Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,577
- 14,332
Halafu kwa nini wasibakie na Nabii Issa wao? Kwanini walazimishe kumfananisha na Yesu?Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Mbona sisi tuna sema Yesu ni mwana wa Mungu, aliyezaliwa na Bikira Maria kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. Eti kitabu kilichoandikwa miaka 600 mbele kinajaribu kudadisi Biblia??