ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Hii ni shida ndio sifa ya Mungu ni mwanga, sifa ya Mungu ni kusikia, sifa ya Mungu ni kuona , n.k hata uwe nazo wewe mwanadamu bado unakuwa sio Mungu maana kuna sifa nyingine huna kama kujua siku ya mwisho(Kiyama), Yesu kuwa na sifa ya mwanga hakumfanyi kuwa Mungu hata mimi nina sifa ya kusikia na kuona sawa na Mungu, na bahati nzuri Quran ipo wazi huyo ni mnya mavi kama wewe, haya tuambie wapi Yesu kasema usipo mkiri kuwa ni Mungu unakuwa sio mkristo?Swali ni jepesi sana Allah kadanganya au kasema.kweli
Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.