Umeuliza na umejibiwa kwa Aya kuwa Manabii wa kwenye Biblia wanamwita Yesu kuwa ni Mungu. Umepewa Aya kama Isaya 9:6.
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
[emoji117]Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,[emoji818]
Mungu mwenye nguvu,[emoji818]
Baba wa milele, [emoji818]
Mfalme wa amani.[emoji818]
Wafunzi wa Yesu (Wayahudi) pia alimwita Yesu Mungu mbele yake naye hakukanusha bali alikubaliana nao
Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na [emoji117]Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa
[emoji117]heri wale wasioona, wakasadiki.
Biblia inasema Mungu alitwaa mwili akaja duniani anajitambulishakwa watu wake kama Mwana wa Mungu
Yohana 1: 14.
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.[emoji818]
Ndugu zake Yesu Wayahudi ambao hawakuwa Manabii, mara kadhaa walimkemea pale Yesu alipojiita Mungu mbele yao
Yohana 10:33
Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa [emoji117]kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu [emoji117]wajifanya mwenyewe u Mungu.
34 Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba,
Mimi nimesema, Ndinyi miungu?[emoji818]
Hivyo Yesu Kuitwa Mungu hawajaanzisha Wakristo kwakua Manabii wa Agano la Kale na Wayahudi wa kawaida hawakuwa Wakristo.[emoji818]
Hivyo hitimisho la Swali lako ni kwamba;
1. Kwa Mujibu wa vitabu vya
Torati,[emoji818]
Zaburi [emoji818]
Injiri.[emoji818]
Yesu ni Mungu[emoji818]
2. Kwa Mujibu wa Qurani Isa ni Nabii kama Manabii wengine.[emoji818]
Hii ndio tofauti kuu, na ya msingi sana kati ya Yesu Kristo na Isa bin Marriam.[emoji818]