Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Mkuu Mshana Jr naomba kuuliza
.... Kwenye nyumba zetu hizi tukitaka kusuka wiring kwa ajili ya umeme fundi huweka chumvi ya kutosha akichanganya na mkaa kwa ajili ya waya wa earth. Hii imekaaje kitaalamu na ukilinganisha na hii post?
Ile wanasema inaokoa matumizi ya umeme.. Sidhani kama ina mahusiano na kiroho
 
Anhaaa sawa so ukibadilisha purpose ndio uhakika unakuwa hamna
Bado kuna faida

 
mimi huwa natumia chumvi ya mawe kidogo nanuia kuondoa mikosi kisha naweka kwenye maji naoga.hili zoezi nimefanya lakini sio katika mtiririko wa kuhesabu siku labda 7/14/21. Huwa nafanya randoml je ndugu mshana hiyo inaweza niletea shida? Au itakuwa haifanyi kazi?....

Napia nikioga maji niliyoweka chumvi siku mbili au tatu baada ya kuoga huwa nalala usingizi mzito sana iwe mchana au usiku.je hilo ni tatizo? Au ni hali ya kawaida?...
Eti huwa unalala usingizi mzit[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MKUU BADALA YA KUAMINISHA WATU WAMTEGEMEE MUNGU ALIYEWAUMBA ,,,,UMEKAZANA NA MACHUMVI YA KWENYE CHAKULA.!!!!

KWELI WONDERS WILL NEVER END.


TO ME....

GOD IS ENOUGH,,SALT IS FOR FOOD.
Mimi mwenyewe nilikuwa mbishi Kama wewe kwamba tumuamini Mungu tu, ila baada ya kusoma elimu ya dini nikakutana na hivi vitu, kwamba ili mwenyezi Mungu awanusuru waja wake wema aliamua kuumba baadhi ya mimea mbalimbali ili itumike kuwakinga au kuwatibu hao waja wake wema waliodhuliwa na uchawi au kujikinga na uchawi, Hivyo sio tu kutumia njia hizi tu bali ni kufanya ibada na maombi na kuambatana na hizi njia mbadala kwa idhini ya Mwenyezi Mungu au kwa kumtanguliza Mwenyezi Mungu.
 
Hii tiba yachumvi mshana jr alinishauli nikaanza kutumia uwezi amini mpaka sasa nalala vizur sipati mauza uza tena, mungu akubarik mkuu mshana
Kwa mtu yoyote, kama akilala anapata maruerue usiku kwa kujua au kutokujua, akianza kutumia chumvi kwa kuoga au kunyunyiza kwenye nyumba, hatua ya kwanza ni Kuanza kulala vizuri bila maruerue.

Nimeprove hii
 
Kaka huo ubavu wanao lkn sidhan kama wanweza kabisa mana chumvi imetumika kuua vitu vingi sn vya kichawi na kuviharibu kabisa na havijafanikiwa kurejea katika hali yake

Any way ngoja waje wadau ili tijifunze zaid
Mkuu nisikilize Mimi wachawi hawakubari kushindwa na vitu vdogo kama hivyo ila akija kichwakichwa inamuumbua na kumuumiza kweli

Akijua unatumia chumvi ya mawe umekwisha, hebu fikiri mtu kakutega mtego unaojua namna ya kuufyatua hala ukubari kunasa kizembe

Mkuu wachawi wanapoenda kuwanga au kuroga wanajua Kuna mazindiko huko waendako hivyo hawaji kiboyaboya ila kuondoa mikosi na uchawi mwili inaweza mkuu kikubwa ni kufuata mashart
 
Mkuu nisikilize Mimi wachawi hawakubari kushindwa na vitu vdogo kama hivyo ila akija kichwakichwa inamuumbua na kumuumiza kweli

Akijua unatumia chumvi ya mawe umekwisha, hebu fikiri mtu kakutega mtego unaojua namna ya kuufyatua hala ukubari kunasa kizembe

Mkuu wachawi wanapoenda kuwanga au kuroga wanajua Kuna mazindiko huko waendako hivyo hawaji kiboyaboya ila kuondoa mikosi na uchawi mwili inaweza mkuu kikubwa ni kufuata mashart
Pamoja sn kaka nimekuelewa ngoja turuhusu mjadala kwa wale waliotumia na kisha ikafahamika na wachawi nn kilitokea?nadhan itatupa elimu zaid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom