Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Haya maneno kuwa usipokiri Mungu baba, Mungu mwana Na Roho mtakatifu sio mkristo umeyatoa wapi?
Mathayo 28:19 BHN
Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
 
Sasa hapo mtu asipo kiri kuwa Yesu sio Mungu anakuwaje sio mkristo?
 
Acha hoja za kitoto kuua kikatili ndio kupi?

Lakini Samweli akamjibu, Kama upanga wako ulivyofanya wanawake kufiwa na watoto wao, vivyo hivyo mama yako atafiwa miongoni mwa wanawake. Basi Samweli akamkata Agagi vipande mbele za Bwana huko Gilgali.

1 Samueli 15:33

Kuna ukatili kama huu kumkata binadamu mwenzako vipande vipande tena Bwana akiwa shahidi bila kumkemea Nabii wake Samweli!!
Unamjua Pedophile mwamediii au unamsikia tu

Muhammad
... he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and they were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died Sahih al-Bukhari, Volume 4, Book 52, Number 261

Alivyo maliza akaweka aya ya 5:33 kuwambia waislamu jinsi ya kumtoa uhai anaempinga Muhammad na Allah
 
Vip huyu aliefanya mauaji mpaka kwa watoto wanao nyonya una mjua? vip kuhusu kondoo au ngamia nao wamemfanya nini sasa !!!!

Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

1 Samueli 15:3
 
Ambae aamini Yesu ni Mungu sio mkristo, Imani ya wakristo inajulikana ni kukiri Mungu baba mwana na Roho mtakatifu kinyume chake unakuwa sio mkristo

Yesu alikuwa binadamu kamili na Mungu kamili Kuna mda alikuwa anaongea kama binadamu
Huo ni mjadala na kila mmoja ana hoja zake.

Suala la kudai Yesu kuwa alikuwa binaadamu kamili na Mungu kamili bora libaki kuwa ni la mwenye kukubali kuamini tu ila sio la kumuelewesha mtu akaelewa hiyo imani.

Vipo vitu ambavyo tunaviamini na tunavielewa na tunaweza kuvielezea ila vipo ambavyo hatuvieleweki ila tunaamini tu.
Na ubaya kwenye huu uungu wa Yesu (kwamba ni mungu kamili na binaadamu kamili) wakristo wao huwa wanaangalia tu kwamba Mungu muweza yote basi ila ukiangalia mantiki ya jambo zima tokea kuja duniani huyo mungu hadi kufa kwake inaleta shida sana kuelewa.
 
Hauna andiko lolote linalo sema usipo mkiri Yesu kuwa Mungu unakuwa mkristo, hajawai tamka jambo hilo popote Yesu, acheni uzushi aiseeee
Lugha unayoweza kuielewa

Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Unamjua Pedophile mwamediii au unamsikia tu

Muhammad
... he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and they were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died Sahih al-Bukhari, Volume 4, Book 52, Number 261

Alivyo maliza akaweka aya ya 5:33 kuwambia waislamu jinsi ya kumtoa uhai anaempinga Muhammad na Allah
Dah yaani Mtume unamfananisha na hawa Magaidi wa Kiislamu wa sasa.

Na hao ndio haswa wanafuata nyayo za Mtume.
Ni chinjachinjinja kama wao, na kukata viungo vya watu bila huruma bila ruhusa hata ya huyo Allah wake. Lakini hawawezi kuua hadi wamwite Allah.[emoji848]

Eti mimi ndio niwe mfuasi wake wakati nimemzidi kwa kufanya matendo mema mala elfu.
 
Huo ni mjadala na kila mmoja ana hoja zake.

Suala la kudai Yesu kuwa alikuwa binaadamu kamili na Mungu kamili bora libaki kuwa ni la mwenye kukubali kuamini tu ila sio la kumuelewesha mtu akaelewa hiyo imani.

