Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Yaani mimi niwe Mwislamu.
Ili nipate nini ?

Maziwa situmii
Asali situmii
Pombe situmii
Bikra 72 sizihitaji.

Sasa nitapata nini huko ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka ukageuzwe ndafu? Mark 9:49
 
Nyani hauoni ....
"Ndiyo umeleta Aya Yesu anasema yeye ni mungu na amevaa mwili wa binadamu"

[emoji3516]Hilo ndio swali lako ulilouliza pale juu.

Ukisha lisoma, angalia Mada unaongelea nini.

Ndio maana sipendagi kuku nukuu wala kukujibu.
 
Uko sahihi sana, ili kutimiza hila za Allah.
Kajifanya kumwongelea Isa ili asije pata lawama siku ya mwisho.

Siku ya Mwisho Yesu atakapo rudi Allah atawakana hawa Mijahidina na kusema yeye alimwelezea Isa na sio Yesu Kristo.
Watabaki kwenye mataa.

Allah hajawahi kuibishia hii kauli ya Yesu Kristo.

Mathayo 17:22
Nao walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua, na siku ya tatu atafufuka.

Kwakuwa amemzungumzia Isa.

"Tangu wakati huo Yesu alianza kuonya wanafunzi wake ya kwamba imempasakwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa Makuhani,na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka" (Mathayo 16:20).

Pamoja na maelezo hayo, lakini ukisoma Mathayo 27:27 unakuta waliompa mateso, kumsulubu mpaka kufa ni askari wala siyo wazee, wakuu wa makuhani wala waandishi kama ilivyotabiriwa na aya hiyo (ya Mathayo 16:21).

Kwa utata huo, ndio maana Qur’an Tukufu ikathibitisha kwamba "Hawakumwua wala hawakumsulubu". (4:157-158).

Na huu ni ushahidi tosha unaothibitisha kwamba Nabii Isa wa Qur’an ndiye Yesu wa Biblia.

Isingekuwa hivyo, Qur’an isingejishughulisha kabisa na suala la kukanusha madai ya Wakristo ya kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.).
 
"Ndiyo umeleta Aya Yesu anasema yeye ni mungu na amevaa mwili wa binadamu"

[emoji3516]Hilo ndio swali lako ulilouliza pale juu.

Ukisha lisoma, angalia Mada unaongelea nini.

Ndio maana sipendagi kuku nukuu wala kukujibu.

Kwani tunamwongelea nani , Che mittoga ??
 
"Ndiyo umeleta Aya Yesu anasema yeye ni mungu na amevaa mwili wa binadamu"

[emoji3516]Hilo ndio swali lako ulilouliza pale juu.

Ukisha lisoma, angalia Mada unaongelea nini.

Ndio maana sipendagi kuku nukuu wala kukujibu.

Je! Yesu Aliwahi Kujitangaza Kuwa Yeye ni Mungu?​


Wakristo wengi, mara nyingi huonyesha rejea nyingi katika injili ya Yohana ambapo Yesu anajiita "Mwana wa Mungu".

Kwa upande mwingine wanapuuzia rejea nyingi katika injili hiyo hiyo ya Yohana ambapo Yesu anajiita "Mwana wa Binadamu".

Hii inaonyesha wazi kuwa neno "Mwana wa Mungu" kama linavyotumika hapa halina maana ya kilugha.

Yesu alikuwa na ukaribu maalum kwa Mwenyezi Mungu - alikuwa mwana wa Mungu kama ilivyo sisi wote ni wana wa Mungu.


Katika Mathayo 16:13, Yesu anawauliza wanafunzi wake kuwa wanafikiri yeye, Yesu, ni nani?

Wakristo wanalipenda zaidi jibu la Petro ambalo lipo katika Mathayo 16:16 ambapo Petro anasema "Wewe ni Kristo, Mwana wa Mungu aliyehai."


La kufurahisha zaidi, katika swali hilo hilo linalopatikana katika Marko 8:16, Petro anasema "Wewe ni Kristo".

Ni maneno kidogo tu yameongezeka kwenye Mathayo ikilinganishwa na Marko, lakini yanabadilisha maana yote ya maneno.

Zaidi ya hilo, kuna nukta moja ambayo wakristo wanaipuuza inayopatikana katika aya chache zinazofuatia chini ya Mathayo 16.

