Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Mokiti hivi mtume wa MUNGU imekuaje akaoa mtoto wa miaka sita? Hili swali analikwepa Sana Gavana Gavana hebu nisaidie wewe. Mtume hiki kitendo tunakiitaje??
Kwani umri wa binti kuolewa ulikuwa miaka mingapi wakati huo?
 
Tatizo la mabishano ya uungu wa Yesu ni kwamba wanaomini Yesu ni mungu wanatoa maandiko kuthibitisha huo uungu na wenye kusema Yesu si Mungu nao wanatoa maandiko kuthibitisha hakuwa Mungu.

Kitabu hicho hicho kimoja kinatumika kupinga na kuthibitisha uungu wa Yesu.
Hawajaleta Aya Yesu anajitangaza kuwa ni Mungu
 
Y
Sahih Muslim 1422 b

'Aisha (Mwenyezi Mungu amrehem) aliripoti:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alinioa
nikiwa na umri wa miaka sita, na nilipelekwa
nyumbani kwake nilipokuwa na

umri wa miaka
tisa.

mfano wa Muhammad wa kuoa mtoto mdogo
('Aisha akiwa na umri wa miaka sita) ndio
sababu nchi za kiislam zinazoendeshwa kwa
Shariah haziwekei umri wa chini wa ndoa.

surah 65: 4 inaruhusu mtu mzima kuoa mtoto
mdogo ambaye hajapata mzunguko wa
kwanza wa hedhi lakini pia kuwapa talaka ili
wengine waweze kuwaoa.

Haya ni mambo ambayo yanaendelea hadi leo
kwa sababu Waislamu wanamchukua
Muhammad kama nabii kwani maisha yake
yana muhuri wa Allah. Katika nchi kama
Yemen ambayo bado ni kawaida kwa wanaume
kuoa watoto ambao bado hawajavunja ungo na
wakati nchi ilipokuwa inajaribu kuzuia, kiongozi
wa kidini ambaye alisema huwezi kuacha hiyo
tabia kwa sababu utakuwa unamhukumu
Hujatoa sababu za ki Imani Kwanini Muhammad alioa mtoto, umeweka tu ushahidi alioa mtoto
 
Tofauti nyingine ni kwmba malaika Gabriel alimtokea Mariam mama wa Yesu nyumbani kwake, na mariam mama wa lssa alitokewa na jibril akiwa msikitini.
Buji umenena la maana sana, jamaa waache kumchakachua mwokozi
Waislam hawamcakachui Yesu ila wanachojaribu kudhirisha ni uhakika wa kuwahi kuwepo kwake, kwamba pamoja na tofauti hizi zilizopo kwenye maelezo haya yanayomhusu Yesu, bado hata wao (waislamu) wanazidi kudhihirsisha kuwa Yesu aliwahi kuwepo hapa duniani. Ni kitu kizuri sana
 
Sasa tuanze kumhoji Allah

1. Ni wapi amejitambulisha kwenye Qurani kuwa yeye ni Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi.

2. Niwapi anampa utume anayejiita Nabii Muhammadi.

3. Ni wapi amesema "mimi ni Mungu niabuduni"

Naomba kujibiwa haya maswali matatu tu basi, ili nisilimu.
 
Hayo maswali yako Ndiyo umeleta ushahidi wa aya ya Biblia kuwa Yesu ni Mungu?
 
Hayo maswali yako Ndiyo umeleta ushahidi wa aya ya Biblia kuwa Yesu ni Mungu?
Si haijaonekana popote kwako kuwa Yesu ni Mungu. Kwakuwa hajasema "mimi ni Mungu niabuduni"
Tuanze kumhoji Allah kuna mahali amesema
"Mimi ni Mungu niabuduni"? hadi Waislamu munamwabudu ?

Wapi Allah anasema " mimi ni Mungu niabuduni" ?
 
وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu (51:56)
 
Waislam hawamcakachui Yesu ila wanachojaribu kudhirisha ni uhakika wa kuwahi kuwepo kwake, kwamba pamoja na tofauti hizi zilizopo kwenye maelezo haya yanayomhusu Yesu, bado hata wao (waislamu) wanazidi kudhihirsisha kuwa Yesu aliwahi kuwepo hapa duniani. Ni kitu kizuri sana
Kwanini tumkatae mwislam mwenzetu. Mtu aliyetwambia kweli kutoka kwa Mungu..
Yohana 8:40

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Nawashangaa wanaodhani kuwa wanamfahamu zaidi Nabii Issa kuliko watu wake.

