Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tupe mrejesho
Kaka Mshana nimeproove miracles live live aiseeee......nimesoma juz hii makala ya chumv kama tiba mbadala nikafanya na ka utafiti kdgo kwnye maandko matakatifu kujiridhisha.....then nikaanza kutumia kuanzi siku hyo hyo (juzi)......Maana mm ni mtu wa action on time...

USHUHUDA
Nilianza kwa kununua hyo chumvi asili (ya mawe) usiku huohuo nilipo maliza kusoma hii makala (ya chumv)....nikaweka kwnye maj yang ya kuoga, nikanuia kisha nikaoga.....nyingine kibabe nikaweka pia chin ya mto wa kulalia.....Miracle iko hapaaaa.....

Nilikiwa sipati usingzi vzur, nikiamka mwil umechoka sanaa, najihisi kuwa na hang over ya uchovu,kichwa kuuma xanaa.....najihisi uvivuu xanaaa hata kuamka...mana huwa naaamka saa 11 na natoka kwnye ujasiriamal wang saa5 ucku....pa1 na kaz nazofanya sidhan kama ndio kuniletea uchovu wote uleeee..... pia kilikuwa na ishu ya kutokwnda mambo sawa (deals)......sasa basi........picha linaanza next morning yan janaa nililala hata Alam sikuisikia kama kawaida hvyo nikaanshwa saa 12:24 halafu bas mwil uko fresh xanaa bila uchovu hata kdgo, moyon nina furaha flan hiv, nimechangamkaaa........na mambo mengine nikaona yamefungukaaa yaaan nataman ujue how happy n shocked i am....

Asanteee xana wadau wote hasa mr。Mshana Jr. Kwa kuleta hili somo........napenda kujifunza mengi...
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji108][emoji108][emoji120][emoji120][emoji120][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Hii tiba yachumvi mshana jr alinishauli nikaanza kutumia uwezi amini mpaka sasa nalala vizur sipati mauza uza tena, mungu akubarik mkuu mshana
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji108][emoji123][emoji109]
 
Nakumbuka nilipokuwa mdogo kule kijijini kwetu, bundi wakilia usiku, nilikuwa nikiona bibi yetu akinyunyizia chumvi kunako moto na kuzungumza maneno fulani kwa sauti ya chini. Muda mfupi utasikia milio imekoma! Leo ndiyo nafahamu siri ya chumvi.
 
Mshana nashukuru nakufuatilia sana mm kuna mtu namdai huu mwaka3 pia nikiwa nahela nashaa zinaisha mapema bila kuelewa je nifanyeje ktk kuitumia chumvi pia nitaipata wapi hii ya kiasili namaanisha ya baharini naomba kuwasilisha
 
Itumie itakusaidia sana inapatikana kwenye masoko yetu haya ya mitaani kwa bei poa kabisa
 
hahaahahaha. bac hakuna shida. mimi mgeni kabisa humu. na mimi nataka nikwambie kitu kimoja
chumvi ni kweri tiba na ni dawa ila tunapokosea kusema unapaswa uwe na imani fulani ndiyo ifanye kazi. mimi najua ukitumia siku7, 14 au 21 kwa utaratibu wa formula fulani itakutibu tu. hizo zingine huwa mbwembwe tu wala azisaidiii kabisa
...mwaga hapa hiyo formula ili tuifahamu...ama sivyo na yenyewe tutaiona kama mbwembwe tu kama unavyosema Mkuu..
 
Mkuu Mshana Jr endapo mtu amekosa chumvi ya mawe au mabonge kama unavyoita, je akitumia chumvi ya kusaga hizi wanaziuza kwa kupima kina mama yaani ylile ya mawe iliyosagwa inafaa.?
Yeah inafaa pia hakuna shida unaitumia mpaka utakapopata ya mawe
 
Kaka Asante sana kwa Darasa..... Naomba kuuliza,Nikiweka Chumvi kwenye ndoo ya lt 20 usiku kisha nikaoga Maji hayo Asubuhi..... Au ni vema kuweka hapo hapo kisha unaoga......?? Na Inatakiwa nioge kwanza Maji na Sabuni kisha nikitakata nijimwagie Yale ya chumvi...?? Je wakati wa kunuia natakiwa Ninuie wakati nimeshika Chumvi kabla sijaweka kwenye maji au Ninuie wakati shaweka kwenye Maji.....??
 
Duu naona umepita kote... Angalia kule nimeshakujibu
 
Hii ya chumvi niliiona YouTube official channel ya BrightSide,nikajaribu...kweli tangu hapo mpka leo sioni mang'amu ng'amu,tana mimi nliweka kwenye kona4 za chumba na chin ya kitanda!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom