Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,383
- 34,367
Kila mtu anatamani haki itendeke, lakini sio kwa hizo wishful thinking zenu.Museveni hana ushahudi mkubwa dhidi yake.
Samia kila chombo cha kimataifa kimemkalia kooni kuuwa maelfu ya watu. Hadi Taasisi za Kimataifa zimewasilisha maombi rasmi kwa ICC kuiomba ifanye uchunguzi na kuwakamata Samia na washirika wake.
Museven ataondoka kwa nature (Natural Death) kutokana na mzee ila Samia labda nae afe ila jela za ICC lazima alale kwa kipindi kitakachobakia cha maisha yake.