Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Pamoja sn kaka nimekuelewa ngoja turuhusu mjadala kwa wale waliotumia na kisha ikafahamika na wachawi nn kilitokea?nadhan itatupa elimu zaid
Me nimetumia Sana kujikinga na wachawi na ilikuwa inawadhuru Sana ila KWAKUWA wao wanauwezo mkubwa walitumia Kila mbinu ili kunishinda.

Kiukweli chumvi inanguvu Sana nakumbuka siku yakwanza kuitumia ilitaka kunidhuru hadi me mwenyewe sijui nilikuwa nimepandikizwa maroho ya kichwi

Sihilo tuu nakumbuka kuna kipindi ilikuwa ikifika jioni tuu paka alikuwa anapita juu ya paa langu na akifika kwenye paa langu Kuna vitendo alikua anafanya, kama vile kufagia wakati mwingine anabong'oa na kusikia kama michanga inamwagwa

Nilipoanza kutumia chumvi ya mawe kwakuzungusha chumba kizima amini usiamini nilimuona yule paka kupitia ndoto Kila akitaka kuja pale kwenya paa la chumba changu anarudi au akifanikiwa kuja anapita kwa kasi Sana aisee chumvi inanguvu Sana

Tangu hapo sikumuona Tena yule paka kukatiza ikawa mala moja moja Sana kiukweli chumvi ILINIFANYA nijenge vita na wachawi wakiamini na me nimchawi
 
Aisee pole sn kaka kumbe umeshapitia sn visa hivo

Wachawi sio watu wazur hata kidogo yan wana maudhi sn

Na vip baada ya wao kuja kujua je walikudhuru kwa chochote ama ilikuwaje

Au nguvu ya chumvi iliwashinda?
 
Walinidhuru kwa kunitegeshea kitandani sijui ni jini sijui ulozi hata sielewi,
Nikawa nikilala kitandani Kuna vitu vilikuwa vinatambaa
Kuna kipindi najikuta mwili woote umesizi na kujikuta nakata tamaa ya kuishi
Kiukweli vitu vingi Sana vinanisumbua walivyonifanyia
Bado nahangaika kwa watalaamu kuvitatua
Kwajinsi walivyonifanyia hawataki nipone yaani wanataka niishi hivi hivi mpaka mwisho wangu wa uhai
Siyo Siri mkuu nilijikuta ni mtu wa kukosa amani na kupelekea kuongea pekeangu
Yaani wachawi niwabaya Sana
Furaha yao nikuona unateseka
 
Ishu ndogo sana hizo, cha kufanya nenda kwa waombaji wakuombee na uokoke uwe mtu wa sala utaenjoy maisha kianzia hapo.
 
Me nimetumia Sana kujikinga na wachawi na ilikuwa inawadhuru Sana ila KWAKUWA wao wanauwezo mkubwa walitumia Kila mbinu ili kunishinda.

Kiukweli chumvi inanguvu Sana nakumbuka siku yakwanza kuitumia ilitaka kunidhuru hadi me mwenyewe sijui nilikuwa nimepandikizwa maroho ya kichwi

Sihilo tuu nakumbuka kuna kipindi ilikuwa ikifika jioni tuu paka alikuwa anapita juu ya paa langu na akifika kwenye paa langu Kuna vitendo alikua anafanya, kama vile kufagia wakati mwingine anabong'oa na kusikia kama michanga inamwagwa

Nilipoanza kutumia chumvi ya mawe kwakuzungusha chumba kizima amini usiamini nilimuona yule paka kupitia ndoto Kila akitaka kuja pale kwenya paa la chumba changu anarudi au akifanikiwa kuja anapita kwa kasi Sana aisee chumvi inanguvu Sana

Tangu hapo sikumuona Tena yule paka kukatiza ikawa mala moja moja Sana kiukweli chumvi ILINIFANYA nijenge vita na wachawi wakiamini na me nimchawi
hivi hii ya kumwaga mchanga ni uchawi eeh maana kwenye bati home kila mara nasikia hii yani kila siku mpaka nawaza hii michanga nani anamwaga kwani yani kama manyunyu ya mvua kidogo. Na nimemwaga chumvi lakini bado nasikia hii michanga.
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uwe hujalogwa kisawa sawa na nyota ikashuka
 
Aisee pole sn kaka,lkn usikate tamaaa utapona tu mana nao hapo wanahangaika tu
Walinidhuru kwa kunitegeshea kitandani sijui ni jini sijui ulozi hata sielewi,
Nikawa nikilala kitandani Kuna vitu vilikuwa vinatambaa
Kuna kipindi najikuta mwili woote umesizi na kujikuta nakata tamaa ya kuishi
Kiukweli vitu vingi Sana vinanisumbua walivyonifanyia
Bado nahangaika kwa watalaamu kuvitatua
Kwajinsi walivyonifanyia hawataki nipone yaani wanataka niishi hivi hivi mpaka mwisho wangu wa uhai
Siyo Siri mkuu nilijikuta ni mtu wa kukosa amani na kupelekea kuongea pekeangu
Yaani wachawi niwabaya Sana
Furaha yao nikuona unateseka
eee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom