Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
يسوع هو إله كامل ورجل كام
yasue hu 'iilah kamil warajul kamil

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Msingi wa Ukristo siku hizi ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo wanadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.

A. Mayahudi walidhani hivi kwa sababu ya kupata nafasi ya kumkataa Bwana Yesu, kuwa wa kweli, maana Torati inasema kwamba “Aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu, (Kumbukumbu la Torati 21:23).

Kwahiyo Mayahudi walitaka sana kumfisha Yesu msalabani ili athibitike kuwa mlaaniwa na mlaaniwa hawezi kuwa Nabii wa Mungu.

B. Wakristo walikubali kwamba Yesu alikufa msalabani kwa sababu waliambiwa kwamba Yesu amebeba dhambi za watu kwa kufa msalabani. Hivi wavivu wote ambao hawataki kufuata sheria ya Mungu, mara moja walikubali kwamba damu ya Yesu imetuokoa. (Wagalatia 3:13)

Nitaeleza hapa hoja za Biblia moja baada ya moja, zinazothibitisha kwamba Bwana Yesu hakufia msalabani kabisa.

1. Kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumb. 21:23, Wagalatia 3:13). Basi mtu ambaye anafariki juu ya mti wa msalaba ndiye maluuni na maluuni anakuwa mbali na Mungu hawezi kuwa karibu na Mungu. Na mtu ambaye yu mbali na Mungu hawezi kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu.

Tunaamini kwamba sawa na Qur'ani na Biblia Bwana Yesu alikuwa Nabii wa Mungu, tena kachanguliwa na kubarikiwa. Kwahiyo haiwezikani kwamba Bwana Yesu afe kifo cha laana cha msalaba.
 
Tunazidi KUWANYAKUA WENGI TOKA MOTONI![emoji123][emoji106] [emoji122][emoji122][emoji122]
allah Hana Maskhara na mtoto wa mtu
[emoji116][emoji116]
وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ

[ AL - AN-A'AM - 128 ]
Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
Jude 1:21-23
[21]jilindeni katika upendo wa Mungu, huku mkingojea rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo, hata mpate uzima wa milele.

IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]
[22]Wahurumieni wengine walio na shaka,

[23]na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili. Baraka

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Govi lililoota kichwani mwako ni zaidi ya hiyo akili yako na inaelekea limegeuka chuma na ni vigumu kuliondosha ,

umebaki kuunga unga aya za biblia na Quran kujaribu kumpa uungu Yesu lakini kumbe hiyo ni akili ya govi

Hapo mwanzo kulikuwa na Neno"

Huenda ‘ushahidi’ wa uungu wa Yesu ulionukuliwa sana niYohana 1:1 na 14,

“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu... Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.”

Hata hivyo, maelezo haya hayakutolewa na Yesu Kristo, wala hayakuhusishwa naye na mtunzi wa Injili kwa mujibu wa Yohana.

Hivyo, mistari hii haiundi ushahidi wa uungu wa Yesu, hasa hasa kuzingatia shaka inayoshikiliwa na wasomi wa Kikristo juu ya Injili ya Nne. Wasomi wa Biblia waliotunga Injili tano:

“Picha mbili zilizochorwa na Yohana na muhtasari wa injili (yaani Injili ya Mathayo, Marko na Luka) zote mbili haziwezi kuwa ubainifu wa kihistoria.

Neno lilohusishwa na Yesu katika Injili ya Nne limeundwa na wainjilisti kwa sehemu kubwa, na linaakisi mwendelezo wa lugha ya jamii ya Wakristo wa Kiyohana.
Neno la Kigiriki lilotumiwa na mtunzi wa Injili ya Nne asiyejulikana kwa “neno” ni logos.

Kwa kufanya hivyo, huyo mtunzi anamtambulisha Yesu kwa logos la wanafalsa wapagani wa Kigiriki, neno ambalo lilikuwa na lengo takatifu na thabiti lililojitokeza ulimwenguni, huyo mtunzi akalipangilia neno hilo na kulipa mfumo na maana.

Wazo la logos katika fikra za Kigiriki huenda linarejea nyuma, kwa uchache hadi kwa mwanafalsafa wa karne ya sita BC, Heracleitus, aliyependekeza kuwa, kulikuwa na logos ulimwenguni anayetenda kwa mwanadamu kulingana na nguvu ya hoja. Baadaye, Stoics analitambulisha logos kuwa ni tendo, mantiki, na kanuni ya kiroho inayosambaa katika ukweli wote.

Mwanafalsafa wa Kiyahudi anayeongea Kigiriki, Judaeus Philo wa Alexandria (15 BC -45 CE), amefundisha kuwa logos alikuwa ni mpatanishi baina ya Mungu na ulimwengu, kwa kuwa na sifa mbili za uwakala wa Mungu na ulimwengu, na kuwa na sifa mbili za uwakala wa viumbe na wakala wa ambaye kupitia kwake akili ya mwanadamu inaweza kumfahamu Mungu.

Maandiko ya Philo yalihifadhiwa na kutunzwa na kanisa, na kueneza ufunuo kwa mafundisho ya kistaarabu ya tiolojia ya kifalsafa ya Kikristo. Aliacha mafundisho ya fikra za Kipilato wakichukulia logos(Neno) na kuliita “mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mungu.
 
Nafasi ya Majini katika Uislamu.

Jambo moja kubwa la Kishirikina ambalo Muhammadi alilifanya ni kuyaingiza Majini yote katika Uislamu.

Leo hii Majini yamesilimu na Mtume wao ni Muhammadi.

Watu wamejiuliza sana
Vipi Majini yajitape kuwa Mtume wao ni Binadamu Muhammadi ?

Hivi ni kwanini hayana Mtume wao wa Kijini ?

Kama Mtume wao ni Binadamu vipi imamu wao, shehe wao, mpiga azana wao, msikiti wao, nao watakuwa ni hawa hawa Binadamu?

Muhamadi ilifikia mahali anawaambia Waislamu kuwa Majini ni ndugu zao wa kupika na kupakua.

Jami` at-Tirmidhi 18
Abdullah bin Mas'ud narrated that :

Allah's Messenger said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."

Na akayapa sura nzima katika Qurani yake. Sura ya Majini.

Muhammadi ni Mtume wa kwanza toka dunia iumbwe aliyejisifu kuyashirikisha Majini kwenye Dini ya watu akisema yameumbwa ili yamwabudu Mungu wake Allah.

Qurani ikaitika vizuri tu kwamba yako Majini maislamu.

Surah Al-Djini: Ayah 14

وَأَنَّا مِنَّا ٱلۡمُسۡلِمُونَ وَمِنَّا ٱلۡقَٰسِطُونَۖ فَمَنۡ أَسۡلَمَ فَأُوْلَٰٓئِكَ تَحَرَّوۡاْ رَشَدٗا
Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.

Ukiwambia Waislamu, kuwa Uislamu ni Dini ya Majini hawataki kukubali kabisa, vipi hiyo Aya, mtaiondoa leo ?

Cha kushangaza hao hao Majini Waislamu wanasema wakitaka kuichungulia Mbingu Allah anawapiga na vimondo,
Ukiuliza kwanini Allah anawapiga na vimondo Majini Waislamu hakuna jibu

Surah Al-Djini: Ayah 9

وَأَنَّا كُنَّا نَقۡعُدُ مِنۡهَا مَقَٰعِدَ لِلسَّمۡعِۖ فَمَن يَسۡتَمِعِ ٱلۡأٓنَ يَجِدۡ لَهُۥ شِهَابٗا رَّصَدٗا
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

Allah hataki Majini waislamu wamsikilize. Ukiuliza ni kwanini hakuna jibu.

Mwisho Allah anasema kinacho jiri kati yake na Majini.

Surah Al-An'am: Ayah 128

وَيَوۡمَ يَحۡشُرُهُمۡ جَمِيعٗا يَٰمَعۡشَرَ ٱلۡجِنِّ قَدِ ٱسۡتَكۡثَرۡتُم مِّنَ ٱلۡإِنسِۖ وَقَالَ أَوۡلِيَآؤُهُم مِّنَ ٱلۡإِنسِ رَبَّنَا ٱسۡتَمۡتَعَ بَعۡضُنَا بِبَعۡضٖ وَبَلَغۡنَآ أَجَلَنَا ٱلَّذِيٓ أَجَّلۡتَ لَنَاۚ قَالَ ٱلنَّارُ مَثۡوَىٰكُمۡ خَٰلِدِينَ فِيهَآ إِلَّا مَا شَآءَ ٱللَّهُۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٞ
Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.

