Wewe hii habari umeitoa wapi?Trump kaua wahamiaji haramu 1200 waliokuwa kwenye gereza maalum kule USA, hawajulikani walipo kwani hapo gerezani hawapo, kwenye simu zao binafsi hawapatikani, unaweza kumpeleka Trump kule ICC?.
Huoni hata aibu kuzua tu taarifa ambazo hata hazipo kabisa?. Unacho kielelezo chochote kuhusu taarifa hiyo?
Matapeli waovu kabisa kama wewe ndio mnaojifanya kujuwa mambo huku mkiwa ni wajinga wakubwa.
Hata hivyo, Trump na Samia wapi na wapi hadi uthubutu kulinganisha!
Charles Taylor na 'warlords' kadhaa wa DRC waliohukumiwa na mahakama hiyo hiyo nao walifanya' genocide'