Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Wanazuoni wa bible ni kina Nani? Hawa ndio watu walioleta theologia yaani theology elimu kuhusu Mungu. Neno lenyewe limetokana na nadhalia yaani theory (nadhalia) unadhani /unafikili nini kuhusu Mungu. Sasa Ka mkubwa hili sio neno la Mungu theologia si ya Mungu ni ya ibirisi.

Wanazuoni wa biblia ni hawa wanaokutafsiria biblia

Katika utangulizi wa Ngano za Mungu mwenye Mwili, Mtunzi ameandika yafuatayo: "Katika karne ya kumi na tisa, Wakristo wa Kimagharibi walifanya marekebisho makubwa mawili ili kuitikia wito wa kupanuka kwa elimu ya wanadamu: imekubalika kuwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile na ameibuka kuwa ni miongoni mwa wanamageuzi wa mfumo wa maisha duniani; imekubalika kuwa vitabu vya Biblia vimeandikwa na watu tofauti tofauti katika matukio tofauti tofauti na haviwezi kukubaliwa kuwa ni utunzi wa Mungu wa neno kwa neno."

Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?' kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba".

Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya Injili.

Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa.

Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu...") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.

Dr. J.K. Elliott, wa kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini wa Chuo Kikuu cha Leeds, ameandika makala iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia".

Ndani ya makala yake, ameeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili.

Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji. Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.

Bila shaka, maandishi yote ya mkono yanastahili kuwa na makosa ya bahati mbaya wakati wa kunukuu.

Hata hivyo, katika kazi za kitiolojia si jambo la kushangaza kuwa mabadiliko ya kufikirika sana yaliingizwa ili kuondosha au kubadili maelezo ambayo waandishi wanayaona kuwa hayapendezi. Pia kulikuwa na mwelekeo wa wanukuzi wa kuongeza ufafanuzi au fasiri.

Mabadiliko ya hadhari yanadhaniwa kuwa yameingizwa katika zama za mwanzo kabla ya kuanzishwa hali ya kanisa ya Agano Jipya.

Mwandishi aliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."

Aliendelea kusema zaidi: "Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.

Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioaminia yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora.

Hata matoleo ya Agano Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu.
 
Muhammad alikuwa ni pedophile, Yani aina flani ya ukichaa ya kutamani watoto kingono, pia sio aisha tu alikuwa pia basha anakula linshoga kilikuwa linaitwa kalbi , akikutwa nae chumbani anadai ni jibril kaja na umbo la kalbi, pia alinyonya katoto Cha kiume ulimi

Muhammad alikiwa mtume wa Lucifer

Huko ndiko unakokimbilia unaposhindwa hoja , tumeshakuzowea na pia kubadilisha Id , kama ulivyojibadilisha ghafla hapa 😛
 
Acheni vitabu vinene vyenyewe, Mimi nachukua kitabu ninachokiamini. Bila ya theologia wewe nawe Kula chuma hicho mtume Muhammad alikua NI ibirisi ndio maana yeye alilala naye kingono binti wa miaka 6
 
Muhammad alikuwa ni pedophile, Yani aina flani ya ukichaa ya kutamani watoto kingono, pia sio aisha tu alikuwa pia basha anakula linshoga kilikuwa linaitwa kalbi , akikutwa nae chumbani anadai ni jibril kaja na umbo la kalbi, pia alinyonya katoto Cha kiume ulimi

Muhammad alikiwa mtume wa Lucifer
Daaah kwa hiyo Yani miaka sita si ibirisi kabisa maana alitaka airudishe SODOMA kabisa[emoji3064][emoji3064]
 
Sahih Muslim 1422 b

'Aisha (Mwenyezi Mungu amrehem) aliripoti:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alinioa
nikiwa na umri wa miaka sita, na nilipelekwa
nyumbani kwake nilipokuwa na umri wa miaka
tisa.

mfano wa Muhammad wa kuoa mtoto mdogo
('Aisha akiwa na umri wa miaka sita) ndio
sababu nchi za kiislam zinazoendeshwa kwa
Shariah haziwekei umri wa chini wa ndoa.

surah 65: 4 inaruhusu mtu mzima kuoa mtoto
mdogo ambaye hajapata mzunguko wa
kwanza wa hedhi lakini pia kuwapa talaka ili
wengine waweze kuwaoa.

Haya ni mambo ambayo yanaendelea hadi leo
kwa sababu Waislamu wanamchukua
Muhammad kama nabii kwani maisha yake
yana muhuri wa Allah. Katika nchi kama
Yemen ambayo bado ni kawaida kwa wanaume
kuoa watoto ambao bado hawajavunja ungo na
wakati nchi ilipokuwa inajaribu kuzuia, kiongozi
wa kidini ambaye alisema huwezi kuacha hiyo
tabia kwa sababu utakuwa unamhukumu
Mwenyezi Mungu katika Quran na Muhammad
katika maisha yake.

surah 33:21 inasema Muhammad ni mfano
ambao Waislamu wanapaswa kumfuata hichi
sio kitu tu kibaya ambacho Muhammad
alifanya jambo hilo limeathiri kizazi baada ya
kizazi cha watu ambao wanahitaji ulinzi yaani
wasichana wadogo wengi wamekuwa
wakiathirika wakati mwingine hufa kwa
sababu hawako tayari kwa tendo hilo na yote
yameithinishwa na huto wanaemuita Allah na
Muhammad.

Zawadi yako hii

Zawadi yako hii

Sifunguagi video Kaka Sisi hatujakupa video leta fact hapa fanya chap. Tena kutoka kwenye maandiko yenu. Imekuaje nabii wa Mungu kubaka Kula chuma hicho
Hapa hakuna lasharasha Kula chuma. Wew kwa hakini zako unaweza kuoa mtoto mdogo[emoji16][emoji16]
 
Acheni vitabu vinene vyenyewe, Mimi nachukua kitabu ninachokiamini. Bila ya theologia wewe nawe Kula chuma hicho mtume Muhammad alikua NI ibirisi ndio maana yeye alilala naye kingono binti wa miaka 6
Hicho kitabu unachokiamini kinajitafsiri chenyewe kutoka kigiriki ??

Adamu katika biblia alilala na katoto cha siku moja na kuzaa kwa siku moja
 
Hicho kitabu unachokiamini kinajitafsiri chenyewe kutoka kigiriki ??

Adamu katika biblia alilala na katoto cha siku moja na kuzaa kwa siku moja
Usipindishe maneno. Imekuaje nabii mtume Muhammad kulala na binti wa miaka 6 Tupo kwa mtume. FANYA chapu tena sitaki mala ooooho Adamu mataka mtume Muhammad yaani mtume wa shetan[emoji1787][emoji1787]
Mimi sitaki tuliluke hili lijibu hapa kwa fact ili nipime kua hii Quran NI ya ibirisi au ya Mungu
 
Hicho kitabu unachokiamini kinajitafsiri chenyewe kutoka kigiriki ??

Adamu katika biblia alilala na katoto cha siku moja na kuzaa kwa siku moja
Aisee Adam kwa hiyo aliumbwa akiwa mtoto

Naona unachanganyikiwa
 
Aisee Adam kwa hiyo aliumbwa akiwa mtoto

Naona unachanganyikiwa
Mokiti usigusie ya Adamu yeye mwenyewe anajua alichokisema NI cha uongo usimpe ibirisi nafasi ya kujieleza tumbane kwenye mbupu zake huyu.

Hapa TUNATAKA mtume Muhammad Tu hoja kulala na mtoto
 
Acheni vitabu vinene vyenyewe, Mimi nachukua kitabu ninachokiamini. Bila ya theologia wewe nawe Kula chuma hicho mtume Muhammad alikua NI ibirisi ndio maana yeye alilala naye kingono binti wa miaka 6

Matoleo ya Biblia ya Kingereza

Katika utangulizi wa toleo la Biblia linalotumika sana, la Revised Standard Version, mtunzi ameandika yafuatayo:

"Biblia ya Revised Standard Version, ni marekebisho yaliyoidhinishwa ya toleo la American Standard Version, lilochapwa 1901, na ambalo nalo pia lilikuwa ni marekebisho ya toleo la King James Version, lilochapwa 1611...

