Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,381
Yaani siku ya kuanza rasmi..ndio naanza kwa mfano juma3 hadi jumapili na kuendelea simaanishi siku 1 tu mkuu...umeambiwa siku7 iyo moja umeitoa wapi
Yaani siku ya kuanza rasmi..ndio naanza kwa mfano juma3 hadi jumapili na kuendelea simaanishi siku 1 tu mkuu...umeambiwa siku7 iyo moja umeitoa wapi
Yani formula yake ni ama utumie kwa siku 7 au 14 au 21Mkuu mshana jr sijaelewa hapo kutumia siku 7,14, 21. Ni kuwa uogee kwa siku saba in row, then siku kumi na nne, afu then uanze hadi siku 21 separately???
Nilishasikia kuhusu chumvi kuondoa mikosi na kung'arisha nyota. Hata maji ya baraka wanaweka chumvi, so I believe.
this does not work scientifically.
Kwanza naona umeedit na kuondoa neno rubbish, sasa hebu soma hizi replies zako mbili hone contradiction iliyopohahaahahaha. bac hakuna shida. mimi mgeni kabisa humu. na mimi nataka nikwambie kitu kimoja
chumvi ni kweri tiba na ni dawa ila tunapokosea kusema unapaswa uwe na imani fulani ndiyo ifanye kazi. mimi najua ukitumia siku7, 14 au 21 kwa utaratibu wa formula fulani itakutibu tu. hizo zingine huwa mbwembwe tu wala azisaidiii kabisa
Kwa humu wewe bado ni mgeni sana hebu angalia profile yangu uone nipo humu tangu mwaka ganihahahahah. hujui na mimi ni mhenga?
mkulu hata hii does not work scientifically! hahahaaaaamshana unataka kunifanyanini. au ndiyo unataka kuitumia taaluma yako ya uchawi kwangu kuninyoshaaa. maana unanianika hadharai
HOYEEEE!chumvi oyee
Sent From Guest House
yakwanza nilikuwa nakujaza povu. ya pili ndiyo maoni yanguKwanza naona umeedit na kuondoa neno rubbish, sasa hebu soma hizi replies zako mbili hone contradiction iliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unainyunyizia huitupiMshana elekeza basi vizuri namna ya kuitumia hiyo chumvi! Unailoweka kwenye maji au unaitupia ikiwa katika mabonge?
Very interestingyakwanza nilikuwa nakujaza povu. ya pili ndiyo maoni yangu
Unisaidie matokeo basi rafiki yangu.ili na mie nitesti.Duuuh hatari zaidi mkuu..ngoja nitajaribu siku moja
Asante mkuu, so isipofanya kazi siku 7, nianze siku 14 or 21 until ilete matokeo, si ndio?
Haina shida kabisamimi huwa natumia chumvi ya mawe kidogo nanuia kuondoa mikosi kisha naweka kwenye maji naoga.hili zoezi nimefanya lakini sio katika mtiririko wa kuhesabu siku labda 7/14/21. Huwa nafanya randoml je ndugu mshana hiyo inaweza niletea shida? Au itakuwa haifanyi kazi?....
Napia nikioga maji niliyoweka chumvi siku mbili au tatu baada ya kuoga huwa nalala usingizi mzito sana iwe mchana au usiku.je hilo ni tatizo? Au ni hali ya kawaida?...