Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Wanasema vizuri ukaogea bafuni au nje kama inawezekana. Wengine wanaogea ndani kwenye beseni kubwa. Chooni hawashauri, ila fanya kama huna namna
Mshana Jr Mtani wakti wa kuogea ina sehemu yake specifically mbali na bafuni na chooni?
 
Kuna siku korodani zilikuwa zinaleta muwasho wa kutekenya siuelewi elewi, sasa ilikuwa usiku halafu sikwenda pharmacy kununua dawa.

Mzee nikachukua chumvi nikaweka kwenye maji nikachovya kwenye kitambaa nikaanza kujipiga nayo msasa kwenye upumbu.

Dah ile kupanda kitandani sasa nikaanza sikia pumbu zinawaka moto, dakika zinavyozidi kupaa maumivu yakapanda hadi kiunoni pumbu zikafa ganzi kabisa ngozi yake ika kakamaa kama ya mamba.

Nikaona shenzi nisije nikaharibu mfumo wa mgegedo, nikaamka nikaenda bafuni kuziosha aiseee nilizimwagia maji mengi sana. Zilikuja kupoa baadae sana yaani hadi kutembea ilikuwa shida.
 
majibu ya chumvi yale ya bahari ndo dawa me huwa natumia sana ila izo chumvi za viwandan hataree unaweza zitisha tatizo
 
...Ushubuda.. Kuna typing error hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari kaka, nina shida katika utafutaji wangu. Nimezunguka kwa wataalamu wengi sana na wanaishia kusema nimefungwa vifungu kwa vya juu. Maana kila mtaalamu nikimuuliza kuhusu nyota yangu inasemaje, wanajibu haionekani yaani imezingiriwa na giza tototoro. Baada ya kazi bado mambo ni yaleyale, hivyo kaka naomba msaada wako. Nimechoka kupoteza mitaji, sasa inafika hatua mpaka mtu unakata tamaa.
 
Hii kitu niliifanya aisee sikulala usiku kwa yaliyonitokea mmh🙌🙌🙌
Weka pakti ya chumvi ya mawe unapolala kitandani au kwenye dressing table inanyonya nguvu za wapumbavu wageuzao usiku kuwa mchana kutwa kuzunguka kwenye majumba ya watu badala ya kulala.
Pigia deki chumvi ya mawe kuondoa negative energy ndani kwako utosikia magomvi au nuksi nuksi
i
 
Wewe kuwala unataka ila kuwaoa aaaah.. Yaani unataka uwale alafu uwaache?? Hakuna cha mikosi wala nini. Tafuta hela. Smh
Mshana jr mimi kunakitu kimoja naomba unisaidie ndu yangu mana nilisha kataga tamaa najiona mwenyewe mikosi.

mimi bn nikiingia kwenye mahusiano na binti yoyote haya dumu . sasa nikigusia kuhusu sex ndio nimeachwa ivyo. yani nimeisha ingia kwenye mahusiano mengi naishia kuliwa ela zangu tu yani sijawahi kuwa na mahusiano nikawa na amani na furaha kuna wengine wanakuja mpka home ila ukiomba mzigo ataki kabisa na mnachana yani najiona mimi ni mtu mwenye mikosi sana nilisha kataga tamaa kabisa

kama kunamtu alisha kutwa na hali kama yangu msahada pllz hii hali inanipaga mawazo sana
ewe
 
mKUUU HII KITU ILINITISHA SANA NILIFANYIA KAZI WEEK NYINGI TUKIO

NILILETA MBAO NYINGI ZA KAMA M 9 NZURI ZIKAUZIKA ZIKABAKI NYINGI TUNASHINDA BEI

NKAELEKEZWA OGEA CHIMVI NUIA MARA 7

THEN CHUKUA CHUMVI WEKA NA MAJANI YA CHAI YALE TINAYOPANDA KWENYE MOTO JIFUKIXE ONGEA NUIAA MJOMBA HATARE SIKUYA ÑNE KAJAMTU ANASEMA ZOTE SH NGAPI NKATAJA AKAOMBA GARI LIJE NILIMWOGOPA MUNGU NA UUMBAJI WA CHUMVI
 
Hayo majani ni majani ya chai yanayonukia?
mKUUU HII KITU ILINITISHA SANA NILIFANYIA KAZI WEEK NYINGI TUKIO

NILILETA MBAO NYINGI ZA KAMA M 9 NZURI ZIKAUZIKA ZIKABAKI NYINGI TUNASHINDA BEI

NKAELEKEZWA OGEA CHIMVI NUIA MARA 7

THEN CHUKUA CHUMVI WEKA NA MAJANI YA CHAI YALE TINAYOPANDA KWENYE MOTO JIFUKIXE ONGEA NUIAA MJOMBA HATARE SIKUYA ÑNE KAJAMTU ANASEMA ZOTE SH NGAPI NKATAJA AKAOMBA GARI LIJE NILIMWOGOPA MUNGU NA UUMBAJI WA CHUMVI
maja
 
Back
Top Bottom