Katika aya ya 20 - pia katika Marko 8:30 - Yesu anawaambia wanafunzi wake kuwa wasimwambie mtu yeyote zaidi kuwa yeye ni Kristo.

Kwa nini hakutaka watu wengine walijue hili?


Je! Paulo Alifanikiwa Kitu Gani?​


Kwa kusema kwamba Yesu alikuwa Mungu, Paulo aliwaridhisha sana Watu wa Mataifa kwa sababu ni jambo walilokuwa wamelizoea (Katika imani yao ya kipagani kulikuwa imani kama hii) na mafanikio yake yakawa hayana kikwazo.

Bidii na uwezo wake mkubwa wa kushawishi watu pamoja na kuwa kwake tayari kuchanganya ujumbe halisi wa Yesu na imani za kipagani zilimpelekea kumpachika Yesu uana wa Mungu - imani potofu kabisa, kwa sababu uana (wa Mungu) una maana (mwana) aliyeumbwa, wakati Uungu una maana "uwezo wa kuwepo milele na bila kuumbwa".


Baadaye viongozi wa kanisa waliamua kuondoa utata huu kiulaini kwa kusema kuwa Yesu alikuwa Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu - na ni wa milele "aliyeamua" kuwa mwanadamu katika tumbo la Bi Mariamu.

Kwa maneno mengine, Yesu alikuwa na asili (maumbile) mbili - Umungu na ubinadamu ambavyo viliungana na kuwa mtu mmoja.

Huenda hawa viongozi wa kanisa walikuwa na nia nzuri lakini katika maelezo haya wameleta utata na mkorogano zaidi.
 
"Ndiyo umeleta Aya Yesu anasema yeye ni mungu na amevaa mwili wa binadamu"

[emoji3516]Hilo ndio swali lako ulilouliza pale juu.

Ukisha lisoma, angalia Mada unaongelea nini.

Ndio maana sipendagi kuku nukuu wala kukujibu.

Imani ya Kuamini Kuwepo Kwa Mwenyezi Mungu Mmoja Asiyekuwa na Mshirika (Monotheism)​


Kamusi iitwayo "Webster's New World Dictionary" imelitafsiri neno "Monotheism" kuwa ni imani kuwa kuna Mungu Mmoja tu".

Uyahudi, Ukristo na Uislamu zote zinadai kuwa zinaamini na kufuata imani hii.

Imani hii ilihimizwa sana na Nabii Musa katika kifungu katika Biblia kinachoeleweka kama "Shema" au shema ya imani ya kiyahudi:

"Sikieni, enyi Israel: Bwana Mungu wetu ni Mungu Mmoja tu" (Marko 12:29)

Alipokuja Nabii Muhammad (saww) takriban miaka 600 baada ya Yesu, alileta ujumbe huo huo:

"Na Mola wenu ni Mungu mmoja tu: hakuna Mungu mwingine isipokuwa Yeye". (Qur'an 2:163)

Ukristo umeondoka kwenye imani ya umoja (upweke) wa Mwenyezi Mungu na umepotea kwenye utata na mkorogano wa Utatu Mtakatifu:

Vipi Mwenyezi Mungu anaweza kuwa mmoja wakati unamjumuisha Yesu na Roho mtakatifu?
 
"Ndiyo umeleta Aya Yesu anasema yeye ni mungu na amevaa mwili wa binadamu"

[emoji3516]Hilo ndio swali lako ulilouliza pale juu.

Ukisha lisoma, angalia Mada unaongelea nini.

Ndio maana sipendagi kuku nukuu wala kukujibu.

Athari za Paulo na Walengwa (hadhira) Wake : Watu wa Mataifa (Gentiles)​


Ingawa imani na msingi (doctrine) huu haukupendekezwa rasmi na Paulo, hapana shaka yoyote kwamba alikuwa na wazo hilo akilini.

Na bado kama Yesu atachukuliwa kuwa ni mwana mwenye asili ya uungu basi itabidi tumtafute baba yake mwenye asili ya uungu pia.

Kulikuwa pia mijadala juu ya Roho Mtakatifu, ambaye Paulo alidai kuwa ni chombo cha usafiri kilichotumika kuleta ufunuo kwa mwanaadam. Kimsingi, Paulo alitaja hivi vitu vitatu vinavyounda utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Yesu - Mungu mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.

Lakini kanisa halikuvitambua rasmi mpaka karne ya nne ambapo kanisa liliitangaza rasmi imani hii ya utatu mtakatifu na kwamba Mungu Mkuu ameundwa na Utatu Mtakatifu.


Kama ilivyo kwa imani nyingine zilizobuniwa na kuanzishwa na Paulo katika Ukristo, Utatu Mtakatifu pia, chanzo na asili yake ni imani za kipagani (kikafiri).

Mfumo wa ibada wa watu wa Nimrod, ulianza Babylon lakini wakati wa zama za Paulo ulikuwa umeenea sana hadi maeneo ya miji alipokuwa akiishi Paulo na watu wengi walikuwa ni wafuasi wa imani hii.

Nimrod, alikuwa ni kijana mdogo aliyekuwa amemuoa mama yake.

Watu wake waliamini kuwa Nimrod alikuwa Mungu na kwamba Baal, Mungu wa jua, alikuwa ndiye baba yake.

Baada ya kufa katika umri wake mdogo, mama yake Nimrod akawa mkuu wa ibada hizi za kipagani na akaanzisha imani kwamba mwanaye alikuwa anaendelea kuishi katika maumbile ya kiroho.

Kwa hiyo kwa mara ya kwanza utatu mtakatifu ukawa umeibuka.

Baal, Mungu Baba, Mama wa Nimrod, na Nimrod - Mungu Mwana.

Ni kutokana na kisa hiki kwamba Paulo alianzisha Utatu Mtakatifu katika Ukristo.
 
Tuanzie na hizi bibla nne tofauti ,

Ipi ni sahihi ?



All versions are not saying the same thing!
This chart is by no means complete.​


Most Christians recognize the New World Translation (NWT - Jehovah'sWitness Bible) for the corrupt work it is. What most Christians don't recognize isthe same corruption in their own "Christian" bibles!






AV (King James)New InternationalNew American StandardNew World Translation
Hos 11:12…but Judah yet ruleth with God, and is faithful with the saints.Judah is unruly against God, even against the faithful Holy One.Judah is also unruly against God, even against the Holy One who is faithful.Judah is yet roaming with God, and with the Most Holy One he is trustworthy.
Mt 9:13for I am not come to call the righteous, but sinners to repentance.For I have not come to call the righteous, but sinners.For I did not come to call the righteous, but sinners.For I came to call, not righteous people, but sinners.
Mt 18:11​
For the Son of man is come to save that which was lost.​
OMITTED​
footnote casts doubt​
OMITTED​
Mt 19:17Why callest thou me good? "Why do you ask me about what is good?" "Why are you asking me about what is good?" "Wny do you ask me about what is good?"
Mt 25:13Ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh.You do not know the day or the hour.You do not know the day nor the hour.You know neither the day nor the hour,
Mk 10:24…how hard it is for them that trust in riches to enter into the kingdom of God!…how hard it is to enter the kingdom of God!…how hard it is to enter the kingdom of God!…how difficult a thing it is to enter into the kingdom of God!
Lk 2:33And Joseph and his mother,,,The child's father and mother…His father and mother…its father and mother…
Lk 4:4Man shall not live by bread alone, but by every word of God.Man does not live on bread alone.Man shall not live on bread alone.Man must not live by bread alone.
Lh 4:8​
Get thee behind me, Satan.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Jn 6:47He that believeth on me hath everlasting life.He who believes has everlasting life.He who believes has eternal life.He that believes has everlasting life.
Jn 8:9​
And when they heard it, being convicted by their own conscience, went out…​
…those who heard began to go away…​
…when they heard it, they began to go out one by one…​
OMITTED​
Jn 9:4I must work the works of him that sent me.We must do the work of him who sent me.We must work the works of Him who sent Me.We must work the works of him that sent me.
Jn 10:30I and my Father are oneI and the Father are one.I and the Father are one.I and the Father are one.
Ac 2:30that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne;…he would place one of his descendants on his throne.…to seat one of his descendants upon his throne.…he would seat one from the fruitage of his loins upon his throne.
Ac 8:37​
If thou believest with all thine heart, thou mayest. And he answered and said, I believe that Jesus Christ is the Son of God.​
OMITTED​
footnote casts doubt (some editions just omit it)​
OMITTED​
Ac 23:9​
Let us not fight against God.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Rom 13:9​
Thou shalt not bear false witness.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Co 1:14In whom we have redemption through his blood, even the forgiveness of sins.In whom we have redemption, the forgiveness of sins.In whom we have redemption, the forgiveness of sins.By means of whom we have our release by ransom, the forgiveness of our sins.
1Ti 3:16God was manifest in the flesh.He appeared in a body.He who was revealed in the flesh.He was made manifest in the flesh.
1Ti 6:5Perverse disputings of men of corrupt minds, and destitute of the truth, supposing that gain is godliness: from such withdraw thyself."from such withdraw thyself" is omitted"from such withdraw thyself" is omitted"from such withdraw thyself" is omitted
1Pe 1:22Ye have purified your souls in obeying the truth through the Spirit…you have purified yourselves by obeying the truth…Since you have in obedience to the truth purified your souls…Now that you have purified your souls by your obedience to the truth…
1Jo 4:3And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God.But every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God.And every spirit that does not confess Jesus is not from God.But every inspired expression that does not confess Jesus does not originate with God.
Re 5:14Four and twenty elders fell down and worshipped him that liveth for ever and ever.…the elders fell down and worshipped.…the elders fell down and worshipped.…the elders fell down and worshipped.
Re 20:9Fire came down from God out of heaven…Fire came down from heaven…Fire came down from heaven…Fire came down out of heaven…
Re 21:24And the nations of them which are saved shall walk in the light of it.The nations will walk by its light.And the nations shall walk by its light.And the nations will walk by means of its light.
Tuwekee Ushahidi muham mad Alishahadia!
 
Halafu tuambie biblia ipi iko sahihi hapa

Contradictions between KJV and NIV Bibles:


King James Version (KJV)​
New International Version (NIV)​
Why did Jesus come to earth?
Luke 9:56
For the Son of man is not come to destroy men's lives, but to save them. And they went to another village.​
Luke 9:56
and they went to another village.​
Matt. 18:11
For the Son of man is come to save that which was lost.​
Matt. 18:11
(missing)​
Is repentance important?

Matt. 9:13
...I am not come to call the righteous, but sinners to repentance.​
Matt. 9:13
...I have not come to call the righteous, but sinners.​
For whom did Jesus die?
I Cor. 5:7
...Christ our passover is sacrificed for us:​
I Cor. 5:7
...Christ, our Passover lamb, has been sacrificed.​
In Whom must you believe to be saved?
John 6:47
Verily, verily, I say unto you, He that believeth on me hath everlasting life.​
John 6:47
I tell you the truth, he who believes has everlasting life.​
Was Joseph really the father of Jesus?
Luke 2:33
And Joseph and his mother marvelled at those things which were spoken of him.​
Luke 2:33
The child's father and mother marveled at what was said about him.​
Did Jesus give His disciples power to heal?
Mark 3:15
...power to heal sickness, and to cast out devils.​
Mark 3:15
...authority to drive out demons.​
If it's hard to do, should we just remove it?
Mark 11:26
But if ye do not forgive, neither will your Father which is in heaven forgive your trespasses.​
Mark 11:26
(missing)​
Who is in charge?
I Cor. 10:28
...for the earth is the Lord's and the fulness thereof:​
I Cor. 10:28
(last part of verse missing)​
How must we deal with our enemies?
Matt. 5:44
...Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you.​
Matt. 5:44
...Love your enemies and pray for those who persecute you.​
Where did Jesus go?
John 16:16
A little while, and ye shall not see me: and again a little while, and ye shall see me, because I go to the Father.​
John 16:16
In a little while you will see me no more, and then after a little while you will see me.​
Tuwekee Biblia Ambayo Inaenda Kinyume na AMRI.10 ZA MWENYEZI MUNGU![emoji101][emoji101]
[emoji116][emoji116]
John 5:39
[39]Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba mna uzima wa milele ndani yake; na hayo ndiyo yanayonishuhudia.

2 Corinthians 3:6
[6]Naye ndiye aliyetutosheleza kuwa wahudumu wa agano jipya; si wa andiko, bali wa roho; kwa maana andiko huua, bali roho huhuisha.
 