Hapa Allah anayahukumu Majini bila kuweka wazi kosa lao.
Kama Waislamu Watu na Majini ni ndugu, kwanini wasipendane na kushirikiana na kupata wafuasi ?

Kwanini Leo ghafla tu Allah anayapiga Majini maislamu na vimondo, na kusema makazi yao ni moto wakati ni Maislamu safi tu.
Yalimkosea wapi ihali aliyaumba ili yamwabudu yeye ?

Leo Waislamu wanajisifu kuabudu Dini ya Majini hadi wanajiita majina ya Majini.

Sharifu Majini
Maimuna. nk.

Watu waka kaa kikao na kujiuliza.
Hivi Majini ndio yaliyosilimu na kuwa Maislamu ?
Au Muhammadi ndio alisilimishwa na kuingizwa katika Dini ya Majini ?

Aya ikashuka.
Surah An-Nisaa-u : Ayah 79

مَّآ أَصَابَكَ مِنۡ حَسَنَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ وَمَآ أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٖ فَمِن نَّفۡسِكَۚ وَأَرۡسَلۡنَٰكَ لِلنَّاسِ رَسُولٗاۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. [emoji117]Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi[emoji117]Mungu ni shahidi wa kutosha.

Watu wakajiuliza hawa akina "Nasi" ni nani hasa ambao walimtuma Muhammadi kuwa Mtume wao ?

Aya ikashuka.

Surah Al-Djini: Ayah 12

وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن نُّعۡجِزَ ٱللَّهَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَن نُّعۡجِزَهُۥ هَرَبٗا
[emoji117]"Nasi" tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.
{Kumbe alitumwa na Majini kuwa Mtume wao, wanao jiita "Nasi"}

Bila kujificha Muhamadi akakiri kilichomtokea Kule pangoni, aliona nini kule.

Surah Al-Djini: Ayah 1

قُلۡ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ ٱسۡتَمَعَ نَفَرٞ مِّنَ ٱلۡجِنِّ فَقَالُوٓاْ إِنَّا سَمِعۡنَا قُرۡءَانًا عَجَبٗا
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur’ani ya ajabu!

{ ukisoma hapa kwa kutulia na kwa umakini, utapata jibu ni kwanini tunalazimishwa kuamini kuwa Yesu kwa Kiswahili awe ndio Isa kwenye Qurani ya Kiswahili }
 
Soma :

https://www.npr.org/sections/thetwo...jesus-wife-papyrus-not-a-forgery-harvard-says​

images

MKE WA YESU

Biblia inasema kwamba Bwana Yesu Kristo alikuwa akipatikana na mwanamke mmoja aitwaye Mariam Magdalena. Yeye alikuwa karibu sana na Yesu. Vitendo vyao vinaonesha kwamba, walikuwa mume na mke au marafiki wapenzi.

Sisi hatuamini kwamba nabii anafanya urafiki na mwanamke na kumpangusa miguu yake kwa kichwa na kum’busu, bali yeye alikuwa mke wake.

Basi tusome Biblia kisha tuone kwamba huyo alikuwa nani?:

1. “Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya marhamu. Akasimama nyuma karibu na miguu yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake, akiibusu-busu miguu yake na kupaka yale marhamu. Basi yule Mfarisayo aliyemwalika alipoona vile, alisema moyoni mwake. Mtu huyu kama angekuwa nabii angemtambua mwanamke huyu amgusaye, ni nani, na ni wa namna gani ya kwamba ni mwenye dhambi. (Luka 7:37-38).

2. “Basi mtu mmoja alikuwa hawezi Lazaro wa Bethana, mwenyeji wa mji wa Mariamu, dada yake. Ndiye Mariam yule aliyempaka Bwana marhamu, akamfuta miguu kwa nywele zake, ambaye Lazaro nduguye alikuwa hawezi (Yohana 11:1-2).

