Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Kwahyo tunaweza kukata kauli kwamba hilo agano ulilotaja si maneno ya muumba wa mbingu na nchi kwa ukamilifu wake kwasababu kumechanganyika maneno ya wanadamu ndani yake na hakuna regulator wa kutunza usahihi wake, na mbona naambiwa agano jipya na la kale hukmu zake zinagongana?.

Baina ya agano jipya na la kale kumepita miaka mingapi ya uandishi mkuu.
2 Petro 1:21
[21]Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
For the prophecy came not in old time by the will of man: but holy men of God spake as they were moved by the Holy Ghost.
 
Hahahaaa huyo baba yake ni nani!?
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.

31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.

32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?

33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Haya nawewe okota mawe umpige kama walivyofanya Wayahudi.
 
Tuwekee hiyo source tuone Mlingano

Born in a Stable?

manger.jpg

Was Jesus born in a stable? Or a barn? Or a cave?

Luke* says only a manger. There was no room for him in the kataluma ("inn" or guest room).

But Joseph supposedly had returned to his ancestral home, "the lineage of David". So the place should have been chock-full with his own relatives. And not one of them would accommodate a heavily pregnant woman? Tut-tut.

The reality is that the story of Jesus is enhanced by the "humble birth".

Early Christians were taken by the idea that he was, in fact, born in a cave. Can you get any more humble than that?

* Matthew, a tad more realistic, says, "And when they had come into the house ..." (2.11).
 
Katika Qur'an imekuja عيسى بن مريم wao wakatafsiri issa mwana wa maryam, ubaya uko wapi?.
Mtume kasema Isa ni Mwana wa Mariam, dada wa Musa na Haruni.

Kutoka 15:20
Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
 
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.

31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.

32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?

33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Haya nawewe okota mawe umpige kama walivyofanya Wayahudi.
Yohana 20:17
Yesu akamwambia usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba.lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie.ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni BABA YENU kwa Mungu wangu naye ni MUNGU WENU
 
Isa alikufa au hakufa?
Yesu alikufa na KUFUFULIWA na Mungu Mkuu.
Sasa wanakuwaje sawa?
Hapana Yesu alijifisha na kujifufua mwenyewe.

Yohana 10:17
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
 
Mtume kasema Isa ni Mwana wa Mariam, dada wa Musa na Haruni.

Kutoka 15:20
Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
Sawa point yako?.
 
Yohana 20:17
Yesu akamwambia usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba.lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie.ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni BABA YENU kwa Mungu wangu naye ni MUNGU WENU
Yeye ndiye Baba
Mbona una kichwa kigumu namna hiyo.

Yohana 14:8
Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

9 Yesu akamwambia, [emoji117]Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Unataka tukuamini wewe au Yesu mwenyewe aliyeongea ?
 
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.

31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.

32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?

33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Haya nawewe okota mawe umpige kama walivyofanya Wayahudi.

Pamoja na Mungu

Nyinyi mnaodai kuwa Yesu alikuwa Mungu, mnashikilia kuwa yeye hakuwa Mungu aliyetengeka, bali ni mmoja na ni Mungu yule yule mwenye mwili.

Nyinyi mnaunga mkono imani hii kutokana na mstari wa 30 wa Injili kwa mujibu wa Yohana, sura 10, ambayo ndani yake Yesu anaripotiwa kuwa amesema,

“Mimi na Baba ni kitu kimoja.” Nje ya muktadha, mstari huu unaashiria uungu wa Yesu.

Hata hivyo, pale Wayahudi walipomtuhumu kwa kudai uungu, kwa kutegemea sentesi hiyo, Yohana 10:34 “Yesu akawajibu, Je, haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? Ikiwa aliwaita
miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu;"

Amewabainishia, kwa mfano wa maandiko unaojulikana sana kwao, kuwa yeye alikuwa anatumia lugha ya kistiari ya manabii ambayo haipaswi kufasiriwa kwa kujipachika uungu yeye mwenyewe au kwa mtu mwingine yoyote.

Ushahidi zaidi unachukuliwa kutoka katika mstari wa kumi na wa kumi na moja wa Injili kwa mujibu wa Yohana, sura ya 14, pale watu walipomtaka Yesu awaonyeshe Baba, naye inaaminiwa alisema:

"Husadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.”

Ibara hizi zingeashiria uungu wa Yesu, kama sehemu iliyobakia ya Injili hiyo hiyo inapuuzwa.

Hata hivyo, aya tisa baadaye, katika Yohana 14:20, pia Yesu anarekodiwa akiwaambia wanafunzi wake,

"Siku ile mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.” Kwa hiyo, kama maelezo ya Yesu "Mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; yanamaanisha kuwa yeye ni Mungu, basi vivyo hivyo iwe kwa wanafunzi wa Yesu.

Hii sentensi ya kiishara inamaanisha umoja wa lengo na sio umoja wa asili.

Tafsiri ya kiishara inasisitizwa zaidi katika Yohana 17:20-21, pale Yesu aliposema,

"Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao. Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
 
Yeye ndiye Baba
Mbona una kichwa kigumu namna hiyo.

Yohana 14:8
Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

9 Yesu akamwambia, [emoji117]Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Unataka tukuamini wewe au Yesu mwenyewe aliyeongea ?
Alipokua anasulubiwa alisema 'Baba wasamehe,hawajui walitendalo'... unamaanisha alikua anajiambia mwenyewe!?..'huwezi kufika kwa Baba bila kupitia Mimi' napo alikua kavurugwa Kama wewe!?...huwa unafikiri kweli!?
 
Kwa ramli (saa habar) umefuzu dogo...[emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Pamoja na Mungu

Nyinyi mnaodai kuwa Yesu alikuwa Mungu, mnashikilia kuwa yeye hakuwa Mungu aliyetengeka, bali ni mmoja na ni Mungu yule yule mwenye mwili.

Nyinyi mnaunga mkono imani hii kutokana na mstari wa 30 wa Injili kwa mujibu wa Yohana, sura 10, ambayo ndani yake Yesu anaripotiwa kuwa amesema,

“Mimi na Baba ni kitu kimoja.” Nje ya muktadha, mstari huu unaashiria uungu wa Yesu.

Hata hivyo, pale Wayahudi walipomtuhumu kwa kudai uungu, kwa kutegemea sentesi hiyo, Yohana 10:34 “Yesu akawajibu, Je, haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? Ikiwa aliwaita
miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu;"

Amewabainishia, kwa mfano wa maandiko unaojulikana sana kwao, kuwa yeye alikuwa anatumia lugha ya kistiari ya manabii ambayo haipaswi kufasiriwa kwa kujipachika uungu yeye mwenyewe au kwa mtu mwingine yoyote.

Ushahidi zaidi unachukuliwa kutoka katika mstari wa kumi na wa kumi na moja wa Injili kwa mujibu wa Yohana, sura ya 14, pale watu walipomtaka Yesu awaonyeshe Baba, naye inaaminiwa alisema:

"Husadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.”

Ibara hizi zingeashiria uungu wa Yesu, kama sehemu iliyobakia ya Injili hiyo hiyo inapuuzwa.

Hata hivyo, aya tisa baadaye, katika Yohana 14:20, pia Yesu anarekodiwa akiwaambia wanafunzi wake,

"Siku ile mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.” Kwa hiyo, kama maelezo ya Yesu "Mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; yanamaanisha kuwa yeye ni Mungu, basi vivyo hivyo iwe kwa wanafunzi wa Yesu.

Hii sentensi ya kiishara inamaanisha umoja wa lengo na sio umoja wa asili.

Tafsiri ya kiishara inasisitizwa zaidi katika Yohana 17:20-21, pale Yesu aliposema,

"Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao. Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.

31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.

32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?

33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Tukusikilize wewe au alicho waambia ndugu zake Wayahudi ?
 
Mkuu nabii iysa alayhi ssalaam alikuja kuabudiwa baadae baada ya kina paulo kuwadanganya watu na kujifanya wametokewa na roho mtakatifu, na hili limetajwa katika Qur'an kwa urefu.

"Na kumbuka pale allah atakaposema: ewe issa mwana wa maryamu! hivi wewe uliwaambia watu, nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu miwili badala ya allah? (issa) atasema, ninakutakasa kukutakasa! hainipasii mimi kusema ambayo si haki yangu, ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua, wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako, hakika wewe ndiye mjuzi mno! wa yale yaliyofichikana.
"

Qur'an 5:116

Na jambo hili kwasababu ni la zamani kidogo limetajwa mno kwenye Qur'an na ukristo huu umetajwa vyema sana humo pamoja na imani ya utatu mtakatifu ambao allah hakuwaandikia wao katika vitabu vyao vilivyotangulia.
Hiyo ayat ni Qauli ya nani??
 
Back
Top Bottom