Nataka ukiranja Je nitaupataje ????
Chukua form ugombee, ufanye kampeini. ila hatutaki fisadi maana siku kila sehemu watu wanagombea ili wawe mafisadi.
Nataka ukiranja Je nitaupataje ????
Huu ni mwanzo wa mwisho wa wanasiasa wetu? huytu kaupata wapi ujasiri wa kuyasema haya ?JK watch out something is coming.
Jamco Za, hata watanzania mkijua mtafanya nini? Haya mambo kuna watanzania wengi tu walikuwa wanajua wanaumia roho, lakini hakuna cha kufanya.
Tatuna cha kufanya, mkiandamana kwa upole watawapeni hotuba nzuri, mkiandamana kwa fujo, mtapigwa mabomu, hebu niambie una mpango wa kufanya nini, hivyo ambavyo umeshajua?

kwani wanasiasa ndio hao peke yao wakifa hao wanakuja wengine na wengine mimi yangu ni 2015 ubunge wa moshi vijijini
Single D, mimi nakuuliza wewe, una mpango wa kufanya nini? Yaani baada ya kumaliza kupost huku kwny JF, au unawazo mtu fulani afanye nini, na utamsaidiaje?
...hata watanzania mkijua mtafanya nini? Haya mambo kuna watanzania wengi tu walikuwa wanajua wanaumia roho, lakini hakuna cha kufanya.
Tatuna cha kufanya, mkiandamana kwa upole watawapeni hotuba nzuri, mkiandamana kwa fujo, mtapigwa mabomu, hebu niambie una mpango wa kufanya nini, hivyo ambavyo umeshajua?
Ndugu "shy" nimekuwa nafuaatilia hoja zako kwa muda nakuona mambo yako yako kupinga pinga tu, tena unatia kichefuchefu, ni mtu wa ovyo, watu hapa wanaongea hoja za msingi, za maendeleo wewe unaleta za kucheza.
Kama ni kiu yako ya ubunge si uende ukaanze kampeni kama MAFISADI wenzako. Naona hapa unapoteza mda tu. Nyambafu we!!!
Anamtishia nani huyo kama mbwai, mbwai tuu hakuna atakae acha kwenda mahakamani, kwa kifupi huyu jamaa anataka kucontrol nchi yetu, hizo siri au hayo mabomu ndo yatamuangamiza huyu mshenzi wake, kama alikuwa na siri na mbinu za vigogo kwanini asinge simama na kukemea ili kutetea maslahi ya nchi anasubiri kaumbuka ndo anatisha nyau, tena asicheze na nchi yetu kabisa, chenge nakutaadharisha usione watanzania wajinga, huna haja ya kusuburi mahakama kama kunasiri nzito unazijua na unajali taifa lako zimwage uwanjani, acha kelele