Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

MKUU BADALA YA KUAMINISHA WATU WAMTEGEMEE MUNGU ALIYEWAUMBA ,,,,UMEKAZANA NA MACHUMVI YA KWENYE CHAKULA.!!!!

KWELI WONDERS WILL NEVER END.


TO ME....

GOD IS ENOUGH,,SALT IS FOR FOOD.
 
MKUU BADALA YA KUAMINISHA WATU WAMTEGEMEE MUNGU ALIYEWAUMBA ,,,,UMEKAZANA NA MACHUMVI YA KWENYE CHAKULA.!!!!

KWELI WONDERS WILL NEVER END.


TO ME....

GOD IS ENOUGH,,SALT IS FOR FOOD.
Sidhani kama wengi walielewa tulipoaswa tukatafute maarifa kwenye kitabu cha mithali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubariki mno. Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi mama mmoja muombeaji huko kilombero huombea chumvi unaipikia na kuchanganya na maji ya kunywa nilikuwa sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee bro Mshana hii kitu ya chumvi kweli kabisa.... jana nimepokea simu za ma ex mfululizo wanaomba weekend tutoke na gharama juu yao.... wakati walikua wananichukia tangu tuachane hata salamu sipati[emoji23] [emoji23] [emoji23] Chumvi oyeeee lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom