuhani" au "makuhani" katika Uyahudi. (Wote hatimaye wana wa Arun)

Ninajuaje hili?

Binamu ya Mariamu alikuwa Elizabeth ambaye tunaambiwa "wa jamaa ya kikuhani" ( Luka 1:5, 36 ).

Tazama pia Quran 3:35-36 (inasema Mariamu alikuwa wa ukoo wa ukuhani wa Imran).

Mzao wa kike wa ukuhani wa kurithi angeweza kabisa kuitwa "dada wa Haruni!
Hilo Muhammad alishaharibu halirekebishiki kabisa 😂🤣😂

Imran , Musa ,Haruni Miriam hii ndio biblia
Yeye akaja na Isa wake Eti
Imran , haruni , Mariam

Matamshi Miriam na Mariam yapo karibu Sana ndipo alipoingia chaka kabisa
 
Nabii Issa alioa?

MKE WA YESU

Biblia inasema kwamba Bwana Yesu Kristo alikuwa akipatikana na mwanamke mmoja aitwaye Mariam Magdalena.

Yeye alikuwa karibu sana na Yesu. Vitendo vyao vinaonesha kwamba, walikuwa mume na mke au marafiki wapenzi.

Sisi hatuamini kwamba nabii anafanya urafiki na mwanamke na kumpangusa miguu yake kwa kichwa na kum’busu, bali yeye alikuwa mke wake.

Basi tusome Biblia kisha tuone kwamba huyo alikuwa nani?:

1. “Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya marhamu. Akasimama nyuma karibu na miguu yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake, akiibusu-busu miguu yake na kupaka yale marhamu. Basi yule Mfarisayo aliyemwalika alipoona vile, alisema moyoni mwake. Mtu huyu kama angekuwa nabii angemtambua mwanamke huyu amgusaye, ni nani, na ni wa namna gani ya kwamba ni mwenye dhambi. (Luka 7:37-38).

2. “Basi mtu mmoja alikuwa hawezi Lazaro wa Bethana, mwenyeji wa mji wa Mariamu, dada yake.

Ndiye Mariam yule aliyempaka Bwana marhamu, akamfuta miguu kwa nywele zake, ambaye Lazaro nduguye alikuwa hawezi (Yohana 11:1-2).

3. “Basi Mariam akatwaa ratili ya marhamu ya nardo safi yenye thamani nyingi, akimpaka Yesu miguu, akamfuta miguu kwa nywele zake.’’ (Yohana 12:3).

4. “Akamgeukia yule mwanamke, akamwambia Simoni, wamuona mwanamke huyu? niliingia nyumbani kwako, hukunipa maji kwa miguu yangu, bali huyu amenidondoshea machozi miguu yangu; na kuipangusa kwa nywele zake. Wewe hukunibusu; lakini huyu tangu nilipoingia hakuacha kunibusu sana miguu yangu. Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka kichwa changu mafuta’’ (Luka 7:44-46).

5. “Basi Mariamu pale alipokuwapo Yesu, na kumuona, alianguka miguuni pake, akamwambia Bwana, kama ungalikuwepo hapa, ndugu yangu hangali kufa. Basi Yesu alipomuona analia na wale Wayahudi aliyofuatana nao wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake akasema mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. Yesu akalia machozi.’’ (Yohana11:32-35).

6. “Biblia inaeleza habari ya arusi moja, iliyofanyika huko Kana ya Galilaya. Imeandikwa: “Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo, Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake. Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai. Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia. Mamaye akawaambia watumishi, lolote atakalowaambia, fanyeni. Basi kulikuwako huko mabalasi sita ya mawe, nayo yamewekwa huko kwa desturi ya Wayahudi ya kutawadha, kila moja lapata kadiri ya nzio mbili tatu. Yesu akawaambia, jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaza hata juu. Akawambia, sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa meza. Wakapeleka. Naye mkuu wa meza alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), Yule mkuu wa meza alimwita Bwana arusi, akamwambia, kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa.” [Yohana 2:1-10].

Katika aya hizi mambo yafuatayo yanathibitisha kwamba arusi ile ilikuwa ya Bwana Yesu Kristo.

(A) Bwana Yesu, mama yake na wanafunzi wake walikuwepo huko. Kualikwa katika arusi ya mtu mwingine haingewezekana. Kwa sababu hawakuwa na uhusiano mzuri na watu wengine, ila waalikwa wote. Basi arusi ilikuwa ya Yesu mwenyewe.

(B) Wakati divai ya arusi ilipokwisha, Mariamu mama yake Yesu, alishituka na alihangaika sana, na mara moja alikwenda kwa Bwana Yesu kumwambia afanye chochote sasa, maana itakuwa fedheha mbele ya wageni.

Mahangaiko ya Bi Mariamu yanaonesha kwamba yeye hakuwa mgeni bali alikuwa mwenyeji na msimamizi wa arusi ya mwanawe Yesu. Waila wageni hawatishiki kwa kupungua au kwisha chakula.

(C) Wakati Bwana Yesu aliambiwa apange mpango wa kuongeza divai ya arusi, alimwambia mama yake kwamba leo mimi ni bwana arusi, hivyo siwezi kuhangaika. Kwa sababu ya kukaa juu ya kiti cha Bwana arusi, saa yangu haijawadia.

(D) Bi Mariam aliwaita wanafunzi kumsaidia Yesu kupanga mpango wa divai, wote walishughulika kufanya kazi ile.

Hiyo inaonesha kwamba arusi ilikuwa ya Bwana Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakimsaidia katika shughuli za arusi. Maana hawakuwahi kufanya kitu kama hiki kabla.

(E) Mkuu wa meza alikuwa mtu mwingine. Kama arusi alikuwa siyo Yesu basi yeye angekuwa mkuu wa meza kulingana na heshima yake. Lakini kama Yesu alikuwa bwana arusi basi mwingine anaweza kuwa mkuu wa meza.

(F) Yule mkuu wa meza alimwita bwana arusi na kumpongeza kwa kutengeneza divai nzuri. Kwavile bwana Yesu ndiye aliyetengeneza divai basi ni yeye pia aliyekuwa bwana arusi.

Basi arusi ya Kana ya Galilaya ilikuwa ni arusi ya Bwana Yesu.

Je, mtu aliyeendelea kufanya mapenzi na mwanamke au aliyeoa anaweza kuwa mungu?
 
Jibu maswali kama nilivyoliuliza
Huwezi kudanganya watu kama watoto

-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
Inavyoelekea hata husomi ninavyokuandikia otherwise hata usingaliuliza swali hilo
 
Hilo Muhammad alishaharibu halirekebishiki kabisa 😂🤣😂

Imran , Musa ,Haruni Miriam hii ndio biblia
Yeye akaja na Isa wake Eti
Imran , haruni , Mariam

Matamshi Miriam na Mariam yapo karibu Sana ndipo alipoingia chaka kabisa
Chaka umeingia wewe kwani hutaki kuelewa

Yaani wale mayahudi waliosilimu Yemen na saudi arabia na wanaosilimu hivi sasa hawalijui hilo , uje ulijuwe wewe unayeleta ubishi baada kula ugali na maharage

Inaelekea kiswahili kinakupiga chenga kwa hivyo nakuwekea kwa English

Mary, the biological sister of Aaron?

This lengthy diatribe that Muhammad mistook Jesus for Esau (brother of Jacob) is based on this passage:

"Then she brought him to her own folk, carrying him. They said:O Mary! Thou hast come with an amazing thing. O SISTER OF AARON! Thy father was not a wicked man nor was thy mother a harlot."

Quran 19:27-28

The Christian IDOL-WORSHIPPERS claim that since the MOTHER of ESAU was REALLY the BIOLOGICAL SISTER of AAROON the Prophet made a "mistake."

However, It is clear that Mary WAS figuratively a "O SISTER OF AAROON" - WHY?

Because both the Bible and Quran agree she was a LEVITE i.e. a member of the tribe of hereditary "cohens" or "priests" in Judaism. (All ultimately descendants of Aaroon)

How do I know this?

Mary's cousin was Elizabeth whom we are told "belonged to a priestly family" (Luke 1:5, 36).

See also Quran 3:35-36 (stating Mary was descendent of priestly line of Imran).

A female descendent of the hereditary priesthood could quite properly be called a"sister of Aaroon!
 
Inavyoelekea hata husomi ninavyokuandikia otherwise hata usingaliuliza swali hilo
Apo uchomoki mpaka uweke verse la sivyo kiri hakuna verse kama hiyo na Allah kadanganya

Mfano
Mwa 1:3-5 SUV
Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Maswali ni Aya

-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
 
Apo uchomoki mpaka uweke verse la sivyo kiri hakuna verse kama hiyo na Allah kadanganya

Mfano
Mwa 1:3-5 SUV
Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Maswali ni Aya

-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa

Rudi ukasome tena niliyokuandikia unakuja kwa ubishi wala sikuandikii tena maadamu husomi
 
Apo uchomoki mpaka uweke verse la sivyo kiri hakuna verse kama hiyo na Allah kadanganya

Mfano
Mwa 1:3-5 SUV
Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Maswali ni Aya

-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa

Mungu akasema ndio kasema mungu ?? hayo ni maneno ya nani ?? Akili iliyoota magovi ni shida
 
Mwenyezi Mungu (s.w.t.) ndani ya Qur’an Tukufu amewanukuu Wayahudi kumuita Bi. Mariamu kuwa ni dada ya Haruna. Pamoja na hivyo, "udada" unaokusudiwa hapo ni wa:

Kiukoo kwa kuwa Bi. Mariamu na Haruna wote wanatoka katika ukoo wa Lawi.

Ushahidi wa hili tunaupata katika Injili ya Luka 1:36 inayoeleza uhusiano wa Mariamu na Elizabeti (mama yake Nabii Yohana Mbatizaji) ambaye ni mmojawapo wa uzao wa Haruni wa ukoo wa Lawi (Luka 1:5).

Kiutumishi wa kazi za Mungu, kwa kuwa Bi. Mariamu na Haruna wote walikuwani watumishi wa Mungu hasa kwa vile ukoo wao (Walawi) ndivyo Mungu alivyokwisha mteua maalum kwa kazi hiyo (Kutoka 40:12-16 na Luka 1:38).

Kiucha Mungu. Kwa kuwa Bi. Mariamu alikuwa ni mcha Mungu neema aliyopewa na Mungu (Luka 1:30) kama vile Haruna pia.

Na hii inafanana na ile kauli ya Bwana Yesu au Nabii Isa (a.s.) aliyosema:

"Kwa maana yeyote atakayefanya mapenzi ya Baba yangu aliye Mbinguni,huyu ndiye ndugu yangu, umbu langu na mama yangu". (Mathayo 12:50).

Hapa haina maana kwamba eti kwa vile Bw. Augustine ataamua kufanya mapenzi ya Mungu basi ndio atakuwa ndugu ya Yesu wa kuzaliwa. Hapana! Lakini atakuwani ndugu yake kiimani (kiucha Mungu) tu.

Kwa mantiki hiyo, maelezo ya Qur’an Tukufu juu ya "udada" wa Mariamu kwa Nabii Haruna bado haujatofautisha Yesu na Isa.

Lakini maana yake ni yule yule mmoja, Bikira Mariamu anayetajwa na Qur’an na Biblia kama tulivyoona hapo juu.
Sijakuuliza ulicho Jibu dogo[emoji849][emoji12]
Wapi muham mad alishahadia kuwa Abdul??

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Sijakuuliza ulicho Jibu dogo[emoji849][emoji12]
Wapi muham mad alishahadia kuwa Abdul??

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Nilikuuliza zaidi ya mara 1000 wapi yesu alisema mimi ni mungu , nimevaa mwili wa binaadamu , unakimbia na kuja kwa id nyengine na kutuletea maswali kama hayo
 
Qur’an kusema Nabii Isa au Yesu aliumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t.)sawa na alivyoumbwa Nabii Adamu (a.s.):-

Mosi: Ni kuthibitisha (hakika) kwamba Bwana Yesu naye kama viumbe wengine aliumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t.) kwani ni Mwenyezi Mungu pekee yake ndiye aliyeumba kila kitu (Isaya 44:24 na Qur’an 6:101-1020.

