Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,652
- 863,517
- Thread starter
- #101
Pia si mbaya kama ikikosekana ile nyingineMkuu ni chumvi hii ya mifuko tunayonunua madukani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia si mbaya kama ikikosekana ile nyingineMkuu ni chumvi hii ya mifuko tunayonunua madukani?
Pia si mbaya kama ikikosekana ile nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Samahani ile nyingine ikoje?
ASAP bestNgoja nije nifanye practical... mshana jr matokeo huwa baada ya siku ngapi?
pia huwanatafuta tafsiri ya mke wa Rutu kugeuka nguzo ya chumvi
Umeniamsha udadisipia huwanatafuta tafsiri ya mke wa Rutu kugeuka nguzo ya chumvi
Hivyo
Yaeza tumika? Mara nyingi ni remedy
Mkaa unatumiajeHabarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk
Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake
Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi
MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.
Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038
Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039
Alamsiki.......!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shida kabisaKwako Mshana Jr
Hivi nikinunua hiyo chumvi ya mawe afu nikaisaga mwenyewe ili kurahisisha uyeyukaji wake pindi napotaka kuogea, kudekia hata kunyunyiza pia ntakua nimekosea?
Sent using Jamii Forums mobile app