Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako
masharti yote ya kuitumia Ni ya kishirikana sasa sijui Chumvi itakosekanaje kuwa sehemu ya ushirikina.
 
Asante kwa taarifa, naomba niuliza Mashana jr Kuna Imani ya mchawi hawezi kuruka mwichi au kifaa cha kutwangia, Habari hii ni ya kweli
 
Mkuu vipi nikiitumia kwenye mlo kabisa??
Yaani kama nikiiogeda tu inasaidia basi mi naila kabisa kwa kuipikia kwenye msosi, mambo sijui eti hayana ya madini joto hiyo tutajua mbele ya safari
[emoji2] [emoji2] [emoji2]fanya vyote ogea nyunyiza na tumia kwenye chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ni chumvi hii ya mifuko tunayonunua madukani?
 
Back
Top Bottom