The ICC Champions Trophy is a One-Day International (ODI) cricket tournament organised by the International Cricket Council. The 2013 tournament was intended to be the final edition of the Champions Trophy, but it was extended to 2017 due to its widespread popularity. In 2018, the ICC decided to replace the tournament with the World Twenty20 championship to be held every two years, and no Champions Trophy was contested in 2021. However, as part of the 2021 Future Tour Programme, the event was reinstated for the 2025 cycle onwards. In November 2021, the ICC confirmed the tournament would next take place in 2025 in Pakistan, with India hosting the tournament in 2029.
Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.
Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake...
Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi.
Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu.
ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie...
Miaka 15 baada ya kesi za ICC kutawala siasa za Kenya, jina la Rais William Ruto limetajwa tena katika wito unaoelekezwa The Hague - wakati huu Kenya ikielekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Muungano wa upinzani umetaka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuchunguza...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki.
Ni...
Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
kweli hii dunia ina wenyewe, duh, sikiliza mwenye jibu lake ...
==
Sean Hannity: "...me in this sense for you. Um, you travel internationally?"
Benjamin Netanyahu: "Yeah."
Sean Hannity: "God forbid you had a medical emergency, you need to land and you're about to land in a country that...
Serikali ya Chad imetangaza mpango wa kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikidai kuwa chombo hicho cha kusimamia sheria kimekuwa kikionesha ubaguzi dhidi ya mataifa ya Afrika katika utekelezaji wa majukumu yake.
Katika taarifa iliyotolewa Julai 27, 2026, serikali ya Chad...
Ndugu zangu Watanzania,
Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao.
Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye alitoa hati za kimataifa za kukamatwa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa...
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.
Khan ambaye ni mwendesha...
Nchi 125 Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zinakutana leo, Julai 24, 2026 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York kupiga kura ya siri ya kuamua hatma ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Karim Khan ambaye anakabiliwa na tuhuma za utovu wa maadili ya...
Nchi 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zinakutana leo, Julai 24, 2026, katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York kupiga kura ya siri kuhusu hatma ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan.
Karim Khan anakabiliwa na tuhuma za utovu wa maadili ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia...
My Take
Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea.
Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika mitandano ya kijamii wameshtakiwa mbele ya Mahakama ya ICC kwa tuhuma za makosa ya uhalifu dhidi ya...
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada
Zaidi ya miezi kadhaa baada ya makundi ya wanaharakati wa haki za binadamu na mashirika ya kimataifa kuwasilisha maombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yakiiitaka ichunguze madai ya uhalifu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.