Toleo la King James Version lililazimika kushindana na Biblia ya Geneva Bible (1560) juu ya kutumiwa na watu wengi; lakini hatimaye lilienea, na kwa zaidi ya karne mbili na nusu hakuna tafsiri ya Biblia kwa Kingereza iliyoandikwa na kuidhinishwa.

Toleo la King James Version likawa ndilo "toleo lililoidhinishwa" kwa wanaoongea Kingereza... Ndio, Toleo la King James Version lina dosari kubwa mno.

Kufikia katikati ya karne ya kumi na tisa, maendeleo ya tafiti za Kibiblia vilevile kugunduliwa kwa miswada mingi ambayo ni ya kale zaidi kuliko ile iliyotegemewa na Toleo la King James Version, yamefanya toleo hilo kuwa ni wazi kuwa lina dosari nyingi na mbaya mno na kusababisha kuitishwa kufanyika marekebisho ya tafsiri ya kingereza.

Kazi ikafanywa, kwa idhini ya Kanisa la Uingereza, mwaka 1870.

Toleo la Biblia la English Revised Version lilichapwa mwaka 1881 – 1885; na Toleo la American Standard Version, lahaja zake zimejiingiza katika upendeleo wa wanazuoni wa Kimarekani walioshiriki katika kazi hiyo, nalo lilichapishwa mwaka 1901."

Toleo la King James Version la Agano Jipya liliegemea matini za kigiriki zilizovurugwa kimakosa, ikiwemo kujilimbikizia makosa ya karne ya kumi na nne ya kunukuu miswada.

Nalo kimsingi, lilikuwa ni matini ya Kigiriki ya Agano Jipya kama lilivyoandikwa na Beza, 1589, ambaye kwa ukaribu zaidi alifuata chapa hiyo ya Erasmus, 1516 – 1535, iliyoegemea juu ya miswada ya zama za kati.

Mswada wa kwanza na ulio bora zaidi miongoni mwa miswada minane aliyoishirikisha ulikuwa ni wa karne ya kumi, naye akautumia kidogo mno mswada huo kwa sababu unatofautiana sana na matini za kawaida zilizopokelewa;

Beza alipata miswada miwili ya thamani kubwa mno, ikiwa ni ya karne ya tano na ya sita, lakini aliitumia kidogo mno kwa sababu inatofautiana na matini iliyochapwa ya Erasmus.

"... Toleo la American Standard Version lilipewa haki miliki ya kuzuia matini yake isibadilishwe bila idhini.

Mnamo 1928 haki hiyo ilipatikana kutoka katika Baraza la Kimataifa la Elimu na Dini, na kwa hiyo likawekwa katika umiliki wa makanisa ya Marekani na Canada yaliyoshiriki katika baraza hilo kwa kupitia bodi zao za elimu na uchapaji.

Baraza hilo liliainisha kamati ya wasomi kusimamia matini ya ya Toleo la American Standard Version na kufanya uchunguzi na kujua kama marekebisho zaidi yanahitajika... [Baada ya miaka miwili] uamuzi ulifikiwa; nao ni kuwa; kunahitaji marekebisho kikamilifu katika toleo la 1901, ambalo litabakia kuwa lipo karibu na mapokeo ya Tyndale-King
James kama itakavyokuwa... Mnamo 1937 na marekebisho yalipewa
idhini kwa kura ya Baraza hilo."

"Wasomi therathini na wawili walitumika kama wanakamati wa kamati iliyotakiwa kufanya marekebisho hayo, nao waliyalinda mabadiliko na kuishauri Bodi ya Ushauri ya wawakilishi hamsini wa madhehebu ili kushirikiana kufanya kazi hiyo... Toleo la Agano Jipya la Revised Standard Version lilichapwa mwaka 1946.

Toleo la Biblia la Revised Standard Version, linajumuisha Agano la Kale na Jipya, nalo lilichapwa mnamo Septemba 30, 1952, na likakubalika sana."
 
Hicho kitabu unachokiamini kinajitafsiri chenyewe kutoka kigiriki ??

