Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 824
- 2,779
Kwa hiyo mlifurahi mlivyoua watu?Uwe unasoma Nyuzi, MALCOM LUMUMBA alieleza kinaga ubaga, maswali yalo yana majibu
Kwa hiyo mlifurahi mlivyoua watu?Uwe unasoma Nyuzi, MALCOM LUMUMBA alieleza kinaga ubaga, maswali yalo yana majibu
Wana dini tu hao, mbona Trump hawamshtaki?Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Huru kwenye nini?Kwa tz sio nchi huru?
Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Waacheni wafu wawazike wafu wao wenyeweHabari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
'Kesha nyata uso' hana uzoefu kwa hili sababu kesi yake haikuwa na ushahidi wa moja kwa moja kuwa yeye alitoa amri ya kuuwawa watu.Ingawa pia UHURU KENYATTA (Rais mstaafu wa Kenya ) anapigana kura kupona kuhakikisha Shetani Samuya anashinda
Haya mambo ni Mungu tu.Kosa lingine kubwa analofanya Samia baada ya haya mauaji ya kutisha ni Kila anapowashiwa maiki...anapofungua mdomo tu lazima aliongelee hili katika lugha ya kuudhi na kuleta. Haleti utengemano ila anaharibu sana
Anaongea lugha mbovu sana juu ya hili swala. Sijui hawamahauri huko ndani au ni nini anawazaga anaposimanga watanganyika katika hili.
Wacha kitokee maana watanzania wako tayari, hakuna njia mbadala zaidi ya hiiMimi mpaka Leo najiuliza....
Hakukuwa na mabomu ya machozi ?
Ok au risasi za mpira ?
Au maji ya kuwasha ?
Ni kitu Gani kilisababisha mpaka risasi za moto ziwe mbadala ?
Sawa risasi za moto zinatumika....je kwanini zinapigwa kwenye vifua na kichwani ? Hawaoni miguu ?
Kuna kitu kinaenda kutokea Tanzania....
Nahisi mwaka huu
Atakuja kavuta hela za connection huyuIngawa pia UHURU KENYATTA (Rais mstaafu wa Kenya ) anapigana kura kupona kuhakikisha Shetani Samuya anashinda
Uhuru wa kuua watu?!Kwa tz sio nchi huru?
Mimi mpaka Leo najiuliza....
Hakukuwa na mabomu ya machozi ?
Ok au risasi za mpira ?
Au maji ya kuwasha ?
Ni kitu Gani kilisababisha mpaka risasi za moto ziwe mbadala ?
Sawa risasi za moto zinatumika....je kwanini zinapigwa kwenye vifua na kichwani ? Hawaoni miguu ?
Kuna kitu kinaenda kutokea Tanzania....
Nahisi mwaka huu
Nakwambiaje hata apiganiwe na Trump, huyu kibibi muuaji hawezi kukwepa mkono wa ICC.
ICC imetoa arrest Warrant kwa Putin, Majenerali wake Urusi na Netanyau pamoja na vikwazo vya Marekani na kiburi cha Urusi ndo ishindwe kwa Samia na vidampa wake kina Mombo, Mkunda, Awadhi Haji na Wambura?
Mtafurahishwa mwaka huu ccm.
Kosa lingine kubwa analofanya Samia baada ya haya mauaji ya kutisha ni Kila anapowashiwa maiki...anapofungua mdomo tu lazima aliongelee hili katika lugha ya kuudhi na kuleta. Haleti utengemano ila anaharibu sana
Anaongea lugha mbovu sana juu ya hili swala. Sijui hawamahauri huko ndani au ni nini anawazaga anaposimanga watanganyika katika hili.
Atavuta au kashavuta,? Si unajua wakenya,?Atakuja kavuta hela za connection huyu
Nakwambiaje. Mwaka huu tutachora mstari wa namna mwananchi anapaswa kuheshimiwa na hawa wapumbavu wanasiasa.Tena hawa vidampa wauaji wa TZ, wasipotii wito wa ICC watakuja kunyakuliwa kama vifaranga.Tz siyo Urusi, wala siyo Israel. Netanyahu ana nguvu za kijeshi, USA ipo nyuma yake, yupo na wananchi wake. Halikadhalika kwa Urusi, ana nguvu za kijeshi na ana watu wake. Huyu wa kwetu, wananchi hawamtaki, jeshi baadhi hawamtaki, jeshi lenyewe ni aheri ya makundi ya wanamgambo, zikidondoshwa drones 50 tu kwenye makambi na vituo vya wauaji, wote wananyosha mikono juu, na kuwa tayari kusaidia kuwanyakua wahusika wote.
Mauaji hayana dini.Wana dini tu hao, mbona Trump hawamshtaki?
I HAD to use EXCESSIVE FORCE to SLAUGHTER innocent civilians, they wanted to OVERTHROW my regime.Haya mambo ni Mungu tu.
Kwa kukiri kwake kuuwa watu mbele ya mic tena akiwa live imerahisisha sana kazi ya Wachunguzi wa ICC.
Nguvu iliyotumika iliendana na HOFU ya kupoteza madarakaMimi mpaka Leo najiuliza....