Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,624
- 18,457
Hivi mimi na Mtume wako Muhammadi we unafikiri ni nani kutenda dhambi nyingi ?Haya ndio matendo mema ya Yehova kwa watu wasio taka imani yake
Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
1 Samueli 15:3
Tatizo la Muhammadi alikuwa anachinja watu bila kuruhusiwa na Mungu wake yaani Allah.
Mungu akiamua kuteketeza kizazi fulani kwake ni sawa tu na hawezi kulaumiwa, amewaumba mwenyewe.
Ila Muhamadi alikuwa anafanya Ugaidi wa kuchinja watu bila ruhusa ya Mungu aliye waumba.
Au una Aya Allah anamtuma Muhammadi kuchinja watu ?
Iweke hapa