Pili: Yesu au Nabii Isa (a.s.) aliumbwa kwa tamko tu la Mwenyezi Mungula kusema "kuwa na akawa" kama Adamu (a.s.) (3:59).

Tatu: Kwa kuwa Nabii Adamu (a.s.) (ndiye mtu wa kwanza kuumbwa) aliumbwa kwa udongo, vile vile Nabii Isa au Yesu (a.s) naye kwa kuwa alikaa tumboni mwa mama yake Bi. Mariamu kwa muda kadha ni wazi kuwa naye amerithi mwili ambao asili yake ni udongo kupitia mama yake.

Hivyo, naye Yesu pia ni udongo kama Nabii Adamu (a.s.).

Biblia haijaeleza mahali popote kwamba Yesu ni nafsi ya Mungu kama mnavyopotosha.

Pia suala la kuwepo kabla ya ulimwengu si kwa Yesu peke yake bali ni kwa wanadamu wote (rejea Zaburi90:1-2, Waefeso 1:4 na Warumi8:29-30) kwa shuhuda hizo, ni dhihiri kuwa binadamu wengine wote wana haki ya kusema "walitoka kwa Mungu", wakimaanisha kwamba "Muumbaji wao ni Mwenyezi Mungu".

Ama Bwana Yesu kusema kwamba yeye si wa ulimwengu huu haina maana nyingine yoyote zaidi ya kuonyesha ni jinsi gani asivyothamini maisha ya kidunia na vishawishi vyake vyote badala ya maisha ya akhera.

Na hii hata Mtume Muhammad (s.a.w) alikwishaambiwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) kwamba:

"…Na maisha ya dunia (hii) si kitu ila ni starehe idanganyayo (watu)".(3:185).

Kwa hali hiyo, Yesu ndiye yule yule Nabii Isa bin Mariamu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) bila ya baba kama Qur’an na Biblia vinavyoeleza.
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.
O

Yesu kwani ndilo jina alilokuwa akiitwa ??? 😛 😛 😛
 
Kuhusu Roho Mtakatifu aliyetabiriwa na Yesu bado ni Nabii Muhammad(s.a.w) kwa kuwa lipo sharti moja muhimu alilolitaja Bwana Yesu la kuondoka kwanza yeye (Yesu) ndipo huyo msaidizi mwingine aje.

Na Mtume Muhammad(s.a.w) alitumwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) pamoja na mambo mengine alikuja kutangaza kwamba ndiye Nabii aliyebashiriwa kuja kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.). Yesu alisema:

"Lakini mimi nawaambia iliyo kweli, yawafaa ninyi mimi niondoke kwa maana mimi nisipoondoka, huyo msaidizi hatakuja kwenu, bali mimi nikienda zangu nitampeleka kwenu". (Yohana 16:7).

Kauli hiyo ya Yesu inatofautiana wazi na dai la wakristo hasa tunaporejea katika maandiko mengine mengi ya Biblia yanayoonyesha kwamba Roho Mtakatifu wanayemfikiria Wakristo alikuwepo hata kabla Yesu hajazaliwa(Marko 12:36), kabla Yesu hajaondoka (Yohana 20:22-23), mama yake (Yesu)alichukua mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu (Luka 1:35) n.k.

Kuhusu kudumu kwa huyo msaidizi kusudio lake siyo lazima Mtume Muhammad(s.a.w) awepo pamoja nasi kimwili. Lakini kudumu kwa usahihi kwa mafundisho yake ni hoja tosha ya kukiri kwamba Mtume Muhammad (s.a.w) yupo pamoja nasi daima. (Qur’an 2:154).

Hii inafanana na ile kauli ya Yesu alipowaambia wafuasi wake kwamba:"…Natazama, mimi niko pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari. (Mathayo 28:20).