"Tangu wakati huo Yesu alianza kuonya wanafunzi wake ya kwamba imempasakwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa Makuhani,na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka" (Mathayo 16:20).

Pamoja na maelezo hayo, lakini ukisoma Mathayo 27:27 unakuta waliompa mateso, kumsulubu mpaka kufa ni askari wala siyo wazee, wakuu wa makuhani wala waandishi kama ilivyotabiriwa na aya hiyo (ya Mathayo 16:21).

Kwa utata huo, ndio maana Qur’an Tukufu ikathibitisha kwamba "Hawakumwua wala hawakumsulubu". (4:157-158).

Na huu ni ushahidi tosha unaothibitisha kwamba Nabii Isa wa Qur’an ndiye Yesu wa Biblia.

Isingekuwa hivyo, Qur’an isingejishughulisha kabisa na suala la kukanusha madai ya Wakristo ya kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.).
Koran inaposema hawakumuuwa inamzinguzia Isa ambae ana wajomba haruni na musa na Babu yake Imran wala sio Yesu
 
"Tangu wakati huo Yesu alianza kuonya wanafunzi wake ya kwamba imempasakwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa Makuhani,na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka" (Mathayo 16:20).

Pamoja na maelezo hayo, lakini ukisoma Mathayo 27:27 unakuta waliompa mateso, kumsulubu mpaka kufa ni askari wala siyo wazee, wakuu wa makuhani wala waandishi kama ilivyotabiriwa na aya hiyo (ya Mathayo 16:21).

Kwa utata huo, ndio maana Qur’an Tukufu ikathibitisha kwamba "Hawakumwua wala hawakumsulubu". (4:157-158).

Na huu ni ushahidi tosha unaothibitisha kwamba Nabii Isa wa Qur’an ndiye Yesu wa Biblia.

Isingekuwa hivyo, Qur’an isingejishughulisha kabisa na suala la kukanusha madai ya Wakristo ya kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.).
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.
 
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.


Siyo kweli jina "Yesu" kwa Kiarabu ni "Yasu" kama wengi wenu mnavyodai.

Ukweli ni kwamba Waarabu Wakristo jina "Yasu" ndilo jina walilolipokea kutoka kwa wale waliowapelekea Ukristo ulianzishwa nje ya Uarabuni miaka mitatu baada ya Yesu au Nabii Issa (a.s) kuondoka.

Na ndilo jina waliloliingiza ndani ya Injili ya Kiarabu. Na hii inafanana na jinsi baadhi hata ya Watanzania walivyopokea jina la yule Nabii Mbatizaji kwa matamshi tofauti.

Baadhi yao walipokea kwa tamshi la "Yohana" (Kiyunani),wengine "John" (Kiingereza) na wengine "Yahya" (Kiarabu).

Ataonekana wa ajabu atakayedai leo kwamba tamshi mojawapo katika jina hilo hapo juu kwamba ni la Kitanzania (Kiswahili) eti kwa vile wanaolitumia jina hilo ni Watanzania na limeandikwa ndani ya Injili ya Kiswahili!

Pia Yesu kuitwa "mwokozi" hiyo siyo maana ya jina lake.

Lakini "uwokozi"ni jina la kazi yake aliyopewa kuifanya (Mathayo 18:11).

Hivyo, majina ya Yesu na Issa hayana maana yoyote zaidi ya kubaki kuwa ni majina tu.

Na siyo lazima jina liwe na maana.

Ila neno lenye maana ya "Wekundu uliozidiana na weupe" kwa Kiarabu (Baidawi Vol 1 Uk. 160) na siyo neno Issa.

Kwa mantiki hiyo, sababu hiyo (ya jina) bado haijamtofautisha Yesu na Issa.

Lakini kama ilivyo kwa Yohana, Yahya au John, basi Issa na Yesu ni yule yule mmoja aliyezaliwa na Bikira Mariam (Qur’an 3:45 na Luka 1:26-31).

Isitoshe, Qur’an Tukufu ilipoeleza kwamba Nabii Issa siyo Mungu (5:72),hakusulubiwa (4:157-158), na ametumwa kwa wana wa Israeli peke yao (3:49),Waarabu waliokuwa Wakristo hapo kabla walimfahamu kwamba huyo ndiye "Yesu sahihi" aliyekana "Uungu" katika Biblia pia (Marko 12:29-34) na ndiye aliyenusuriwa kuuawa kama ilivyoelezwa na Qur’an Tukufu na Biblia pia (Waebrania 5:7)na kweli katumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli peke yao (Mathayo2:6 na 15:24).

