Huko kote nimepenya mkuuIshu ndogo sana hizo, cha kufanya nenda kwa waombaji wakuombee na uokoke uwe mtu wa sala utaenjoy maisha kianzia hapo.
Ndiyo ni mchawi huyohivi hii ya kumwaga mchanga ni uchawi eeh maana kwenye bati home kila mara nasikia hii yani kila siku mpaka nawaza hii michanga nani anamwaga kwani yani kama manyunyu ya mvua kidogo. Na nimemwaga chumvi lakini bado nasikia hii michanga.
Anamaanisha chumvi haifui dafu kwa matatizo sugu ya kurogezewaSijakuelewa vema
Tiba ya chumvi sio ya muda mfupi.. Unatakiwa kuitumia kwa miezi hata mwaka na taratibu utaona nabadiliko kidogo kidogo.. Uzuri wa chumvi ni kwamba ikishatibu imetibu ila inabidi uwe mvumilivuAnamaanisha chumvi haifui dafu kwa matatizo sugu ya kurogezewa
Ni Kweli aisee chumvi siiachi nimeshaanza hata wanangu kuogesha na chumviTiba ya chumvi sio ya muda mfupi.. Unatakiwa kuitumia kwa miezi hata mwaka na taratibu utaona nabadiliko kidogo kidogo.. Uzuri wa chumvi ni kwamba ikishatibu imetibu ila inabidi uwe mvumilivu
Mmh braza Mshana si umesema tutumie kwa kipindi Cha siku 7,14 au 21 hii imekaajeTiba ya chumvi sio ya muda mfupi.. Unatakiwa kuitumia kwa miezi hata mwaka na taratibu utaona nabadiliko kidogo kidogo.. Uzuri wa chumvi ni kwamba ikishatibu imetibu ila inabidi uwe mvumilivu
Naona wengine wanatumia ya bahari ambayo ni raw haijasafishwaMmh ya mabonge... Mbona hizo ni nyingi kwa muda mfupi?
Soma hiiMmh braza Mshana si umesema tutumie kwa kipindi Cha siku 7,14 au 21 hii imekaaje
Chumvi hio unaiogea na sabuni mkuu?View attachment 552594
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha hii hapa chini ni kielelezo kwamba hata wachawi huitumia chumvi kwa mambo yao[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nipo nafuatilia huu uzi wa Mshana Jr sijui hata ulinipitaje....!!!Ben zen tarot
Japo me si mjuzi wa hii kitu lakini kwa uelewa wangu oga Kwanza na sabuni yako then jimwagie Sasa na maji yenye chumvi.....!!!Chumvi hio unaiogea na sabuni mkuu?
Kumbe! Nilidhani sabuni ingepunguza nguvu ya chumvi...!!!Haina shida
[emoji3]Ndiyo ni mchawi huyo
Lengo ni usiendelee
Magomvi yasiyokwisha
Kuchafua nyota
Yaani me ilifika kipindi nikawa nahisi paji la uso linawaka moto pindi walipokuwa wakifanya hivyo
Pia watu wakawa wananichukia bila 7babu yaani nikija kupata nafuu nitaenda radioni kuhadithia mitihani niliyopitia
Ili watu wajue kwamba Kuna watu wamevaa Dini Kumbe ni waasi wakubwa hapa Duniani
Kazi kuwatesa wenzao wasiyokuwa na kinga
Japo me si mjuzi wa hii kitu lakini kwa uelewa wangu oga Kwanza na sabuni yako then jimwagie Sasa na maji yenye chumvi.....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuruni kwa maoni na ushauriHaina shida
ndo ishaanza kufanya kazi...........it means hao viumbe wameshaanza kukutana na upinzani..............kumaanisha kwamba mwanzoni walikuwa wanakuingia kiulaini sanaaaaaaaaaaanashukuruni kwa maoni na ushauri
huu uzi niliufungua saa saba usiku, nikawa nausoma kwa mara ya 3 mfululizo
sasa.nikajiuliza kwann nisijaribu kuiogea hii chumvi leo (usiku huu huu)
aisee kweli nikaamua
kwanza kabisa, nikaxhukua chumvi nikaichanganya na maji ya kunywa, nikanuia nikayanywa.
pili, nikaweka maji bafuni, nikachukua chumvi nikanuia kisha nikaiweka majini nikaiogea bila sabuni.
nikatoga bafuni.
nikasema sasa nikijipaka mafuta, nichukue chumvi nyingine nichanganye namafuta nijipake mwili mzima😅😅😅
kweli nikafanya hivyo kweli.
nikaelekea kulala, lakn kabla nakumbuka nilisoma humu kwamba ukiweka kipande cha mkaa chini ya godoro unalala poa sana..😂😂😂
nikaweka pale aisee😅😅
nikaanza kuutafuta usingizi, hapo inaenda saa tisa usiku.
MAAJABU YANAIBUKA
Aisee sisimulii uongo, ila nimeota ndoto iliyonitisha sana, lakn nikawa kama naona kinachoendelea! NAOTA HUKU NAONA KABISA!!
Mwili umeanza kuwa mzito sana ghafla, nikaanza kuona paka mweusi tii kama anajiondoa kwenye.mwili wangu, paka alikuwa anatisha (lilikuwa likubwa kiumbo)
ghafla ndoto ikakata.
baadae tena naliona lile lile lipaka linapambana kujiondoa kwangu kwa mara ya pili. Nilishtuka sana. Hio ndoto ikaisha
nikaota tena nyingine, nashangaa nimeisahau
ikaja nyingine tena namuona mwanamke mrembo sana analazimisha nifanye nae mapenzi, kavua yuko uchi wa mnyama, nikamkatalia!! sikulala nae..
Hizi ndoto nimeziota leo tu baada ya kuogea chumvi, kujipaka mwili mzima na kulala na kipande cha mkaa!!
bado najiuliza hapa kuna nn nyuma ya pazia