Issa kazaliwa Palestina, kwa Waarabu, sasa leo linakuja jitu kutoka Ulaya lanambadilisha jina na kumpachika "Jesus", huyo huyo mzungu kuja Tanganyika kufika Peramiho anawaambia huyu "Jesus" kikwenu huku mwiteni "Yesu". Wapi na wapi mpalestina na majina hayo?
 
Sasa tuanze kumhoji Allah

1. Ni wapi amejitambulisha kwenye Qurani kuwa yeye ni Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi.

2. Niwapi anampa utume anayejiita Nabii Muhammadi.

3. Ni wapi amesema "mimi ni Mungu niabuduni"

Naomba kujibiwa haya maswali matatu tu basi, ili nisilimu.
1.
Jibu ni;
اللّهُ لاَ إِلَـهَ إِلاَّ هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ لاَ تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلاَ نَوْمٌ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الأَرْضِ مَن ذَا الَّذِي يَشْفَعُ عِنْدَهُ إِلاَّ بِإِذْنِهِ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ وَلاَ يُحِيطُونَ بِشَيْءٍ مِّنْ عِلْمِهِ إِلاَّ بِمَا شَاء وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ وَلاَ يَؤُودُهُ حِفْظُهُمَا وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ
Allah – hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haelemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. (2:255)

2.Jibu ni;

Al-Anbiyaa- 107

كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا ﴿٤٠﴾

Hakuwa Muhammad (صلى الله عليه وآله وسلم) baba wa yeyote miongoni mwa wanaume wenu, lakini ni Rasuli wa Allaah na ni mwisho wa Manabii. Na Allaah daima Ni Mjuzi wa kila kitu.

Al Ahzaab-(33:40)

3.Jibu ni;

وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu (51:56)
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Twende taratibu una maanisha Yesu yupi hapa

1. Huyu ambaye alisulubiwa saa tatu

Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.

Marko 15:25

AU

2. Huyu ambaye mpaka saa SITA bado hajasulubiwa alikuwa anadunda

Nayo ilikuwa Maandalio ya pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!

Yohana 19:14

Basi wale wakapiga kelele, Mwondoshe! Mwondoshe! Msulibishe! Pilato akawaambia, Je! Nimsulibishe mfalme wenu! Wakuu wa makuhani wakamjibu, Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.

Yohana 19:15

Njoo utuambie Biblia ilikuwa na Yesu wangapi hapa? huyu alie sulubiwa saa tatu au yule ambaye mpaka saa sita bado yuko mtaani?
 
Tofauti nyingine ni kwmba malaika Gabriel alimtokea Mariam mama wa Yesu nyumbani kwake, na mariam mama wa lssa alitokewa na jibril akiwa msikitini.
Buji umenena la maana sana, jamaa waache kumchakachua mwokozi
Andiko kuthibitisha hili ulisemalo?
 
Si haijaonekana popote kwako kuwa Yesu ni Mungu. Kwakuwa hajasema "mimi ni Mungu niabuduni"
Tuanze kumhoji Allah kuna mahali amesema
"Mimi ni Mungu niabuduni"? hadi Waislamu munamwabudu ?

Wapi Allah anasema " mimi ni Mungu niabuduni" ?
Ndiyo umeleta aya nyengine hiyo kutoka Kwenye biblia ,Yesu amekuwa mungu?
 
وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu (51:56)
Hapo anyeongea ni nani
Nataka Allah aseme

"Mimi Allah nimewaumba majini na watu ili waniabudu?"

Ona huu mfano.

Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.

Mungu wa Musa anajitambulisha kwanza. Kama inavyosmwa hapo juu.

Kwakuwa katika Qurani kuna viumbe vingi sana vinaongea.
Huyo anayesema

[emoji117]"sikuwaumba majini na watu ila waniabudu" ni nani.

Ngoja nikupe mfano mmoja wa kwenye Qurani 9:30

"Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa! "

Hii Aya anayeongea hajajitambulisha, na hadi leo Waislamu hawajui ni nani anaongea.

Nasubiri jibu.
 
Back
Top Bottom