3. “Basi Mariam akatwaa ratili ya marhamu ya nardo safi yenye thamani nyingi, akimpaka Yesu miguu, akamfuta miguu kwa nywele zake.’’ (Yohana 12:3).

4. “Akamgeukia yule mwanamke, akamwambia
Simoni, wamuona mwanamke huyu? niliingia nyumbani kwako, hukunipa maji kwa miguu yangu, bali huyu
amenidondoshea machozi miguu yangu; na kuipangusa kwa nywele zake. Wewe hukunibusu; lakini huyu tangu nilipoingia hakuacha kunibusu sana miguu yangu. Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka kichwa changu mafuta’’ (Luka 7:44-46).

5. “Basi Mariamu pale alipokuwapo Yesu, na kumuona, alianguka miguuni pake, akamwambia Bwana, kama ungalikuwepo hapa, ndugu yangu hangali kufa. Basi Yesu alipomuona analia na wale Wayahudi aliyofuatana nao wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake akasema mmemweka wapi?

Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. Yesu akalia machozi.’’ (Yohana11:32-35).

6. “Biblia inaeleza habari ya arusi moja, iliyofanyika huko Kana ya Galilaya. Imeandikwa: “Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo, Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake. Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia,

Hawana divai. Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia. Mamaye akawaambia watumishi, lolote atakalowaambia, fanyeni. Basi kulikuwako huko mabalasi sita ya mawe, nayo yamewekwa huko kwa desturi ya Wayahudi ya kutawadha, kila moja lapata kadiri ya nzio mbili tatu.

Yesu akawaambia, jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaza hata juu. Akawambia, sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa meza. Wakapeleka. Naye mkuu wa meza alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), Yule mkuu wa meza alimwita Bwana arusi, akamwambia, kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai
iliyo njema hata sasa.” [Yohana 2:1-10].

Katika aya hizi mambo yafuatayo yanathibitisha kwamba arusi ile ilikuwa ya Bwana Yesu Kristo.

(A) Bwana Yesu, mama yake na wanafunzi wake walikuwepo huko. Kualikwa katika arusi ya mtu mwingine haingewezekana. Kwa sababu hawakuwa na uhusiano mzuri na watu wengine, ila waalikwa wote.

Basi arusi ilikuwa ya Yesu mwenyewe.

(B) Wakati divai ya arusi ilipokwisha, Mariamu mama yake Yesu, alishituka na alihangaika sana, na mara moja alikwenda kwa Bwana Yesu kumwambia afanye chochote sasa, maana itakuwa fedheha mbele ya wageni.

Mahangaiko ya Bi Mariamu yanaonesha kwamba yeye hakuwa mgeni bali alikuwa mwenyeji na msimamizi wa arusi ya mwanawe Yesu. Waila wageni hawatishiki kwa kupungua au kwisha chakula.

(C) Wakati Bwana Yesu aliambiwa apange mpango wa kuongeza divai ya arusi, alimwambia mama yake kwamba leo mimi ni bwana arusi, hivyo siwezi kuhangaika. Kwa sababu ya kukaa juu ya kiti cha Bwana arusi, saa yangu haijawadia.

(D) Bi Mariam aliwaita wanafunzi kumsaidia Yesu kupanga mpango wa divai, wote walishughulika kufanya kazi ile.

Hiyo inaonesha kwamba arusi ilikuwa ya Bwana Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakimsaidia katika shughuli za arusi. Maana hawakuwahi kufanya kitu kama hiki kabla.

(E) Mkuu wa meza alikuwa mtu mwingine. Kama arusi alikuwa siyo Yesu basi yeye angekuwa mkuu wa meza kulingana na heshima yake. Lakini kama Yesu alikuwa bwana arusi basi mwingine anaweza kuwa mkuu wa meza.

(F) Yule mkuu wa meza alimwita bwana arusi na kumpongeza kwa kutengeneza divai nzuri. Kwavile bwana Yesu ndiye aliyetengeneza divai basi ni yeye pia aliyekuwa bwana arusi.

Basi arusi ya Kana ya Galilaya ilikuwa ni arusi ya Bwana Yesu.

Je, mtu aliyeendelea kufanya mapenzi na mwanamke au aliyeoa anaweza kuwa mungu?

MAJINI YANAWAHARIBU AKILI.
 