Kilichofuatia baada ya kuelewa hivyo walisilimu na kumfuata Mtume Muhammad(s.a.w) ambaye ndiye Mtume pekee aliyetumwa ulimwengu mzima (Qur’an 21:107 na Yohana 16:7-14).

Pamoja na Waarabu hao, alisilimu pia aliyekuwa mfalme wa Ethiopia ya sasa (zamani Uhabeshi) Bw. Najash (Rejea historia ya maisha ya Nabii Muhammad(s.a.w.).
 
Tuwekee Ushahidi muham mad Alishahadia!

Mwenyezi Mungu (s.w.t.) ndani ya Qur’an Tukufu amewanukuu Wayahudi kumuita Bi. Mariamu kuwa ni dada ya Haruna. Pamoja na hivyo, "udada" unaokusudiwa hapo ni wa:

Kiukoo kwa kuwa Bi. Mariamu na Haruna wote wanatoka katika ukoo wa Lawi.

Ushahidi wa hili tunaupata katika Injili ya Luka 1:36 inayoeleza uhusiano wa Mariamu na Elizabeti (mama yake Nabii Yohana Mbatizaji) ambaye ni mmojawapo wa uzao wa Haruni wa ukoo wa Lawi (Luka 1:5).

Kiutumishi wa kazi za Mungu, kwa kuwa Bi. Mariamu na Haruna wote walikuwani watumishi wa Mungu hasa kwa vile ukoo wao (Walawi) ndivyo Mungu alivyokwisha mteua maalum kwa kazi hiyo (Kutoka 40:12-16 na Luka 1:38).

Kiucha Mungu. Kwa kuwa Bi. Mariamu alikuwa ni mcha Mungu neema aliyopewa na Mungu (Luka 1:30) kama vile Haruna pia.

Na hii inafanana na ile kauli ya Bwana Yesu au Nabii Isa (a.s.) aliyosema:

"Kwa maana yeyote atakayefanya mapenzi ya Baba yangu aliye Mbinguni,huyu ndiye ndugu yangu, umbu langu na mama yangu". (Mathayo 12:50).

Hapa haina maana kwamba eti kwa vile Bw. Augustine ataamua kufanya mapenzi ya Mungu basi ndio atakuwa ndugu ya Yesu wa kuzaliwa. Hapana! Lakini atakuwani ndugu yake kiimani (kiucha Mungu) tu.

Kwa mantiki hiyo, maelezo ya Qur’an Tukufu juu ya "udada" wa Mariamu kwa Nabii Haruna bado haujatofautisha Yesu na Isa.

Lakini maana yake ni yule yule mmoja, Bikira Mariamu anayetajwa na Qur’an na Biblia kama tulivyoona hapo juu.
 
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.

Qur’an kusema Nabii Isa au Yesu aliumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t.)sawa na alivyoumbwa Nabii Adamu (a.s.):-

Mosi: Ni kuthibitisha (hakika) kwamba Bwana Yesu naye kama viumbe wengine aliumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t.) kwani ni Mwenyezi Mungu pekee yake ndiye aliyeumba kila kitu (Isaya 44:24 na Qur’an 6:101-1020.

Pili: Yesu au Nabii Isa (a.s.) aliumbwa kwa tamko tu la Mwenyezi Mungula kusema "kuwa na akawa" kama Adamu (a.s.) (3:59).

Tatu: Kwa kuwa Nabii Adamu (a.s.) (ndiye mtu wa kwanza kuumbwa) aliumbwa kwa udongo, vile vile Nabii Isa au Yesu (a.s) naye kwa kuwa alikaa tumboni mwa mama yake Bi. Mariamu kwa muda kadha ni wazi kuwa naye amerithi mwili ambao asili yake ni udongo kupitia mama yake.

Hivyo, naye Yesu pia ni udongo kama Nabii Adamu (a.s.).

Biblia haijaeleza mahali popote kwamba Yesu ni nafsi ya Mungu kama mnavyopotosha.

