kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,049
15,882
Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!

IMG_20211007_054910.jpg
 
Zito Kabwe licha ya kwamba kuna muda huwa anawaramba makalio CCM, ila ni mtu muungwana sana.
 
Back
Top Bottom