Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Mpaka ukiri unakiamini kitabu cha sahih bhukar, nawajua mkiona andiko hamlipenda mnaseam dhaif hadith unakuwa umemaliza
Dhaifu na sahihi hilo ni suala la elimu ya kiislamu, lete andiko wapi mohamad alipizi hewani?
 
Nakuuliza ili nisipoteza mda wangu kwenda kufunua kitabu , alafu nilete useme ni uongo kama ndugu Yako katika kubusu jiwe

Nimekuuliza swali jepesi unakiamini kitabu Cha sahih bhukhari?
Kuna wakristo wanatumia vitabu 66 na wengine 73 au 72, umeona nauliza mtu hapa, wewe lete andiko wapi mohamad anapizi hewani?
 
quran inayo sema Mwenyezi Mungu ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI Unakubaliana nayo??[emoji101][emoji101]
Mwenyezi Mungu wetu ameweka wazi kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hakuna suala mtu kubeba madhambi ya wengine, huo ni usanii
 
Kijana acha ulevi lete andiko wapi Mohamad alipizi hewani ,
Andiko lipo ila mpaka ukiri unakiamini kitabu Cha sahih bhukhari

Kuna mbusu jiwe mwenzako niliweka Hadith ya muhamma akitoboa binadamu macho , akasema bhukhari ni muongo mkubwa
 
1683908336676.png
 
Mwenyezi Mungu wetu ameweka wazi kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hakuna suala mtu kubeba madhambi ya wengine, huo ni usanii
Kwa hiyo mungu wako analotaka hawezi na anae mshauri![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
 
Andiko lipo ila mpaka ukiri unakiamini kitabu Cha sahih bhukhari

Kuna mbusu jiwe mwenzako niliweka Hadith ya muhamma akitoboa binadamu macho , akasema bhukhari ni muongo mkubwa
Lete andiko Mzee kelele za nini kama mwanamke? week nzima unadaiwa andiko unaruka ruka tu
 
Kwa hiyo mungu wako analotaka hawezi na anae mshauri![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
Ndio kuna vitu Mungu wangu hawezi, wewe kwa akili yako Mungu wako anaweza kuwa mwanamke halafu mimi nikamuoa
 
Kama mungu wako anasema sababu ya yeye kutokuwa na mwana ni kukosa mke!! mpe mke awe na mwana basi[emoji38][emoji38][emoji38]
Mungu wangu [Atakalo huwa na Hana mshauri]
Mwenyezi Mungu Anasema!
[emoji116][emoji116]
Isaiah 55:8-9
[8]. Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.

[9]Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.

mungu wako anakazia!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
اللَّهُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ ۚ لَا تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلَا نَوْمٌ ۚ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ مَن ذَا الَّذِي يَشْفَعُ عِندَهُ إِلَّا بِإِذْنِهِ ۚ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ ۖ وَلَا يُحِيطُونَ بِشَيْءٍ مِّنْ عِلْمِهِ إِلَّا بِمَا شَاءَ ۚ وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ ۖ وَلَا يَئُودُهُ حِفْظُهُمَا ۚ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ

[ AL - BAQARA - 255 ]
Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Nimekwambia Mungu wangu kuna vitu hawezi kufanya ni nje ya utaratibu wake , niambie wewe Mungu wako anaweza kuwa mwanamke Na kuolewa na mimi? rahisi tu
 
Nilikuuliza unakiamini kitabu chenu Cha sahih bhukhari? Maana Kuna mbusu jiwe mwenzako kasema sahih bhukhari ni muongo na kitabu chake kitupwe kwenye dusty bin
Wewe ni mwehu Wala uislam hamuwezi kuujua unaelewa tuachieni wenyewe nyie endeleeni kupauka pelekeni hela madhabahuni kina Mackenzie wajanja washibe...Elimu ya hadithi huna na waisla. Vitabu tulishatajiwa viko vinne ulizauisam yoyote atakwambia katika vinne hivyo cha buhari Kiko wapi?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Swali rahisi na jepesi
Je unakiamini kitabu cha sahih bhukhari?
A. Ndio
B. Hapana
Huwezi kunichagulia majibu kitabu cha buhari kwangu Ni Kama biblia tu kina Aya naziamini Kuna zingine siziamini Sasa hapo unataka majibu gani ewe mgalatia utapasuka fuvu bure

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Nimekwambia Mungu wangu kuna vitu hawezi kufanya ni nje ya utaratibu wake , niambie wewe Mungu wako anaweza kuwa mwanamke Na kuolewa na mimi? rahisi tu
mungu wako Allah alilalamika hawezi kuwa na mtoto mpaka apewe mke 🤣🤣🤣🤣😂

Inamaana alllah anayo dudu na hatujua kwa sasa anaitumiaje
 
58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
Hapo Ni Muhammad sio shekh Wala imamu. Sisi pia sadaka zipo ila Ni kwa wahitaji maskini na wajane sio mtu mmoja tajiri ale. Nyie hamjihurumii wenyewe unanjaa badala ule unapeleka hela kwa mama mchungaji hope Ni akili

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kunichagulia majibu kitabu cha buhari kwangu Ni Kama biblia tu kina Aya naziamini Kuna zingine siziamini Sasa hapo unataka majibu gani ewe mgalatia utapasuka fuvu bure
Wewe ulisasema kitabu Cha bhukhari ni takataka kwa hiyo ka pembeni
 
Back
Top Bottom