Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Hoja ni kwamba tuna polisi dhaifu na wasiokuwa na akili kama wewe,wakamdanganya malaya kwamba walioandamana ni wageni malaya asivyokuwa na akili naye akakata mauno kwa kuuliza who are you.Hiyo miili iliyopotea lazima ilipiziwe kisasi na ndugu mmoja wao ni mimi **** wewe.
Hizi kauli zenu za shombo ndiyo sababu JF haipatikani bila VPN
 
Hoja ni kwamba tuna polisi dhaifu na wasiokuwa na akili kama wewe,wakamdanganya malaya kwamba walioandamana ni wageni malaya asivyokuwa na akili naye akakata mauno kwa kuuliza who are you.Hiyo miili iliyopotea lazima ilipiziwe kisasi na ndugu mmoja wao ni mimi **** wewe.

Nyinyi dawa yenu ni shaba tuh

Tena ingekuwa ni wewe mimi kabla ya kukulima shaba ningekugonga tigo kwanza kisha nikakupeleka kuzimu
 
Gazeti la uhuru " samiah sitogombea urais 2025"

Alipoingizwa mtegoni na kutoka hadharani na kuanza kampeni,akatengenezewa adui asieonekana kwamba anautaka urais wake akajipitisha huku wahuni wakimsapoti!

Halafu wakamtia doa kwamba aruhusu special operation wakati wa uchaguzi damu ikamwagika ya kutosha halafu wahuni wakakusanya ushahidi was kutosha Hadi maganda ya risasi kwamba ni za kuulia tembo Kwa mujibu was wanaharakati!
Halafu wakaingizwa wanajeshi wageni toka nje ya nchi,halafu akapewa hotuba mbovu Ili akiri mauaji eti yalifanyika Ili kulinda miundombinu!!
Ccm wahuni walimwingiza Chaka Chaka comrade suluhu na Sasa anaishi ndani akiogopa mashtaka huko majuu!!

KAZI na utu,tusonge mbele!
 
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.

Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.

Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.

Tunafuatilia.
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Mimi mpaka Leo najiuliza....
Hakukuwa na mabomu ya machozi ?
Ok au risasi za mpira ?
Au maji ya kuwasha ?

Ni kitu Gani kilisababisha mpaka risasi za moto ziwe mbadala ?
Sawa risasi za moto zinatumika....je kwanini zinapigwa kwenye vifua na kichwani ? Hawaoni miguu ?

Kuna kitu kinaenda kutokea Tanzania....
Nahisi mwaka huu
Uko sahihi sana mkuu, na hilo ndo linakupa picha ya kugundua it was entirely a planned and controlled mission
 
Bila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingine

Uamuzi wa kuua haukuwa sahihi hata kidogo...ukiona watu wanaandamana kwenye utawala wako ni kutatua kero zao tu au kama huwezi achia ngazi wape wengine.
 
Shida mumewekwa kwenye vitengo halafu hamna ELIMU yoyote na uwezo ni mdogo

Shoot and kill Kwa raia asiyekuwa na Silaha hakuna Sheria ya namna hiyo kimataifa!!
Shoot and kill huwezi kuwafuata nyumbani na kwenye vibanda umiza wasio husika
Shoot and kill huwezi kufyatua risasi sehemu ambayo wandamaji hawapo ?

RAIA asiye kuwa na Silaha ya moto mabomu ya machozi na maji ya washawasha yanatosha kumkimbiza

Polisi , JWTZ na wote mlioko kwenye vitengo mnafikiria Kwa kutumia makalio
Kwa hiyo hivyo vituo vya mwendokasi, ofisi za TRA, Mahakama, Polisi walichoma wakiwa majumbani kwao?
 
Uamuzi wa kuua haukuwa sahihi hata kidogo...ukiona watu wanaandamana kwenye utawala wako ni kutatua kero zao tu au kama huwezi achia ngazi wape wengine.
Watu wanasema watakinukisha na kuzuia uchaguzi, kwa nini uwachekee?

Wanasema wanaandamana lakini hakuna viongozi wa maandamano wala hawana mabango. Instead wamebeba mabomu ya petroli (molotov) wanapita wanawasha vituo vya petroli!!

Kama tungecheka na nyani leo tungekuwa vipande vioande kama Sudan
 
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.

Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.

Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.

Tunafuatilia.
Hao ICC kwanza wamkamate na kumfunga Itanyau halafu waje kwa raisi wetu.
 
Watu wanasema watakunukisha na kuzuia uchaguzi, kwa nini uwachekee?

Wanasema wanaandamana lakini hakuna viongozi wa maandamano wala hawana mabango. Instead wamebeba mabomu ya petroli (molotov) wanapita wanawasha vituo vya petroli!!

Kama tungecheka na nyani leo tungekuwa vipande vioande kama Sudan

Utaenda kupeleka ushahidi kwa "OCAMPO" ICC.

N.B Ocampo ndiyo anajulikana sana kuliko wa sasa.
 
Back
Top Bottom