Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,411
- 3,303
Tutag Jina la huo uzi bro.Uwe unasoma Nyuzi, MALCOM LUMUMBA alieleza kinaga ubaga, maswali yalo yana majibu
Tutag Jina la huo uzi bro.Uwe unasoma Nyuzi, MALCOM LUMUMBA alieleza kinaga ubaga, maswali yalo yana majibu
Ameua wangapi kwake iwe shida?Mtamuua shangazi yangu!
Utapanic sana mwaka huu. Na bado.Makafiri tunajua mna chuki sana
Hizo mimba zenu za chuki me nawashauri mngefanya abortion tuh
Samia anaongoza nchi kwa mafanikio makubwa
ICC sio soko la samaki feri kwamba mtu anajiendea tu, heshimuni sheria za nchi, heshimuni dola.Yaani Durtete ashikiliwa na ICC alafu Samia asishtakiwe, mbona ICC watakuwa wabaguzi wa karne.
Wajinga sana hawa madogo, walimchukulia poa sana Rais kisa anavaa hijabu kisa mwanamama wa kizenji.Na kama hawaamini hao mafala wajaribu tena kucheza na dola then waone cha moto.
Then dola haitakiwi kuheshimu wananchi? Unaongea kama kuku alikatwa kichwa.ICC sio soko la samaki feri kwamba mtu anajiendea tu, heshimuni sheria za nchi, heshimuni dola.
Msipoiheshimu dola kwa hiari yenu mtalazimishwa kufanya hivyo.
Search hiyo ID zitakuja nyuzi zakeTutag Jina la huo uzi bro.
Ni two ways mkuu, huwezi kuchoma moto mali za watu na za serikali bila ya kuchezea chuma.Then dola haitakiwi kuheshimu wananchi? Unaongea kama kuku alikatwa kichwa.
Safari una kazi pevu ya kumtetea huyu wa kizimkazi na bado !ICC sio soko la samaki feri kwamba mtu anajiendea tu, heshimuni sheria za nchi, heshimuni dola.
Msipoiheshimu dola kwa hiari yenu mtalazimishwa kufanya hivyo.
Hana sababu ya kuzurura huko nje, kumbuka keshaunda baraza la mawaziri ambalo lipo kazini.Wapi ulipomwona anadunda kitaa? Anatawa ndani mithili ya mwali kwa sasa
Hata useme kwa dhiaka kiasi gani serikali yeyote inayoendeshwa kama kikundi cha wavuta bangi haiwezi kuvimilika na mwisho wa siku inaweza kumdhuru mtu yeyote regardless unaisaupport au unaipinga.Wajinga sana hawa madogo, walimchukulia poa sana Rais kisa anavaa hijabu kisa mwanamama wa kizenji.
Cha moto wamekiona.
Alitoa amri ya kutotembea nje ukajifungia ndani kama panya anayewindwa na paka.Safari una kazi pevu ya kumtetea huyu wa kizimkazi na bado !
Hii serikali ipo mpaka 2030 Mungu akipenda, mtaishia kuweka habari za ICC kupeana moyo nyinyi wanaharakati.Hata useme kwa dhiaka kiasi gani serikali yeyote inayoendeshwa kama kikundi cha wavuta bangi haiwezi kuvimilika na mwisho wa siku inaweza kumdhuru mtu yeyote regardless unaisaupport au unaipinga.
Alitoa amri ya kutotembea nje ukajifungia ndani kama panya anayewindwa na paka.
Uliona wapi wanachoma vituo vya makuta wanauwawa? Hii ni utahira au ushamba wa dola? Hizo mahakama zina kazi gani hasa?Ni two ways mkuu, huwezi kuchoma moto mali za watu na za serikali bila ya kuchezea chuma.
Mlipoanza kuandamana kule Ubungo mliachiwa wale mapolisi walidhani ni maandamano ya kawaida, pale mlipoanza kuchoma moto vituo vya mwendo kasi na vituo vya kuuza mafuta vya watu binafsi, mamlaka zikajua kumbe hawa wapumbavu hawatakiwi kuchekewa.
Mnaenda kujiliza kwa wazungu wakati upuuzi mliuanza wenyewe huko mitaani.
Jiandae tu kwenda kupeleka uji ICC.Hii serikali ipo mpaka 2030 Mungu akipenda, mtaishia kuweka habari za ICC kupeana moyo nyinyi wanaharakati.
Uhuni na uvuta bangi ulifanyika siku ile ya October 29, ukadhibitiwa vilivyo na mapolisi.
Kwamba hizo silaha mnazo ninyi tu? Ipo siku zitatufikia na tutazitumia kikamilifu ndio mtajuta hakika!Hamjasema bado kenge nyinyi
Tunajua mnataka kupasuka na hatutawaacha safari hii
Hakuna tusi jipya..tukana yote hadi umalize lakini dawa yenu mkileta fujo unajua vile tunafanya...ni shaba tuh
Habari feki za kugushi mnazitengeneza kuwajaza taharuki wabongo, tafuteni kazi ya maana nyinyi kina Maria Sarungi huu ujinga wenu unakwenda ukichokwa na watanzania.Jiandae tu kwenda kupeleka uji ICC.