Ni kwa sababu walikaidi taratibu za sheriabna kanuni.
Jeche aliwekw amahabusu kwa sheria na katiba gani?
Lissu yujo jela kwa sheria na katiba gani?
Mpina alikatwa kwa shwria na katiba gani?
Mdude, Polepole na Soka na wengineyo wako wapi, sheria gani imetumika??
Kura milioni 30, Bibi Samia kazitoa wapi??
Kwa nini uandamane siku ya uchaguzi mkuu? Kwanini uchome miundombinu nankuiba mali za watu binafsi
Sheria ipi inakataza maandamano??
KAma.wewe buheshimu sheria, kanuni, na taratibu, ulitaka nani aziheshimu??
Huyo BIBI yenu, ataiahi kama DIGI DIGI mpaka mwisho wa maisha yake.
Huwezi kuua watu kama UNAUA NZIGE halafu ukaishi kwa AMANI.
Na huyo Mkundu aliyewageuzia BUNDUKI za KIVITA wananchi wake mwenyewe, hatokaa apate amani.
NEVER.