Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Mnadhihaka Sana nyinyi wagalatia ndio maana hamuelewi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Dhihaka gani ustz?! qulu haqi wainkana mura![emoji123][emoji106]
Kataa sasa kama mawe ya kumpopoa shetani mnapo fanya hija hamnunui kwa dola.$![emoji101][emoji101]
Kataa sasa kama wakati wa kumpiga shetani mnavua suti na mnavaa vitambaa viwili kimoja chini kingine juu bila chupi (ihram)![emoji101][emoji101]
 
Alafu Eti shetani na Allah ni neighbors

Wanaishia sehemu moja

gTurn
Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni[emoji91]
[emoji1370][emoji1370]

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!
[emoji1370][emoji1370]
Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni linil[emoji101]

Hosea 4:6
[6]Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 
Aliiba mpaka chupi nyekundu kwenye ngawira wakammaind mbaya kabisa [emoji23][emoji1787][emoji1787] akashusha Aya

Koran 3:161. Haisihi kuwa Nabii yeyote kukhuni katika ngawira kama walivyo eneza kwa uzushi wanaafiki waongo.... Tafsir al-Jalalayn 3:161 When some red velvet cloth went missing on the Day of Badr and some people began to say ‘Perhaps the Prophet took...
يَسْأَلُونَكَ عَنِ الْأَنفَالِ ۖ قُلِ الْأَنفَالُ لِلَّهِ وَالرَّسُولِ ۖ فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَصْلِحُوا ذَاتَ بَيْنِكُمْ ۖ وَأَطِيعُوا اللَّهَ وَرَسُولَهُ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ

[ AL - ANFAAL - 1 ]
Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Mwenyezi Mungu na Mtume. Basi mcheni Mwenyezi Mungu na suluhisheni mambo baina yenu, na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume wake ikiwa nyinyi ni Waumini.
 
Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni[emoji91]
[emoji1370][emoji1370]

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!
[emoji1370][emoji1370]
Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni linil[emoji101]

Hosea 4:6
[6]Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
Ndio maana nasema nyie ni wehu hio 50:30 umeisoma? Wapi inasema Allah Katia mguu? Nyie nawambieni mmekomaa na bukhari na kanjanja zake alafu tukiwapiga shule mnatupangia yaan uislam wetu halafu nyie ndio mtufundishe yatakua maajabu ya karne

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nasema nyie ni wehu hio 50:30 umeisoma? Wapi inasema Allah Katia mguu? Nyie nawambieni mmekomaa na bukhari na kanjanja zake alafu tukiwapiga shule mnatupangia yaan uislam wetu halafu nyie ndio mtufundishe yatakua maajabu ya karne

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Tuwekee aya hiyo imeshuka wapi sababu ya kushuka, muhammad kaifundishaje?!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Are the same sema tu wamekuwa viewed and explained tofauti according to each ones interest and percepective ila story zao ziko alike somehow ila kuna slight differences. Na pia inawezekana Yesu na Issa tunaoambiwa habari zao story zote zimepindishwa kwa interest flan.
Kwenye Movie ya Pirates of carribean wanasema, same story different versions
 
Kwamba wayahudi nao wanaamini Mungu wao ni Yesu huyu huyu anayeaminiwa na wakristo?
Umeuliza na umejibiwa kwa Aya kuwa Manabii wa kwenye Biblia wanamwita Yesu kuwa ni Mungu. Umepewa Aya kama Isaya 9:6.
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
[emoji117]Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,[emoji818]
Mungu mwenye nguvu,[emoji818]
Baba wa milele, [emoji818]
Mfalme wa amani.[emoji818]

Wafunzi wa Yesu (Wayahudi) pia alimwita Yesu Mungu mbele yake naye hakukanusha bali alikubaliana nao

Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na [emoji117]Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa
[emoji117]heri wale wasioona, wakasadiki.

Biblia inasema Mungu alitwaa mwili akaja duniani anajitambulishakwa watu wake kama Mwana wa Mungu
Yohana 1: 14.
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.[emoji818]

Ndugu zake Yesu Wayahudi ambao hawakuwa Manabii, mara kadhaa walimkemea pale Yesu alipojiita Mungu mbele yao
Yohana 10:33
Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa [emoji117]kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu [emoji117]wajifanya mwenyewe u Mungu.
34 Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba,
Mimi nimesema, Ndinyi miungu?[emoji818]

Hivyo Yesu Kuitwa Mungu hawajaanzisha Wakristo kwakua Manabii wa Agano la Kale na Wayahudi wa kawaida hawakuwa Wakristo.[emoji818]

Hivyo hitimisho la Swali lako ni kwamba;
1. Kwa Mujibu wa vitabu vya
Torati,[emoji818]
Zaburi [emoji818]
Injiri.[emoji818]
Yesu ni Mungu[emoji818]

2. Kwa Mujibu wa Qurani Isa ni Nabii kama Manabii wengine.[emoji818]
Hii ndio tofauti kuu, na ya msingi sana kati ya Yesu Kristo na Isa bin Marriam.[emoji818]
 
Aisha kalikuwa kadogo adi mama yake akapewa jukumu la kumlisha mpaka anenepe apelekwe kwa pedophile Muhammad
Tatizo lenu mnajadili kitoto sana hilo suala la ndoa ya Muhammad mnadhani ni kitu ambacho kimegundulika hivi karibuni kumbe watu washajadiliana sana toka kitambo na hadi kutunga na vitabu. Sasa nyie mnakuja hapa kama vile ndio mmegundua hilo jambo, kibaya hamna hoja zozote zaidi ya kukariri tu Muhammad kaoa mtoto basi.
 
Quran haina mtu anaitwa Yesu, period. Mistake kujipa umaarufu na dini ya mchongo
Umaarufu si angepewa huo uungu mliyompa nyinyi? Yesu/Issa kwenye Qur'an kaelezwa kama walivyoelezwa manabii wengine basi, nashangaa hao wengine waliyoelezwa kwenye Qur'an ambao na kwenye biblia wapo hamsemi kuwa ni watu wengine tofauti ila Yesu.
 
Kwani Tomaso Mwanafunzi wa Yesu alikuwa ni wa Dini gani. Alipomwita Yesu Mungu ?
Muwe mnasoma kwa makini na kuelewa mnapojibiwa hoja.
Labda hatujaelewana, ukiniambia Wayahudi wanamuamini Yesu ni Mungu itakuwa tunafanyana watoto hapa. Halafu nakuona una force sana na huo uungu wa Yesu, nishasema hiyo ni imani wenye kutaka kuamini wataamini usijitutumuwe sana.
 
Tomaso alikuwa Dini gani kwani ?

Tambua Uwingi unaanzia watu wawili hata kama sio wote.

Yohana,Tomaso, Mathayo,Tito nk. walikuwa Wayahudi na walikiri kwa kutamka kuwa Yesu ni Mungu.

Wewe Mmakonde Mwislamu kinakuuma nini kwani ?

Nawewe endelea Kutamka Allah ni Mungu wako.
Yatosha kwako
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Mkuu, kwa sasa hapa nchini Uislam upo sahihi kwa tafsiri.
Maandiko mengi sasa ya Kikatoliki yana majina ya Yusufu, Ibrahim n.k.
Tunakoelekea bwana Yesu Kristu (kristo) ataandikwa Issa bin Mariam.
Watu wameamua.
 
Tomaso alikuwa Dini gani kwani ?

Tambua Uwingi unaanzia watu wawili hata kama sio wote.

Yohana,Tomaso, Mathayo,Tito nk. walikuwa Wayahudi na walikiri kwa kutamka kuwa Yesu ni Mungu.

Wewe Mmakonde Mwislamu kinakuuma nini kwani ?

Nawewe endelea Kutamka Allah ni Mungu wako.
Yatosha kwako
Haya sawa.
 
Hivi ni jina lipi la Yesu lenye kutenda miujiza? Mimi hili suala bado linanichanganya sana. Kuna majina tofauti yenye kumkusudia Yesu, sasa nikisikia pepo toka kwa jina la Yesu nashindwa kuelewa jina lipi hilo la Yesu lenye kutishiwa atoke?
 
Umaarufu si angepewa huo uungu mliyompa nyinyi? Yesu/Issa kwenye Qur'an kaelezwa kama walivyoelezwa manabii wengine basi, nashangaa hao wengine waliyoelezwa kwenye Qur'an ambao na kwenye biblia wapo hamsemi kuwa ni watu wengine tofauti ila Yesu.
Tumesema sisi tuna Yesu Kristu mwana wa Mungu aliyezaliwa na Bikira Mariakwa uwezo wa Roho Mtakatifu basi. Huyo msels wenu Issa bakini naye nyiyi, kwa nini mnatulazimishia?
 
Back
Top Bottom