The Radar Scandal: Investigation & Progress


Kujiuzulu kwa Chenge, kujiuzulu kwa Balali, kujiuzulu kwa Lowassa.......very smart moves. Inaonekana wamekomaa kiakili. Wamejizulu ili kama kuna kesi basi wafuateni. If you dont see the pattern then I feel sorry for you.
 

Psss, the onus is on YOU to PROVE he Stole!! He doesnt have to come to you and tell you......ooh this is how I earned my money!
Kuhusu Sumaye mmh. Haya.
 
Huu uvumi ni mkubwa sana na Chenge lazima ajue kwama kachukiwa mno .Mafisadi nadhani sasa wanaweza kuona madhara ya wizi na unyakuaji .Ni hatari kubwa wajifunze .Atachukia lakini ukweli uko pale pale kwamba watu they wish him death .
If wishes were horses we would all be riding. Keep on wishing lakini nyie sio mungu na kifo ni ahadi hata wewe utakufa hata kama si fisadi kwani wote twafa siku ikifika.
 
Psss, the onus is on YOU to PROVE he Stole!! He doesnt have to come to you and tell you......ooh this is how I earned my money!
Kuhusu Sumaye mmh. Haya.

Thats it? Duh!
 
Kithuku.. si umemsikia leo ndivyo alivyokuwa anajibu watu akitaka sauti yake isikike tu.. nilijaribu kumpress kwa issue nyingine akachomoa...

Hivi alitaka sauti yake isikike au ni wewe ulimpigia simu kutaka kujua ukweli hebu tuambie ndugu,
 
Psss, the onus is on YOU to PROVE he Stole!! He doesnt have to come to you and tell you......ooh this is how I earned my money!
Kuhusu Sumaye mmh. Haya.

well said but that's something that some people apparently find hard to grasp
 
Kujiuzulu kwa Chenge, kujiuzulu kwa Balali, kujiuzulu kwa Lowassa.......very smart moves. Inaonekana wamekomaa kiakili. Wamejizulu ili kama kuna kesi basi wafuateni. If you dont see the pattern then I feel sorry for you.

Mkuu haya unayosema hayajibu swali la msingi na hoja ya utetezi wako na hela za Chenge, isipokuwa unajaribu kukwepa responsibilities kwamba ni shauri yetu, no mkuu hili la kuibiwa ni shauri letu wote wananchi wa Tanzania, na ni wajibu wetu wote kujaribu kujua ukweli wa kodi zetu na mali za viongozi wetu,

Sasa kama the ishu ni wafuateni, basi sasa ni wakati wa kufunga JF maana what are we doing here bro? Ni wewe uliyeanzisha hii topic hivi kweli mkuu what did you expect? Hayo uliyoyatoa hapo juu sio majibu yenye logic hata kidogo kwa sababu unajaribu tu kukwepa responsibilities zako kama mwananchi wa Tanzania, lakini ukweli uko pale pale kuwa Chenge amejiuzlu kwa kukosa maelezo ya hela alivyozipata, nothing personal wala anything!

Serikali yetu ipo, inaendelea na haijafilisika na mahakama bado zipo, pole pole siku itafika wala hatuna haraka nao mkuu! Maana tumetoka nao mbali sana!
 

Absurdity and stupidity of the highest degree.
 
Tunasubiri kwenye magazeti mengine tuone "kwa mujibu wa KLH News" (that is if they will even acknowledge) wakati si tushapata zamani, lol!
 
nilimpigia simu, na kama asingetaka sauti yake isikike asingejibu. Duh?

Kwanini asijibu ili uendeleze uvumi kuwa kafa ndio maana hajibu. Huwa hamjui mtakalo ndio shida ya wabongo. Sasa baada ya kusikia sauti yake umejua yu hai au bado una wasi wasi
 
Nimesoma thread hii kuanzia ukurasa wa kwanza nikivutiwa muda wote na jinsi Mwafrika wa kike anavyomchamngamsha huyu anayejiita zeenam. Burudani safi, asante mama!
 

Okay,lets say you are right,how comes then he failed to declare this when filling those forms za wealth bungeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…