Hii haina maana kuwa leo Yesu tuko pamoja naye duniani kimwili.

Lakini watu walio duniani, lakini wakawa hawana faida wala manufaa yoyote kwa mwanadamu, watu kama hao ndio Bwana Yesu aliowaita kwamba ni "wafu"japokuwa wanapumua. (Mathayo 8:21).

Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri kuwa Yesu ndiye Isa aliyemtabiri Nabii Muhammad (s.a.w) kama nilivyoonyesha hapo juu kinyume na mnavyopotosha.

Wakristo mnaendelea kusema "Biblia inasema Yesu alisulubiwa na kufa msalabani na hatimaye kufufuka" (Mathayo 16:21).

Qur’an 4:157 inakataa kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Isa.

Aya hiyo (ya Mathayo 16:21) ya Biblia aliyoitaja hapo juu Che mittego inatia shaka kuamini kwamba ni Yesu ndiye aliyetamka maelezo yake, kwani naamini kwamba Yesu kamwe hawezi kutabiri jambo kisha lisitokee.

Mwandishi wa aya hiyo Bwana Mathayo Mtakatifu anasema:

"Tangu wakati huo Yesu alianza kuonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa Makuhani,na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka" (Mathayo 16:20).

Pamoja na maelezo hayo, lakini ukisoma Mathayo 27:27 unakuta waliompa mateso, kumsulubu mpaka kufa ni askari wala siyo wazee, wakuu wa makuhani wala waandishi kama ilivyotabiriwa na aya hiyo (ya Mathayo 16:21).

Kwa utata huo, ndio maana Qur’an Tukufu ikathibitisha kwamba "Hawakumwua wala hawakumsulubu". (4:157-158).

Na huu ni ushahidi tosha unaothibitisha kwamba Nabii Isa wa Qur’an ndiye Yesu wa Biblia.

Isingekuwa hivyo, Qur’an isingejishughulisha kabisa na suala la kukanusha madai ya Wakristo ya kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.).

Napenda kumuelewesha mgen kwamba watu wa vitabu wa kabla yetu tulioagizwa tuwaulize siyo Wakristo na mtu kama mgen na Che mittoga wanaozuwa na kupotosha wazi maandiko na ukweli kwa ujumla.

Kwanza Wakristo ni watu waliozuka miaka mitatu baada ya Bwana Yesu (Nabii Isa) kuondoka (Matendo 11:25-26).

Ni Uislamu na Waislamu wamekuwepo tangu zama za Nabii Adamu (a.s.) (30:30, 2:213).

Hivyo, watu waliokuwa kabla yetu siyo Wakristo, bali ni Mayahudi na Manasara waliokuwa wakiijua kweli iliyokuwemo ndani ya Torati, Zaburi, Injili na Nyaraka sahihi za Manabii na kuifuata.

Watu hao ni ndugu zetu Waislamu walitutangulia na siyo Wakristo.

Aidha, elimu ya roho ambayo binadamu wote (na si Waislamu peke yao)ambayo hawakupewa isipokuwa kidogo, ni elimu ya kuijua kiundani roho ile inayompa uhai kiumbe, na si elimu ya "kiroho" kwa maana ya "ujuzi wa mambo ya Mwenyezi Mungu" kama anavyopotosha mgen.

Hakuna mtu yeyote anayeweza kuonyesha japo picha ya roho yake ilivyo. Namsihi mgen kwamba mara nyingine asipende kuchanganya mambo kwa kuingiza mada isiyohusika katika mjadala husika.
Kambishie muham mad aliyesema Elimu ya Roho hamkupewa!
[emoji116][emoji116]
وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الرُّوحِ ۖ قُلِ الرُّوحُ مِنْ أَمْرِ رَبِّي وَمَا أُوتِيتُم مِّنَ الْعِلْمِ إِلَّا قَلِيلًا

[ AN NAH'L - 85 ]
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Yesu kwani ndilo jina alilokuwa akiitwa ??? [emoji14] [emoji14] 😛

Back
Top Bottom