Pia suala la kuwepo kabla ya ulimwengu si kwa Yesu peke yake bali ni kwa wanadamu wote (rejea Zaburi90:1-2, Waefeso 1:4 na Warumi8:29-30) kwa shuhuda hizo, ni dhihiri kuwa binadamu wengine wote wana haki ya kusema "walitoka kwa Mungu", wakimaanisha kwamba "Muumbaji wao ni Mwenyezi Mungu".

Ama Bwana Yesu kusema kwamba yeye si wa ulimwengu huu haina maana nyingine yoyote zaidi ya kuonyesha ni jinsi gani asivyothamini maisha ya kidunia na vishawishi vyake vyote badala ya maisha ya akhera.

Na hii hata Mtume Muhammad (s.a.w) alikwishaambiwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) kwamba:

"…Na maisha ya dunia (hii) si kitu ila ni starehe idanganyayo (watu)".(3:185).

Kwa hali hiyo, Yesu ndiye yule yule Nabii Isa bin Mariamu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) bila ya baba kama Qur’an na Biblia vinavyoeleza.
 
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.


Kuzaliwa


Ni kweli Qur’an inaonyesha Nabii Isa alizaliwa chini ya mtende lakini haijaeleza kwamba siku hiyo ilikuwa ni mchana au usiku, pia Biblia haijaeleza kwamba Bwana Yesu alizaliwa katika zizi la ng’ombe kama wakristo wengi mnavyodai.

Mstari wa Luka 2:7 ulichoeleza ni kwamba baada ya Bi. Mariamu kumzaa Yesu alimlaza katika hori la kulia ng’ombe! Na hori siyo zizi la ng’ombe bali ni "mkondo wa bahari" (soma maelezo ya maneno katika Biblia, Uk. 1223). Hivyo, ni upotoshaji wa wazi wa maandiko kuzua kwamba Bwana Yesu alizaliwa katika zizi la ng’ombe!

Mara nyingi Qur’an Tukufu huzungumza msingi wa jambo tu kisha humwachia Mtume (s.a.w) atoe uchambuzi (16:44) kwa mantiki hiyo, Qur’an ilivyokwisha bainisha kwamba Nabii Isa au Yesu (a.s) amezaliwa na Bikira Mariamu, siyo lazima ieleze na mji aliozaliwa kwani siyo kitabu cha historia bali ni kitabu cha mwongozo na mazingatio kwa yote kinayoyaeleza n.k. (2:185 na 12:111).

Isipokuwa la kuzingatia hapa ni kuwa katika nchi ya Kiyahudi alikozaliwa Yesu au Nabii Isa (a.s) kama Qur’an Tukufu ilivyoeleza ni mashuhuri sana mitende (Yohana 12:12-13). Kwa hiyo, Qur’an kuonyesha kwamba Nabii Isa au Yesu alizaliwa chini ya mtende ilikuwa ni sahihi kabisa.

Kwa hali hiyo, Biblia kutoeleza ni sehemu gani Yesu (Isa) alikozaliwa bado hakujatofautisha Yesu na Isa.

Na hii ni sawa na wanavyoamini Wakristo wenyewe kwamba Injili ya Yohana Mtakatifu kutoeleza kabisa historia ya kuzaliwa kwa Yesu bado hakujatofautisha na Yesu yule yule anayeelezewa na Injili ya Luka Mtakatifu iliyoeleza kwa kirefu historia ya kuzaliwa kwake (Yesu).
 
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.


Utume



Wakristo waelewe kwamba siyo lazima Qur’an Tukufu itaje wazi kwamba Nabii Isa alikuja kuleta wokovu ,

Kwa hali hiyo, hatuwezi kusema kwamba Bwana Yesu alikuja kuruhusu watu wamle nguruwe eti kwa vile hakusema wazi "msile nyama ya nguruwe", kama ilivyokatazwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t.) katika Torati ya Musa.

Lakini ni dhahiri kuwa kule kusema kwake tu kwamba "msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati wala Manabii, ila sikuja kutangua, bali kutimiliza" (Mathayo 5:17) kulitosha kuonyesha msisitizo na mkazo wa uharamu na unajisi wa kula nyama ya nguruwe kama ulivyotajwa wazi katika Torati(Kumbukumbu la Torati 14:8).