Adamu katika biblia alilala na katoto cha siku moja na kuzaa kwa siku moja
Hebu tueleze Kaka imekuaje mtume kungonoka na mtoto wa miaka 6 je insignia akirini hili? Huyu NI mbakaji na mfiraji
 
Aisee Adam kwa hiyo aliumbwa akiwa mtoto

Naona unachanganyikiwa

Soma biblia utaelewa , hata biblia yako huijui bora kalale kidogo , umechanganyikiwa , umebaki kujibadilisha id tu kwa vile hujiamini na dini yako ya kuunga unga 😛
 
Matoleo ya Biblia ya Kingereza

Katika utangulizi wa toleo la Biblia linalotumika sana, la Revised Standard Version, mtunzi ameandika yafuatayo:

"Biblia ya Revised Standard Version, ni marekebisho yaliyoidhinishwa ya toleo la American Standard Version, lilochapwa 1901, na ambalo nalo pia lilikuwa ni marekebisho ya toleo la King James Version, lilochapwa 1611...

Toleo la King James Version lililazimika kushindana na Biblia ya Geneva Bible (1560) juu ya kutumiwa na watu wengi; lakini hatimaye lilienea, na kwa zaidi ya karne mbili na nusu hakuna tafsiri ya Biblia kwa Kingereza iliyoandikwa na kuidhinishwa.

Toleo la King James Version likawa ndilo "toleo lililoidhinishwa" kwa wanaoongea Kingereza... Ndio, Toleo la King James Version lina dosari kubwa mno.

Kufikia katikati ya karne ya kumi na tisa, maendeleo ya tafiti za Kibiblia vilevile kugunduliwa kwa miswada mingi ambayo ni ya kale zaidi kuliko ile iliyotegemewa na Toleo la King James Version, yamefanya toleo hilo kuwa ni wazi kuwa lina dosari nyingi na mbaya mno na kusababisha kuitishwa kufanyika marekebisho ya tafsiri ya kingereza.

Kazi ikafanywa, kwa idhini ya Kanisa la Uingereza, mwaka 1870.

Toleo la Biblia la English Revised Version lilichapwa mwaka 1881 – 1885; na Toleo la American Standard Version, lahaja zake zimejiingiza katika upendeleo wa wanazuoni wa Kimarekani walioshiriki katika kazi hiyo, nalo lilichapishwa mwaka 1901."

Toleo la King James Version la Agano Jipya liliegemea matini za kigiriki zilizovurugwa kimakosa, ikiwemo kujilimbikizia makosa ya karne ya kumi na nne ya kunukuu miswada.

Nalo kimsingi, lilikuwa ni matini ya Kigiriki ya Agano Jipya kama lilivyoandikwa na Beza, 1589, ambaye kwa ukaribu zaidi alifuata chapa hiyo ya Erasmus, 1516 – 1535, iliyoegemea juu ya miswada ya zama za kati.

Mswada wa kwanza na ulio bora zaidi miongoni mwa miswada minane aliyoishirikisha ulikuwa ni wa karne ya kumi, naye akautumia kidogo mno mswada huo kwa sababu unatofautiana sana na matini za kawaida zilizopokelewa;

Beza alipata miswada miwili ya thamani kubwa mno, ikiwa ni ya karne ya tano na ya sita, lakini aliitumia kidogo mno kwa sababu inatofautiana na matini iliyochapwa ya Erasmus.

"... Toleo la American Standard Version lilipewa haki miliki ya kuzuia matini yake isibadilishwe bila idhini.

Mnamo 1928 haki hiyo ilipatikana kutoka katika Baraza la Kimataifa la Elimu na Dini, na kwa hiyo likawekwa katika umiliki wa makanisa ya Marekani na Canada yaliyoshiriki katika baraza hilo kwa kupitia bodi zao za elimu na uchapaji.

Baraza hilo liliainisha kamati ya wasomi kusimamia matini ya ya Toleo la American Standard Version na kufanya uchunguzi na kujua kama marekebisho zaidi yanahitajika... [Baada ya miaka miwili] uamuzi ulifikiwa; nao ni kuwa; kunahitaji marekebisho kikamilifu katika toleo la 1901, ambalo litabakia kuwa lipo karibu na mapokeo ya Tyndale-King
James kama itakavyokuwa... Mnamo 1937 na marekebisho yalipewa
idhini kwa kura ya Baraza hilo."

