Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
nyie jamaa mmedanganywa sana.
mmedanganywa kuwa mtu kuwa mtume basi automatic ni sinproof.
Hivi unajua hata mtume Mohammad aliwahi Kurogwa. Huu ni udhaifu mkubwa maana hana ulinzi wa Malaika wa Mungu. Wachawi wanapenya bila shida.
Ivi kweli najadiliana na mtu ambae hajui maana ya sinproof na kufananishwa na kurogwa? Ivi kuna sehemu nimesema mtume wetu kuwa ni mtu wa ajabu? Mbona alipokufa Abu bakr bin Siddiq aliweka wazi? mbona kila mtu anajua kuwa mtume alikuwa binaadamu kama sie tu?

Mnaemwita Mungu kauliwa msalabani, ata ulinzi wake mwenyewe hakuwa nao

Sasa mitume wote wa kwenye Bibilia ukimuacha Yesu ambaye ni Mungu alikuja kama mtume kwa miaka 30 Kisha akarudi katika Enzi zake baada ya kumariza mradi wa kumkomboa mwanadamunwengine wote walikosea mara nyingi tu kama ulikuwa hujui.
Ukiambiwa kuna mtume sinless huo ni ushahidi tosha huyo ni mtume wa uongo.
Allah amemkosoa mtume kwenye Quran mbona? Kwaio ushakiri kuwa mtume Muhammad s.a.w alikuwa mtume sahihi, umebakisha ubishi. usione aibu kusilimu.

Ushahidi.
Nuhu alilewa akabaki uchi
Ibrahim alizini na mfsnyakazi wake, alisema uongo kuwa mkewe ni dada yake.
Yakobo muongo wa kutupwa.
Daudi mzinzi aliyetubu.
Suleiman zinaa
Petro Kiherehere na kutoamini
Yohana hasira
Paulo Muuaji.
Eliya Kutokuamini
Isaya mtu wa midomo michafu

etc
Kamwe huwezi kukuta uchafu kama huu kwa mitume wa Allah.

Hivi unachagua mlevi kuongoza familia unategemea nini? Hapa tayari unatuonesha kuwa huyo mnaemwita mungu na mitume yake yote ni dhaifu hakujua nani amchague kuongoza watu. 😀 Hivi mtu una akili timamu unafuata mitume wenye kusema uongo? kuzini na watoto wao?

Unaanzaje kumuamini mtume Paulo muuaji?

Asante mitale na midimu leo umetuthibitishia kuwa Wakiristo mnafuata wahuni na washenzi kuwaongoza kwenye dini.

Kama hao ndio walikuwa mitume wenu, sisi waislam mitume wetu walikuwa wema na walichaguliwa kwa wema wao.

Mtume anapokuwa hana dhambi basi ni ushahidi wa kuwa huyo ni mtume sahih kwani Mungu anachagua aliekuwa mwema miongoni mwa watu kuongoza wenzake.
 
unauelewa finyu juu ya watu wa kitabu.
hivi unajua wakayi council of nicea inakaa kulikuwa na wakristo wengi tu wenye kitabu iran, iraq, syria, uarabuni, hadi india mabao hayo mambo hawakuhusika lkn vitabu vyao (received texts) bado vilikuwa vinaendana na hivyo vya magharibi.
Nawaelewa watu wa kitabu vyema sana. Ni watu ambao walikuwa wanatumia Taurat ya Mussa, Injili ya Issa na Zabur ya Daud. Waliokuwa wanatumia Injil ya matayo, na kitabu cha pauolo na wengine hawahuwahi kuitwa watu wa kitabu. Council of nicea ilifanya nini?
 
BIBILIA HAIJAANDIKWA NA MUNGU.
Mungu ameandika sehemu tatu tu.
1: Kwenye mbao za mawe.
2: Mene mene tekel na Peresi Kwenye ukuta ukumbini mbele ya mfalme belshaza
3: Ardhini alipoandika mbele ya Wale jamaa waliokuwa wanataka kumponda yule kahaba.

Mungu amekuwa akiandika, akiongea na akifikia wanadamu kupitia wanadamu waliovuviwa na Roho wake. Huu ni utaratibu wa Mungu. Angeweza kuandika akavitupa vitabu kutoka mbinguni ila ndio mfumo aliochagua. Ndio maana nakushangaa kuona wakina yohana, marko wanaandika.

Pia kushangaa nicea kufanya cannonization ni unafiki wa kiwango cha rami. Hujui mkuu walikaa wanadamu kama 20 hivi kupitisha version ya quran ambayonsina hakika kama bado ni ileile aliyoshushiwa Mohammad. Unajua Uthman ndiye aliyejifungia na wenzake na wakatoka na version ya quran copy saba na akazigawa kisha akazituma nchi kadhaa moja ikibaki maka, na licha ya maeneo hayo kuwepo waislam hadi leo lkn hakuna hata copy moja ambayo imebaki kama ushahidi?

Yale maneno ya Bibilia ninsahihi mkuu
Hapa unadanganya watu kuwa eti alikuwa anaongea na watu wakati ni mnaneno ya watu wenyewe tu wakijidai wame quote kutoka kwa yesu. Kwa mfano kwenye agano la kale kuna kitabu alichoandika mussa lakini alikufa ila bado kitabu kinaendelea na story zake.

Bibilia sio maneno ya Mungu.

Maneno ya Mungu ni Taurat, Injil ya Issa na Zabur tu. akina pauolo wakatia uongo wao kujifanya wameshushiwa wahyi. wauwaji, wabakaji na wazinzi wamekuwa mitume?

Sasa nkufundishe kuhusu Quran.

Kwanza Quran ilikuwa imehifadhiwa ndani ya mioyo ya masahaba wengi sana. Hapo awali, masahaba walikuwa wakiandika Quran kwenye vitambaa, vipande vya ngozi, mifupa n.k

Wakati wa vita ya Yamama, masahaba 70 ambao walikuwa wamehifadhi Quran, walifariki kwenye hio vita, hii ikaleta hali ya wasiwasi kuwa wakifa wote waliohifadhi basi hakutakuwa na Quran tena.

Ikaundwa kamati ya watu 12, vikakusanywa vitu vyote vilivopo ambavo Quran iliandikwa, halafu ikawa inasomwa kwa sauti ili kila mmoja ajue na kama pana makosa akosolewe.

Sasa wewe chukulia kama leo misahafu yote imepotea, toka Tanzania nenda kenya halafu msomee Quran mtu aliehifadhi, badilisha aya, hapo hapo atakukosoa.

Wakati Quran hii inasambazwa, hakuna mtu aliekataa kilichopo kwenye Quran kwa sababu ndicho kile kile alichokifundisha Mtume. waliohusika kuieka Quran kwenye kitabu ni masahab ambao walikaa na mtume.

Waliohusika Nicea wao walikuwa na Yesu? Twambie ni vitabu vingapi vimepigwa makofi?

Gospel of Judas!
 
Ivi kweli najadiliana na mtu ambae hajui maana ya sinproof na kufananishwa na kurogwa? Ivi kuna sehemu nimesema mtume wetu kuwa ni mtu wa ajabu? Mbona alipokufa Abu bakr bin Siddiq aliweka wazi? mbona kila mtu anajua kuwa mtume alikuwa binaadamu kama sie tu?

Mnaemwita Mungu kauliwa msalabani, ata ulinzi wake mwenyewe hakuwa nao

Allah amemkosoa mtume kwenye Quran mbona? Kwaio ushakiri kuwa mtume Muhammad s.a.w alikuwa mtume sahihi, umebakisha ubishi. usione aibu kusilimu.

Kamwe huwezi kukuta uchafu kama huu kwa mitume wa Allah.

Hivi unachagua mlevi kuongoza familia unategemea nini? Hapa tayari unatuonesha kuwa huyo mnaemwita mungu na mitume yake yote ni dhaifu hakujua nani amchague kuongoza watu. 😀 Hivi mtu una akili timamu unafuata mitume wenye kusema uongo? kuzini na watoto wao?

Unaanzaje kumuamini mtume Paulo muuaji?

Asante mitale na midimu leo umetuthibitishia kuwa Wakiristo mnafuata wahuni na washenzi kuwaongoza kwenye dini.

Kama hao ndio walikuwa mitume wenu, sisi waislam mitume wetu walikuwa wema na walichaguliwa kwa wema wao.

Mtume anapokuwa hana dhambi basi ni ushahidi wa kuwa huyo ni mtume sahih kwani Mungu anachagua aliekuwa mwema miongoni mwa watu kuongoza wenzake.
Yani jamaa umejisahaulisha muddy alikula katoto cha miaka 6 , yani ukweli ni kwamba muddy angekuwa zama izi tunge muweka gerezani maisha na dini yake ingeishia apo apo . maana jamaa alikuwa anakula mpaka ajuza
 
miaka 6? 9? ni ipi hasa alikuwa? Kwani Bikra maria alikuwa na umri gani wakati yupo na Yussuf?

Zama hizi si ndio zama mbovu kabisa kuwahi kutokea? Mtu anaepinga ushoga anafungwa ila mashoga wanatembea barabarani na wameekewa wiki kabisa inaitwa pride week. Ujinga umekutawala... eti zama hizi ukifikiri kuwa ndio zama bora 😀
 
Jela ingemuhusu tu muddy , hamna namna
 
@Khantwe hakuna muislamu anaekataa biblia, ila inapingwa kwasababu ya kuongezewa aya za kishetani..

Biblia ilikuwa sahihi hapo zamani kwa asilimia 100% ila kwa sasa wameongeza na kupunguza maneno

Kumbuka ule mkutano uliofanywa kule ulaya kwaajili ya kupiga kura vitabu gani viwepo na gani visiwepo
Unaweza kuleta hiyo iliyosahihi kwa 100%
 
Ko yesu aliumba kila kila kitu afu nd akazaliwa na Bikra Maria yaani alimuumba mama ake before his existence
Kwann azaliwe if he had existed already....
Kasome mdogo angu soma vizuri uelewe
Elimu za mapokeo ni mbaya soma mwenyew uzur Bible zimeandikwa kwa kiswahili soma kwa lengo la kutafta ukweli usiwe biased when you searching for the truth...
Nimekuambia uwe unauliza maswali kama msomi. Yesu alikuepo kabla ya misingi ya Dunia kuwepo. Yeye ndio alieumba kilakitu. Na ukuu wake na uweza wake hawezi shindwa kuja kama alivyokuja.
 
Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.

Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?

Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?

UPDATES
Tumegundua Yesu hakuwa na Baba Binadamu. Tumegundua Yesu hakuanzia Tumboni mwa Mariam ila alipitia Tumboni mwa Mariam. Waislam wako sahihi Kumuita Issa Bin Mariam ila watakuwa sahihi saizi wakimuita Mwana Wa Mungu ambaye ni Mungu.
Kisheria ya kutumia ubin, huangalia mzazi halisi wa mtoto. Haiangaliwi Mlezi wake, ndiyo maana hata Mtume Muhammad(S.A.W) mtoto wake wa kumlea Zaid alitumia ubin wa baba yake wa damu, na si wa baba aliyemlea.

Sasa nirejee kwenye swali lako:

Mtoto anapopewa jina, jambo la kwanza huangaliwa ubin wa baba yake mzazi, kama haijulikani hutazamwa ubin wa mama yake mzazi. Kama nao haujulikani, basi huangaliwa ubin wa jamii inayomzunguka, au mlezi wake.

Issa Bin Maryam, kachukua ubin wa mama kwakuwa hana ubin wa Baba mzazi. Ambapo inatakiwa achukue wa mama, kama ukikosekana.

Yusuf ni baba yake mlezi, ikiwa ungekosekana wa wazazi wote wawili ndiyo angepewa wa mlezi wake.

Nadhani nimelijibu swali lako, masuala mengi kuhusu uislamu hufafanuliwa na hadithi na si Quran pekee. Kile ni kitabu cha kisheria na katiba ya uislamu.

Huko kwenye uungu ni wewe na mtazamo wako, ila kiuislamu ni Nabii na Mtume pekee. Kuzaliwa bila baba, ni sehemu ya upekee tu ambao kila mjumbe wa Mungu alipatiwa kwenye maisha yake.

Yupo Nabii ambaye alifariki lakini hakuwahi kutolewa roho duniani, ilitolewa roho akiwa mbingu ya tatu na bado hakupewa sifa zaidi ya hapo.

Mtume Muhammad(S.A.W) naye alishapasuliwa kifua akiwa hai, akaushusha mwezi na kuupasua vipande viwili. Yote hiyo ni sehemu ya mambo aliyofanyiwa, lakini amebaki ni Nabii na Mtume pekee na huo ni sehemu ya karama aliyopewa kuaminisha umma wake. Kama ilivyo Nabii Issa kujaaliwa hilo.

Yupo Nabii Yahya, mtoto wa Nabii Zakaria ambaye ni mlezi wa Mariam mama yake Nabii Issa. Huyu alijaaliwa kipawa cha kuongea alipozaliwa tu, kama ilivyo Nabii Issa.

