Sasa wew hizo ni hadithi tuu huna Aya ngoja nikupe shule itakusadia
Asmah bint Abubakar ni dada wa Aishah bint Abubakar ambaye kipindi cha hijra wanahama kutoka Madina kuja maka alikua na miaka 27 na alikua akimzidi mdogo wake Aisha miaka 10 Al Bayhaqi 458A.H/1065 CE.), Al hafidhi Abu naim
Asmah alifarik mwaka wa 73 hjiria akiwa n miaka 100 baada ya mwanae wa kiume kuuwawa.
Bi Aisha r.a aliolewa na mtume miaka 3 baada ya bi Khadija r.a mke wa kwanza mtume kufarki ambae alifarikii mwaka 619A.D hivyo mwaka 622 ambao mtume alihama ndio alimuoa bi Aisha baada ya Abubakar r.a kumuona Mtume ni mpweke sana Mambo hayaendi ndio kumpa binti yake. Akiwa na miaka 17 au 18 kwasababu rekodi iliyopo ni ya dada yake Asmah aliukua akimzidi miaka 10 ,mdogo wake
Badri Al din (855 AH/1451 C.E)
Kijana chimba kwanza na hapo maelezo ni mengi nimechukua kiduchu ndio maana nikakwambia andaa Uzi tuje tukutoe tongo tongo
Muhammad saw anatabia tukufu
Quran 68:4
Sent from my CPH1803 using
JamiiForums mobile app