Hao ni wakristo wenzenu wanaowaandilia biblia
Magovi yameota kwenye akili zenu , inakuwa mnafikiri kwa kutumia magovi [emoji12][emoji12][emoji12]
Nakushangaa sana unayakataaje Majini wakati Mtume kawaambia ni ndugu zenu wa kweli katika Dini.
................
Jami` at-Tirmidhi 18
Abdullah bin Mas'ud narrated that :

Allah's Messenger said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
..................
Na ni Maislamu yenzenu.
.........
Surah Al-Djini: Ayah 14

وَأَنَّا مِنَّا ٱلۡمُسۡلِمُونَ وَمِنَّا ٱلۡقَٰسِطُونَۖ فَمَنۡ أَسۡلَمَ فَأُوْلَٰٓئِكَ تَحَرَّوۡاْ رَشَدٗا
Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.

وَأَنَّا مِنَّا ٱلۡمُسۡلِمُونَ وَمِنَّا ٱلۡقَٰسِطُونَۖ فَمَنۡ أَسۡلَمَ فَأُوْلَٰٓئِكَ تَحَرَّوۡاْ رَشَدٗا
...........
Wewe ni wa kumkanusha Allah na Mtume wake kweli, na anajiita Mwislamu.[emoji849]
Jinga kabisa wewe
 
Hebu tuangalie tukio la kwanza la Shetani katika Biblia:

"Shetani akainuka juu ya Israeli, akamshawishi Daudi awahesabu Israeli. Basi Daudi akamwambia Yoabu, na majemadari wa jeshi, Enendeni mkawahesabu Waisraeli tangu Beer-sheba mpaka Dani; kisha mnirudie, nipate kujua jinsi wengi wapo.' (Kutoka katika Biblia ya NIV, 1 Mambo ya Nyakati 21:1-2)”
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Yesu alikufa na kufufuka
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lss

Tofauti zipo nyingi kwanza Yesu alikufa na kufufuka siku ya tatu

Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
1:Tofauti zipo nyingi tu, kwanza kitendo cha kusulubiwa kinakubalika katika dini zote Islam na Christian Yesu alikufa na kufufuka siku ya tatu, ila Issa hakufa kabisa bali walibabaishiwa mtu mwingine wakadhani ni nabii Issa,
2: Yesu alisema atarudi tena kulinyakua kanisa lake pamoja na malaika watakatifu, lakini Quran na vitabu vya hadithi mbalimbali vinasema nabii Issa atarudi tena atafikia Syria na kuua nguruwe wote na kufunja misalaba yote na ataoa na kufa kama watu wengine ili yatimie maandiko kila nafsi itaonja mauti.
3:Yesu alihubiri habari njema ziletazo ondoleo la dhambi na ndi maana alimwambia yule mama enenda zako wala usitende dhambi tena hadi makutano wakajiuliza nafsini mwao ni nani huyu awezaye kusamehe dhambi Yesu akafahamu nafsini mwake kwamba wanafikiri hivyo, kwa mujibu wa Quran Nabii Issa si lolote na si chochote ni mtume tu.
 
Yesu ni mwana wa Mungu, ila Issa sio mwana wa Mungu kwa kuwa Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa.
 
Govi lililoota kichwani mwako ni zaidi ya hiyo akili yako na inaelekea limegeuka chuma na ni vigumu kuliondosha ,

umebaki kuunga unga aya za biblia na Quran kujaribu kumpa uungu Yesu lakini kumbe hiyo ni akili ya govi

Hapo mwanzo kulikuwa na Neno"

Huenda ‘ushahidi’ wa uungu wa Yesu ulionukuliwa sana niYohana 1:1 na 14,

“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu... Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.”

Hata hivyo, maelezo haya hayakutolewa na Yesu Kristo, wala hayakuhusishwa naye na mtunzi wa Injili kwa mujibu wa Yohana.

Hivyo, mistari hii haiundi ushahidi wa uungu wa Yesu, hasa hasa kuzingatia shaka inayoshikiliwa na wasomi wa Kikristo juu ya Injili ya Nne. Wasomi wa Biblia waliotunga Injili tano:

“Picha mbili zilizochorwa na Yohana na muhtasari wa injili (yaani Injili ya Mathayo, Marko na Luka) zote mbili haziwezi kuwa ubainifu wa kihistoria.

Neno lilohusishwa na Yesu katika Injili ya Nne limeundwa na wainjilisti kwa sehemu kubwa, na linaakisi mwendelezo wa lugha ya jamii ya Wakristo wa Kiyohana.
Neno la Kigiriki lilotumiwa na mtunzi wa Injili ya Nne asiyejulikana kwa “neno” ni logos.

Kwa kufanya hivyo, huyo mtunzi anamtambulisha Yesu kwa logos la wanafalsa wapagani wa Kigiriki, neno ambalo lilikuwa na lengo takatifu na thabiti lililojitokeza ulimwenguni, huyo mtunzi akalipangilia neno hilo na kulipa mfumo na maana.

Wazo la logos katika fikra za Kigiriki huenda linarejea nyuma, kwa uchache hadi kwa mwanafalsafa wa karne ya sita BC, Heracleitus, aliyependekeza kuwa, kulikuwa na logos ulimwenguni anayetenda kwa mwanadamu kulingana na nguvu ya hoja. Baadaye, Stoics analitambulisha logos kuwa ni tendo, mantiki, na kanuni ya kiroho inayosambaa katika ukweli wote.

Mwanafalsafa wa Kiyahudi anayeongea Kigiriki, Judaeus Philo wa Alexandria (15 BC -45 CE), amefundisha kuwa logos alikuwa ni mpatanishi baina ya Mungu na ulimwengu, kwa kuwa na sifa mbili za uwakala wa Mungu na ulimwengu, na kuwa na sifa mbili za uwakala wa viumbe na wakala wa ambaye kupitia kwake akili ya mwanadamu inaweza kumfahamu Mungu.

Maandiko ya Philo yalihifadhiwa na kutunzwa na kanisa, na kueneza ufunuo kwa mafundisho ya kistaarabu ya tiolojia ya kifalsafa ya Kikristo. Aliacha mafundisho ya fikra za Kipilato wakichukulia logos(Neno) na kuliita “mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mungu.
Tunazidi KUWANYAKUA WENGI TOKA MOTONI![emoji123][emoji106] [emoji122][emoji122][emoji122]
allah Hana Maskhara na mtoto wa mtu
[emoji116][emoji116]
وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ

[ AL - AN-A'AM - 128 ]
Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
Jude 1:21-23
[21]jilindeni katika upendo wa Mungu, huku mkingojea rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo, hata mpate uzima wa milele.

IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]
[22]Wahurumieni wengine walio na shaka,

[23]na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili. Baraka

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Hicho ulicho copy na kutupia Humu ni UTHIBITISHO KWAMBA HUYU YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI
[emoji116][emoji116]
يسوع هو إله كامل ورجل كام
yasue hu 'iilah kamil warajul kamil

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Na ndio akaoa na kuzaa watoto ??

Jesus Christ, Wife Mary Magdalene Had 2 Kids, New Book Claims​

"The Lost Gospel" authors based assertions on an ancient manuscript.
ByABC NEWS

141110_gma_harris6_16x9_608.jpg

'The Lost Gospel' claims Jesus had a wife and two children.
ABCNews.com
 
JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.

HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
 
"Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword." – Matthew 10.34.

How far does Jesus go with this malevolent (and plainly ridiculous) dictum? Matthew provides the answer:

Having alienated his followers from their families with this murderous nonsense Jesus advises his adoring groupies on how to deal with their own body parts that lead them into sin – amputation! They are to mutilate themselves by cutting off hands and plucking out eyes. He says it's better to be "maimed" than to suffer the "everlasting fire" of hell.

HUMU KUMBE BADO KUNA WAJINGA.
UPANGA WA ROHO NI NENO LA MUNGU.

Waebrania 4:12 “Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.

17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;
Waefeso 6:17

FICHA UJINGA NDIO MAANA MNAOA MTOTO WA MIAKA SITA
 
Mwanzo na Mwisho

Katika kitabu cha Ufunuo 1:8, inadokezwa kuwa Yesu amesema yafuatayo kujihusu yeye mwenyewe: “Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi”.

