Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,383
- 34,367
SawaKuna Rais hapa Afrika atakataa kumkamata Samia kwa namna walivyomlaani kuuwa Watanzania?,
Hukuona statement ya Wizara ya Mambo ya Nje Ghana? SADC? Nchi za Maziwa Makuu?
Hukuona statement ya Former President wa Botswana na Thambo Mbeki? Hukuona Statement ya Chama tawala Afrika Kusini ANC?
Samia kila mtu hamtaki maana ananuka damu za watu.