"Wasomi therathini na wawili walitumika kama wanakamati wa kamati iliyotakiwa kufanya marekebisho hayo, nao waliyalinda mabadiliko na kuishauri Bodi ya Ushauri ya wawakilishi hamsini wa madhehebu ili kushirikiana kufanya kazi hiyo... Toleo la Agano Jipya la Revised Standard Version lilichapwa mwaka 1946.

Toleo la Biblia la Revised Standard Version, linajumuisha Agano la Kale na Jipya, nalo lilichapwa mnamo Septemba 30, 1952, na likakubalika sana."
Bado Kaka sijaona hapa ya mtume Muhammad kungonoka na mtoto wa miaka 6 mkuu hapa kwenye hii post yako
 
Soma biblia utaelewa , hata biblia yako huijui bora kalale kidogo , umechanganyikiwa , umebaki kujibadilisha id tu kwa vikle hujiamini na dini yako ya kuunga unga 😛
Hilo sio JIBU la swali langu juu ya mtume Muhammad kungonoka na mtoto wa miaka 6, alafu tukimaliza hili la kungonoka tunaenda la kulogwa then swala la Kula Mavi[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Soma biblia utaelewa , hata biblia yako huijui bora kalale kidogo , umechanganyikiwa , umebaki kujibadilisha id tu kwa vikle hujiamini na dini yako ya kuunga unga 😛
Ujibu swali kwa Nini muhammad alioa mtoto
 
Hilo sio JIBU la swali langu juu ya mtume Muhammad kungonoka na mtoto wa miaka 6, alafu tukimaliza hili la kungonoka tunaenda la kulogwa then swala la Kula Mavi[emoji847][emoji847][emoji847]

YESU SI MUNGU

Wakristo wanadhani kwamba Yesu ni Mungu kwa sababu ya baadhi ya maandiko ya Biblia yanayosema kwamba Yesu yupo pamoja na Mungu, bali Mungu yupo ndani ya Yesu na Yesu yupo ndani ya Mungu.

Maandishi ya aina hii yote hayamaanishi kwamba Yesu ni Mungu bali yanaonesha kwamba Mungu na Yesu ni tofauti tofauti wala siyo kitu kimoja.

Vile vile Biblia haisemi kwamba mtu ambaye anatajwa kuwa ndani ya Mungu au Mungu yumo ndani yake ni mungu.

Kinyume chake Biblia inatutajia watu kadhaa wale ambao wako pamoja na Mungu na Mungu yupo ndani yao na hawa wapo ndani ya Mungu.

Tena hakuna Padre au Mchungaji yeyote ambaye anawaita watu hawa miungu.

Wakati watu wengine kwa sifa zile zile hawaitwi miungu, kwa msingi na kwa uzuri gani, Yesu aitwe Mungu?

Biblia inasema kwamba:

1. “Wote wawe na umoja, kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; Hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja. Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujuwe ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi. (Yohana 17:21-23).

2. Mungu mmoja, naye ni baba wa wote aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote. (Waefeso 4:6)

3. Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya baba yangu, nanyi ndani yangu, mimi ndani yenu. (Yohana 14:20).

4. Nabii Suleimani anasema kwamba: Mimi nilikuwepo pamoja na Mungu hata kabla ya kuumbwa ardhi na mbingu, (Mithali 8:22-30).

5. ....Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawambie, ninapaa kwenda kwa baba yangu naye ni baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu. (Yohana 20:17).

6. Kama Wakristo waseme kwamba Yesu ni mungu kwa sababu alizaliwa bila baba. Najibu kwamba aya gani inasema kuwa azaliwaye bila baba ni Mungu? Na malaki ya wadudu wanaozaliwa bila baba watakuwa na uhusiano gani na Bwana Yesu?

Katika Biblia mfano mzuri zaidi kuliko Yesu unapatikana kwamba: Melkizedeki mfalme wa Salem hana wazazi, hana mwanzo na mwisho, (Waebrania 7:3).

Sasa kama Yesu anaitwa mungu kwa sababu ya kuzaliwa bila baba, Melkezedeki atakuwa mungu mkuu kwa sababu hana wazazi, hana mwanzo hana mwisho.

Wakristo mnasemaje hapa?
 
Back
Top Bottom