Kwa mantiki hiyo, kule kuja kwake (Yesu au Isa (a.s.)kuhakikisha yale yaliyokuwa kabla yake na kuisadikisha Torati kama Qur’anTukufu inavyoeleza inatosha kukubali kwamba alikuja kuwaokoa waliopotea zama zake, ambao waliiweka kando miongozo sahihi ya Manabii wa kabla yake(Yesu au Isa) na Torati.

Kwani inajulikana wazi kwamba Manabii na Torati waliokuwepo kabla ya Yesu au Nabii Isa hawakutumwa na Mwenyezi Mungu kuwatakia binadamu shari. Ila kuwatakia nusura (wokovu) mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho (kiama) (Qur’an 2:213).

Na ndio maana Yesu akakana kuwatengua, yaani kuwapinga Manabii na Torati (Mathayo 5:17). Ni dhihiri alijua kazi na lengo la Mwenyezi Mungu kuwaleta (Luka 16:16-17).

Pamoja na ukweli huo, lakini wokovu mkubwa alioleta Nabii Isa au Yesu (a.s.) ni ule wa kuonyesha matokeo ya ushirikina, kama ule wa kumfanya na yeye kuwa ni Mungu pamoja na Mwenyezi Mungu (s.w.t.) aliyemtuma.

Ambapo ni kinyume kabisa na mwenyewe alivyofundisha (tazama Marko 12:29). Alisema mtu huyo (anayemshirikisha Mwenyezi Mungu) Mwenyezi Mungu amemharamishia pepo na makazi yake ni motoni (5:72).

Kwa kweli huu hakika ndio wokovu mkubwa na wa kwanza aliouleta Nabii Isa. Kwani ni wazi kuwa maovu mengine yote chanzo chake kikuu ni shirki (kutomjua Mwenyezi Mungu vilivyo) (Ayubu 22:21).

Kwa mantiki hiyo, ni dhihiri kuwa Yesu na Isa ni yuleyule mmoja aliyeleta wokovu kwa wana wa Israeli kama Qur’an na Biblia vinavyofundisha(Qur’an 3:49 na Mathayo 15:24).
 
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?

[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.


Matendo yake



Ni kweli Biblia haikueleza lolote juu ya Yesu kuongea siku aliyozaliwa. Na haijulikani ni kwanini tukio zito na muhimu kama hilo lisigusiwe na Biblia!

Hata hivyo, napenda kukufahamisha kwamba si hilo tu liliachwa kuandikwa ndani ya Biblia lakini Bwana Yohana anatuambia kuwa:

"Kuna na mambo mengine mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa kwa moja kwa moja nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa" (Yohana 21:25).

Kwa kauli hiyo ya Mwinjilisti Yohana inatosha kuwawondoa wasiwasi iwapo mtapata alililofanya Yesu au Isa (a.s) ndani ya Qur’an Tukufu ambalo halimo ndani ya Biblia Takatifu.

Kwa kuwa litakuwa katika orodha ya mambo ambayo yalihofiwa kuandikwa moja kwa moja kama anavyotueleza Yohana ndani ya Biblia hapo juu. Kwa hali hiyo, hoja hiyo haiwezi kutofautisha Yesu na Isa.


Kwa bahati mbaya katika kudai kwenu kwamba Bwana Yesu ndiye "Mwanzo na mwisho" mnanukuu kitabu cha ufunuo wa Yohana.

Hamjajuwa kwamba mafundisho na miongozo ya kitabu hicho inawahusu Wayahudi peke yao.

Na yeyote aliyejifanya kuwa ni Myahudi wakati siye, kitabu hicho kilimshutumu kwamba anatokana na kundi (sinagogi) la shetani. (Tazama Ufunuo 2:9).

Kwa hiyo, kitabu hicho kuwatoa wasiokuwa Wayahudi kunadhihirisha kuwa Bwana Yesu au Nabii Isa (a.s) ni "Mwanzo na mwisho" kwa Wayahudi.

Ni wa "mwanzo" kwa Wayahudi kwa kuzaliwa bila ya baba (Luka 1:34-35) nani wa "mwisho" kwa Wayahudi kwa kuwa baada ya yake haji tena Mtume mwingine kwa ajili ya nyumba ya Israeli (Mathayo 21:33-34).
 
Back
Top Bottom