Hizi ni sifa za Mungu. Kwa hiyo, hapa Yesu, kwa mujibu wa Wakristo wa mwanzo, anadai uungu.

Hata hivyo, hayo maneno yalitajwa hapo juu ni kwa mujibu wa toleo la King James Version.

Ama katika toleo la Revised Standard Version, wasomi wa Biblia wanarekebisha makosa ya kitafsiri na wameandika: “Mimi ni wa mwanzo na wa Mwishom” asema Bwana Mungu,..”.

Pia, marekebisho yalifanywa katika toleo la New American Bible iliyotayarishwa na Wakatoliki.

Tafsri ya aya hiyo imerekebishwa ili iwekwe katika muktadha wake ulio sahihi kama ifuatavyo: “Bwana Mungu anasema:

“Mimi ni wa mwanzo na wa Mwisho...”

Ikiwa na marekebisho haya, inadhihirika kuwa, mstari huu ulikuwa ni maelezo ya Mungu na sio maelezo ya Mtume Yesu.

Kisilamu silamu umepatia pata Karisa Jaribu Italia nyau nyau!
Piga mikelele tu hata mungu wako amewashitukia Kwa ubishi, ugomvi na mikelele!
[emoji116][emoji116]
لَمَّا ضُرِبَ ٱبْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ ﴿٥٧﴾
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.

وَقَالُوٓاْ ءَأَٰلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًۢا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ ﴿٥٨﴾
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi!

Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword." – Matthew 10.34.

How far does Jesus go with this malevolent (and plainly ridiculous) dictum? Matthew provides the answer:

Having alienated his followers from their families with this murderous nonsense Jesus advises his adoring groupies on how to deal with their own body parts that lead them into sin – amputation! They are to mutilate themselves by cutting off hands and plucking out eyes. He says it's better to be "maimed" than to suffer the "everlasting fire" of hell
 
Kisilamu silamu umepatia pata Karisa Jaribu Italia nyau nyau!
Piga mikelele tu hata mungu wako amewashitukia Kwa ubishi, ugomvi na mikelele!
[emoji116][emoji116]
لَمَّا ضُرِبَ ٱبْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ ﴿٥٧﴾
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.

وَقَالُوٓاْ ءَأَٰلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًۢا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ ﴿٥٨﴾
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Mwanzo na Mwisho

Katika kitabu cha Ufunuo 1:8, inadokezwa kuwa Yesu amesema yafuatayo kujihusu yeye mwenyewe: “Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi”.

Hizi ni sifa za Mungu. Kwa hiyo, hapa Yesu, kwa mujibu wa Wakristo wa mwanzo, anadai uungu.

Hata hivyo, hayo maneno yalitajwa hapo juu ni kwa mujibu wa toleo la King James Version.

Ama katika toleo la Revised Standard Version, wasomi wa Biblia wanarekebisha makosa ya kitafsiri na wameandika: “Mimi ni wa mwanzo na wa Mwishom” asema Bwana Mungu,..”.

Pia, marekebisho yalifanywa katika toleo la New American Bible iliyotayarishwa na Wakatoliki.

Tafsri ya aya hiyo imerekebishwa ili iwekwe katika muktadha wake ulio sahihi kama ifuatavyo: “Bwana Mungu anasema:

“Mimi ni wa mwanzo na wa Mwisho...”

Ikiwa na marekebisho haya, inadhihirika kuwa, mstari huu ulikuwa ni maelezo ya Mungu na sio maelezo ya Mtume Yesu.
 
Na ndio akaoa na kuzaa watoto ??

Jesus Christ, Wife Mary Magdalene Had 2 Kids, New Book Claims​

"The Lost Gospel" authors based assertions on an ancient manuscript.
ByABC NEWS

141110_gma_harris6_16x9_608.jpg

'The Lost Gospel' claims Jesus had a wife and two children.
ABCNews.com
Kisilamu silamu umepatia [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kisilamu silamu umepatia [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Mungu kaoa na kupata watoto???

Jesus Christ, Wife Mary Magdalene Had 2 Kids, New Book Claims
"The Lost Gospel" authors based assertions on an ancient manuscript.
ByABC NEWS

'The Lost Gospel' claims Jesus had a wife and two children.
ABCNews.com
 
Back
Top Bottom