Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,148
- Thread starter
- #61
Yani ni maji ya chumvi nyingi yanatakasa! Hii ndio tafsiri yakeKuna msemo mmoja hivi mtu ukiwa unaandamwa na mikosi na hata kuchezea vibuti sana kwa watoto wazuri!!! Wanasema kaoge maji ya bahari.. Je haya maji huwa yanasaidia sababu ya chumvi yake au huwaga ni story za vijiweni mkuu mshana?
Sent From Guest House
Sent using Jamii Forums mobile app