Vipo vitu ambavyo tunaviamini na tunavielewa na tunaweza kuvielezea ila vipo ambavyo hatuvieleweki ila tunaamini tu.
Na ubaya kwenye huu uungu wa Yesu (kwamba ni mungu kamili na binaadamu kamili) wakristo wao huwa wanaangalia tu kwamba Mungu muweza yote basi ila ukiangalia mantiki ya jambo zima tokea kuja duniani huyo mungu hadi kufa kwake inaleta shida sana kuelewa.
Sawa bakia kuwa mbusu jiwe

Imani ya wakristo ndio hiyo kinyume chake kuwa muislamu
 
Lugha unayoweza kuielewa

Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kujiita mwanga au nuru haina uhusiano wowote na tunacho kijadili hapa, unalo andiko lolote kutoka kwa Yesu kuwa usipo mkiri kuwa yeye ni Mungu basi sio mkristo ?
 
Sawa bakia kuwa mbusu jiwe

Imani ya wakristo ndio hiyo kinyume chake kuwa muislamu
Wakristo wapi ? thibitisha wapi Yesu kasema usipo mkiri kuwa yeye ni Mungu unakuwa sio mkristo? wapo mashahidi wa Yehova hawaamini ilo jambo kuwa Yesu ni Mungu wao wanaishia kama anavyo tamka mwenyewe MWANA
 
Dah yaani Mtume unamfananisha na hawa Magaidi wa Kiislamu wa sasa.

Na hao ndio haswa wanafuata nyayo za Mtume.
Ni chinjachinjinja kama wao, na kukata viungo vya watu bila huruma bila ruhusa hata ya huyo Allah wake. Lakini hawawezi kuua hadi wamwite Allah.[emoji848]

Eti mimi ndio niwe mfuasi wake wakati nimemzidi kwa kufanya matendo mema mala elfu.
Haya ndio matendo mema ya Yehova kwa watu wasio taka imani yake

Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

1 Samueli 15:3
 
Kujiita mwanga au nuru haina uhusiano wowote na tunacho kijadili hapa, unalo andiko lolote kutoka kwa Yesu kuwa usipo mkiri kuwa yeye ni Mungu basi sio mkristo ?
Allah amekujibu ila unamdharau
Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Wakristo wapi ? thibitisha wapi Yesu kasema usipo mkiri kuwa yeye ni Mungu unakuwa sio mkristo? wapo mashahidi wa Yehova hawaamini ilo jambo kuwa Yesu ni Mungu wao wanaishia kama anavyo tamka mwenyewe MWANA
Nani alikwambia mashaidi wa Jehovah ni wakristo

Imani ya wakristo tunakiri kila tukianza ibada , kumuamini Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu kama alivyosema Yesu mwenyewe
 
Allah amekujibu ila unamdharau
Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
ALLAH sio Mungu wa mchezo huku utapata tabu, Allah alisha sema Yesu alikuwa anakwenda chooni kama sisi wala hana Umungu wowote

QURAN 5:75
Masihi mwana wa Maryamu si chochote ila ni mtume . Wamekwisha pita mitume kabla yake.Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula.Angalia jinsi tunavyo wabainishia aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa.

Sisi waislamu suala la Yesu limekwisha ni mtu aliekuwa anakula na kwenda haja kama sisi, SWALI langu wapi Yesu kasema usipo mkiri kuwa yeye ni Mungu sio mkristo?
 
Nani alikwambia mashaidi wa Jehovah ni wakristo

Imani ya wakristo tunakiri kila tukianza ibada , kumuamini Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu kama alivyosema Yesu mwenyewe
Mashahidi wa Yehova wana muamini Baba, mwana na Roho mtakatifu, lakini hawaamini kuwa Yesu ni Mungu, thibitisha wapi Yesu kasema kwa wao kuto kuamini Yesu ni Mungu basi sio wakristo?
 
Pedophile Muhammad aliwahi kujiita mwanga wan ulimwengu?
Mbona unatapatapa thibitisho wapi Yesu alisema mtu asipo kiri yeye kuwa sio Mungu anakuwa sio mkristo ? unaruka ruka tu kama umekatwa kichwa
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
ni yuleyule tofauti ni historia baina ya biblia takatifu na q'ran tukufu!!
 
Back
Top Bottom