Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

70f09387aab01412fa456457b4b31a3e.jpg
 
mshanaJr kuna watu wawili wamenitapeli pesa kwa nyakati tofauti, mmoja katamka wazi harudushi mwingine ananizungusha ishapita miaka sasa toka wanitapeli, ni marafiki zangu na mawasiliano yao ninayo ila wanakaa mko mwingine. Je kuna namna ya kuwaletea zengwe spiritual ili wanilipe hela zangu. msaada tafadhali
 
Watoe pumzi ndio shortcut pekee.. Other wise hakuna namna wanaweza kukulipa
 
mshanaJr kuna watu wawili wamenitapeli pesa kwa nyakati tofauti, mmoja katamka wazi harudushi mwingine ananizungusha ishapita miaka sasa toka wanitapeli, ni marafiki zangu na mawasiliano yao ninayo ila wanakaa mko mwingine. Je kuna namna ya kuwaletea zengwe spiritual ili wanilipe hela zangu. msaada tafadhali
 
duu, acha tu nisamehe aisee
 
Bwana Mshana sina cha kukupa zaidi ya kukuombea Dua, yaani nipo poa kabisa.... kuna Vibweka vilikua vinanisumbua..... mikosi, nuksi, misuko suko isiyoisha ila kwa sasa hata vilivyopopotelea sijui..... na mambo yananyooka kabisa kama Ndoto vile!!!!!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] Ila usiiache chumvi moja kwa moja.. Tumia mara moja moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom