The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Naombeni mnikaribishe jamani, nimekuwa nikivutiwa sana na thread zenu napenda kuwa mwanachama tangu leo.

Naahidi kuilinda na kuitete JF kwa moyo wangu wote.

Naomba kuwakilisha.
 
Kwi kwi kwi kwi!
Kibri.
Yeye ana kibri kumshinda Ibilisi?
Tusha muwahi kwa upupu na pilipili kichaa makalioni.
Safari hii atasema tu, kama hasemi chozi litamtoka kwa joto la mseto nilio utaja.
 
Naombeni mnikaribishe jamani, nimekuwa nikivutiwa sana na thread zenu napenda kuwa mwanachama tangu leo.

Naahidi kuilinda na kuitete JF kwa moyo wangu wote.

Naomba kuwakilisha.

Karibu Shosti japo na mie sio mwenyeji sana maeneo haya.
 
Ataondoka tu,tena kwa aibu,huko kutozungumza ni kujikaza kisabuni kumbe mwishowe atanywea na kuishia kabisa.

Maji yako shingoni.

AndyChenge,achia ngazi,kiburi si maungwana
 
Naombeni mnikaribishe jamani, nimekuwa nikivutiwa sana na thread zenu napenda kuwa mwanachama tangu leo.

Naahidi kuilinda na kuitete JF kwa moyo wangu wote.

Naomba kuwakilisha.

Bi Shost, hiki kijiwe cha wote wenye dhamira ya kutoa "Constructive Ideas" katika kuijenga na kisafisha nchi yetu.........

Karibu jamvini utoe kile ulichonacho na kuchangia (ikiwemo kukosoa) pale upoona panajiri........ Karibu Mkuu............
 
Naombeni mnikaribishe jamani, nimekuwa nikivutiwa sana na thread zenu napenda kuwa mwanachama tangu leo.

Naahidi kuilinda na kuitete JF kwa moyo wangu wote.

Naomba kuwakilisha.

Karibu sana...JF, tunatetea hoja na si vioja hapa....
 
Kwi kwi kwi kwi!
Kibri.
Yeye ana kibri kumshinda Ibilisi?
Tusha muwahi kwa upupu na pilipili kichaa makalioni.
Safari hii atasema tu, kama hasemi chozi litamtoka kwa joto la mseto nilio utaja.

Madela,

Yeye alidhani kuwa akitisha kushitaki magazeti ya bongo basi ndiyo itatoka hivyo. Unakumbuka hata magazeti yalikuwa yakiandika habari zake na kusema jina liko kapuni ili kusubiria ushahidi wote ukamilike.

Chenge mwenyewe alichanganyikiwa hiyo cordination ya JF na vyombo vya nje na ile story ya The Guardian imemchanganya sana mzee wetu.

Hata hivyo inabidi bado niwape pongezi Thisday kwa kuendeleza story ya Chenge kwa namna ya pekee kabisa!
 
Once again, one of the big shots wa siasa za kifisadi Tanzania anaweza kuangukia pua na kuishia kortini. Ila huyu Chenge kwa nafasi yake, ana viunganishi(network) vingi. Ataanguka peke yake?

I am also waiting for Mkapa.
 
Kwa maoni yangu SFO wangeanzia kuchunguza utendaji kazi wa PCCB ... to me PCCB is like another branch of Chama Tawala na mwisho wa siku hakuna atakayeweza "kumfunga paka kengele". I understand kwamba Chama Tawala kina "Tume ya Maadili ya Viongozi..." what on earth is this Tume doing? Kwa maana sasa SERIKALI naona hai-function maana kila kukicha HOJA zinaibuka kutoka kila pande ya dunia and the EXECUTIVES especially PM Pinda anaendelea kutuambia kuwa UCHUNGUZI unaendelea! Utaendelea mpaka LINI? May be we forgive and Forget and MOVE on! To me ni kama vile SERIKALI haina tena muda wa kufanya kazi zaidi ya kuendelea kufanya uchunguzi wa UOZO na UCHAFU uliofanya na VIONGOZI waliopita -- Honestly hii INAKERA MNO
 
Cartoon nzuri saana..
 
Attachments

  • Mafisadi.jpg
    Mafisadi.jpg
    43.1 KB · Views: 178
Naombeni mnikaribishe jamani, nimekuwa nikivutiwa sana na thread zenu napenda kuwa mwanachama tangu leo.

Naahidi kuilinda na kuitete JF kwa moyo wangu wote.

Naomba kuwakilisha.

Karibu Bi Shosti..
I go by the name of Nyani Ngabu..
I hope to see you around more..
Please tell your friends about jamboforums and ask them to join..
Again, welcome aboard..
 
nasikia jamaa eti anayo zaidi ya bilioni 25 katika account tofauti hapa na nje ya nchi.ni nini hasa kinachompa kibri?chenge anayeweza kutuma suti yake kupitia DHL kwenda london kufuliwa wakati watanzania wengi hawapati mlo wa pili.kweli hii ni dharau kwa watanzania.
 
Inabidi makombora yote yaelekzwe kwa fisadi huyu kwani inasemekana ndio 'play maker' wa dili nyingi za kifisadi and a man behind the scene ya ushindi wa JK.
 
Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, anayetuhumiwa kwa ufisadi, amewasili na kusema hawezi kuzungumza kwa kuwa anachunguzwa!!!

Mkuu Halisi,

Huyu Chenge Mwizi, karudi mwenyewe au karudishwa? Nilitegemea angeelekea USA na muungwana.

Kweli sasa tumemfunga paka kengere, hivi alikuwa na nguvu hata ya kuwaangalia Watanzania usoni?
 
Back
Top Bottom