Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

I HAD to use EXCESSIVE FORCE to SLAUGHTER innocent civilians, they wanted to OVERTHROW my regime.

View attachment 3535465
Marekani anaivamia Iran kujustify kuwaokoa Wairan kwa statement kama hii iliyotolewa na viongozi wa Iran na kupelekea maelfu ya wananchi kuuwawa na Serikali.

Huyu uzuri suala lake lipo ICC alafu akasema mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ilikuwa sawa kupiga maelfu ya watu risasi za kichwani, kifuani na tumboni ili kulinda utawala wake wa damu usio na ridhaa ya wananchi.

Mwaka huu ndo ataelewa kuwa Dunia hainaga lelemama na wauaji.
 
Nakwambiaje hata apiganiwe na Trump, huyu kibibi muuaji hawezi kukwepa mkono wa ICC.

ICC imetoa arrest Warrant kwa Putin, Majenerali wake Urusi na Netanyau pamoja na vikwazo vya Marekani na kiburi cha Urusi ndo ishindwe kwa Samia na vidampa wake kina Mombo, Mkunda, Awadhi Haji na Wambura?

Mtafurahishwa mwaka huu ccm.
Kutoa warrant ni one thing na kukamatwa ni another animal altogether.

Waache watoe tu
 
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.

Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.

Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.

Tunafuatilia.
Ila kuna watu mnapenda sana drama. Bado hamjajua jinsi ya ku deal na monsters.
 
Nakwambiaje hata apiganiwe na Trump, huyu kibibi muuaji hawezi kukwepa mkono wa ICC.

ICC imetoa arrest Warrant kwa Putin, Majenerali wake Urusi na Netanyau pamoja na vikwazo vya Marekani na kiburi cha Urusi ndo ishindwe kwa Samia na vidampa wake kina Mombo, Mkunda, Awadhi Haji na Wambura?

Mtafurahishwa mwaka huu ccm.
Jitathmini.
Putin ameacha kuua baada ya hapo?
 
Sasa utaelewa kama Samia ni sawa na Putin au ni Kidampa tu.

Kuna mstari tunauchora mwaka huu lazima heshima ya mwananchi irudi Tanzania.
Inaonekana una hulka ya ubishi, hiyo Mahakama ni usenge tu ndio maana matamko yake wahuni hawayatilii maanani na wanaendelea na uhuni wao.
Nakuhakikishia Samia atamaliza miaka yake kadri atakavyozawadiwa pumzi ya uhai pasipo kukamatwa na yeyote.
 
Sasa ndo utaelewa vizuri kama ile Mahakama ni usenge au la.
 
Endeleeni kupeana moyo, mfanye ujinga wa kuchoma biashara za watu halafu muachiwe tu!.

Endeleeni kujipa moyo kupitia nyuzi kama hizi.
 
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.

Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.

Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.

Tunafuatilia.

Sikio la kufa halisikii sawa, yeye anawaza kula tu kwa urefu wa Kamba yake, Hana habari na wananchi
 
Inaonekana una hulka ya ubishi, hiyo Mahakama ni usenge tu ndio maana matamko yake wahuni hawayatilii maanani na wanaendelea na uhuni wao.
Nakuhakikishia Samia atamaliza miaka yake kadri atakavyozawadiwa pumzi ya uhai pasipo kukamatwa na yeyote.
Wahuni kama Samia?
 
Back
Top Bottom