Hivyo hayo maajabu yote aliyokuja nayo Nabii Issa, ilikuwa ni kwa lengo la kuaminisha umma wake kuwa ni mjumbe halisi wa Mungu. Kama ilivyo manabii na mitume wengine, hakuhusiani na hayo madai yako kwenye msingi wa dini yetu.
 
Haya ndio matatizo ya kushirikiana na majini yani akili yako inafungwa wala huelewi. Sasa hapo nabii ni nani?
Ficha ujinga na usome...soma mstari wa 36 utamjua. Bendera hufuata upepo ndio wewe! Umepuliziwa dawa ya mbu ukawa hujamuona au?
 
Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.

Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?

Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?

UPDATES
Tumegundua Yesu hakuwa na Baba Binadamu. Tumegundua Yesu hakuanzia Tumboni mwa Mariam ila alipitia Tumboni mwa Mariam. Waislam wako sahihi Kumuita Issa Bin Mariam ila watakuwa sahihi saizi wakimuita Mwana Wa Mungu ambaye ni Mungu.
Cha kwanza huyo Issa sio YESU
 
Ficha ujinga na usome...soma mstari wa 36 utamjua. Bendera hufuata upepo ndio wewe! Umepuliziwa dawa ya mbu ukawa hujamuona au?
Nikikuambia umefungwa ufaham unabisha. Unawaza kupulizwa ukiwa unaswali. Nimekuambia hakuna nabii hapo kwenye mistari mwanzo mwisho. Sasa usilete upumbavu wa kitabuchako maana umefundishwa kukariri na sio kutafakari.
 
Mpumbavu unakataa kitabu kitabu chako mwenyewe. Wenye tabia ya kupulizwa mnajijua mkenda kanisani.

Subiri pastor wako ampigie simu Mungu wako amuulize kama ametajwa nabii au hakutajwa
 
Mpumbavu unakataa kitabu kitabu chako mwenyewe. Wenye tabia ya kupulizwa mnajijua mkenda kanisani.

Subiri pastor wako ampigie simu Mungu wako amuulize kama ametajwa nabii au hakutajwa
Mtume alisema mkiwa mnaswali shetani anawapuliza matakoni sasa unabishana na kitabu chako au hujui. Endeleeni kushirikiana na majini yenu maana mliyasilimisha wenyewe.
 
Mtume alisema mkiwa mnaswali shetani anawapuliza matakoni sasa unabishana na kitabu chako au hujui. Endeleeni kushirikiana na majini yenu maana mliyasilimisha wenyewe.
Wapi kwenye Quran imesema ivo? nakusubiri ulete.

Majini kusilimu ni jambo la kheri mana sisi na wao Mungu wetu mmoja na ndie alietuumba. Sasa kama wewe Mungu wako Yesu na unajua kuna majini kisha unawakana, basi tambua kuwa dini yako ni utumbo mtupu. Maana kama unajua mapepo yapo kisha unakana hayana uhusiano na dini yako, basi utwambia mapepo yameumbwa na nani!

Ndio maana nakuona mpumbavu mana hujui ukisemacho. Ila sishangai, unafuata dini ambayo mitume wake walikuwa wazinifu 😀 sitegemei kuwa utakuwa na akili
 
Dah ivi kuna mtu anaweza kufanya aliyo fanya muddy , jiulize tu apo mtoto wako miaka 6 mpaka 9 mzee amchukue kama huja mtoa uhai huyo mzee, alafu kama mapepo na majini walisilimu ana maaana ata shetani au yy alikataa
 
Wapi kwenye Quran imesema ivo? nakusubiri ulete.

Majini kusilimu ni jambo la kheri mana sisi na wao Mungu wetu mmoja na ndie alietuumba. Sasa kama wewe Mungu wako Yesu na unajua kuna majini kisha unawakana, basi tambua kuwa dini yako ni utumbo mtupu. Maana kama unajua mapepo yapo kisha unakana hayana uhusiano na dini yako, basi utwambia mapepo yameumbwa na nani!

Ndio maana nakuona mpumbavu mana hujui ukisemacho. Ila sishangai, unafuata dini ambayo mitume wake walikuwa wazinifu 😀 sitegemei kuwa utakuwa na akili
Ubakaji wa watoto unajua nani kaanzisha? Bila muhamad kusingekuwa na ubakaji wa watoto chini ya miaka 9. Alafu unataka kuongea nn? Kweli mtume atembee na katoto ka miaka tisa alafu anasema katumwa na allah. Sasa huyo allah wake kama sio pepo ni nani?
 
Back
Top Bottom