The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Haya yote ni matokeo ya watanzania wengi kujifanya hatujui kama CCM manake ni 'Chama Cha Mafisadi' na kuendelea kuwapa kura zetu. Hapa ndo tukome sasa, umasikini unazidi kukithiri kwa walala hoi, wabunge wanazidi kudai marupurupu manono, maisha yanazidi kupanda na hakuna anayejali, vigogo wanazidi kujirusha na 'high life'...ili mradi tu ka-nchi kanatawalika bila mizengwe na hakuna kelele basi kila mwenye nafasi anaitumia ipasavyo. nadhani watanzania wengi sasa tumekwenda shule, siyo kama kipindi cha mzee wetu kifimbo japokuwa yeye ndo hasa alitufungua macho na shule zilikuwa bureeee...leo hii kama huna viji milioni kadhaa basi wewe ulie tu, shule sahau. Tusiogope mabadiliko, tuachane na CCM japo kwa five yrs tu, halafu tuone nini kitatokea kwa jamii yetu. Tuacahane na ubinafsi tuwe na utaifa zaidi ndo mambo yatakwenda poa.
 
UK pound 5 milion sawa karibu na US$ 12.5 milion.
New jersey US $1 milioni hapo bado uswiz,amstedam. duu

Watu kama hawa ni wakupiga risasi tu.

Wait a minute.... I thought £ 500,000 was too much for Chenge! But ... Macho yangu yanashindwa kusoma vizuri, ni £ 5Mil? Au some editorial errors somewhere? Au niko outdated?
 
Wait a minute.... I thought £ 500,000 was too much for Chenge! But ... Macho yangu yanashindwa kusoma vizuri, ni £ 5Mil? Au some editorial errors somewhere? Au niko outdated?

Mkuu we acha tu, Chenge kama ni China angeisha badili jina na kutembelea Kiwili wili tu.
 
Jamaa anaingia leo toka china..aamejipanga hasa kujibu tuhuma hizo...ila mi namshauri atupishe akae pembeni....kwanza tumchunguzee ikioneka hana hatia...tutamsafisha ila kama la...tutamshitaki kabisa hata akiwa na wakili toka mbinguni .....hatuogopi.ina maana ameona mawakkili wetu hawafai??
 
The UK is looking after UK...na sisi tujiangalie wenyewe. Angalia jinsi hawa wanavyoungana kulinda huu uchafu wa BAE, yote hii ni kwa sababu nchi yao itaaibika.

Yebo

unataka na sisi watanzania tuwafiche na kuwalinda mafisadi ili tusijeichafua nchi yetu sio, Napata maswali na majibu mengi sana kutoka na kauli yako, je tuendelee kulinda heshima ya masisadi wasije aibika?
 
Wabunge kumweka kitimoto Pinda

2008-04-16 09:30:28
Na Waandishi Wetu, Dodoma

Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda, kesho anatazamiwa kuwekwa kiti moto na wabunge, kuhusu tuhuma zinazomkabili Waziri wa Miundombinu, Bw. Andrew Chenge za kujilimbikizia mabilioni ya fedha nje ya nchi.

Habari za uhakika kutoka kwa wabunge, zilisema hatua hiyo itafikiwa ili kujua msimamo wa serikali kuhusu kashfa hiyo.

Kwa mujibu wa habari hizo, wabunge hao watamhoji Waziri Mkuu wakati wa kipindi cha nusu saa cha maswali ya papo kwa papo kinachofanyika kila Alhamisi bungeni.

``Tuhuma dhidi ya Chenge ni nzito, hii si tu kwa sababu ya kiasi cha fedha anachomiliki bali tunataka kujua vyanzo vya Dola 1,000,000 alizoweka benki huko Uingereza na sababu ya kuzihifadhi nje ya nchi,`` alisema mbunge wa CCM kutoka Kanda ya Ziwa, anapotoka Bw. Chenge kwa niaba ya wenzake.

Alisema hatua hiyo itachukuliwa bila kujali au kulinda maslahi ya chama kwa kuwa chama hakijakosa bali waliokiaibisha ni watendaji kama waziri huyo.

Bw. Chenge aliripotiwa na gazeti la The Guardian Uingereza kuwa anamiliki akaunti yenye Dola zaidi ya 1,000,000 sawa na Sh. bilioni 1.2 zilizohifadhiwa kwenye benki iliyoko kwenye visiwa vya Jersey, Uingereza.

Taasisi ya kuchunguza uhalifu wa kimataifa ya nchi hiyo inachunguza iwapo kuna uhusiano baina ya fedha hizo na ununuzi wa rada mbovu iliyoligharimu taifa zaidi ya Sh. bilioni 70 (kwa tarakimu za sasa) iliyonunuliwa Uingereza wakati wa awamu ya Rais Benjamin Mkapa.

Hata hivyo, kwa mujibu wa The Guardian, Bw. Chenge alikana kuhusishwa kwa fedha hizo na rushwa ya rada, ingawa alikiri kwamba ni zake.

Wakati hayo yakisubiriwa Waziri Chenge anatarajiwa kurejea nchini leo.

Vyanzo vya habari kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa vilisema jana kuwa wakati Rais Jakaya Kikwete na Waziri Benard Membe wakielekea Marekani, mawaziri wengine waliokuwa kwenye msafara huo, akiwemo Chenge, wanatarajiwa kuingia nchini leo kwa ndege ya Emirates.

Wakati huo huo, Mhadhiri mashuhuri Profesa Mwesiga Baregu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amesema inashangaza waziri huyo anayetuhumiwa kuendelea kubakia kwenye msafara wa Rais.

``Alitakiwa awe amewekwa kando, angepumzishwa ama kwa hiari yake au na mwajiri wake ili uchunguzi ufanyike kwanza.``

Profesa Baregu ambaye ni mtaalamu wa masuala ya sayansi za siasa, alisema haieleweki na kwa hali yeyote isingependeza Waziri Chenge aendelee kuwa katika ziara ya Rais ughaibuni huku akikabiliwa na kashfa hiyo.

``Wananchi walitegemea baada ya kashfa hiyo kuwekwa hadharani, awekwe pembeni. Kumuacha aendelee kunawafanya washuku pengine serikali haijaona kama kuna tatizo dhidi ya mtendaji wake huyo,`` alionya Profesa Baregu.

Waziri huyo alikwenda bara Asia na akiwa China alisaini mkataba wa ujenzi wa ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere utakaojengwa Dar es Salaam.

Waziri Chenge aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika awamu ya pili aliishauri serikali katika mikataba kadhaa ambayo imezua mijadala.

Wakati huo huo, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Bw. Robert Manumba, alipoulizwa iwapo kurugenzi yake imeanza kuchunguza mali za waziri huyo hapa nchini alisema hapana.

Alifafanua kuwa polisi haijaanza kumchunguza kwa vile Taasisi ya Kuzuia na Kudhibiti Rushwa (TAKUKURU) inafanya kazi hiyo.

Alipoulizwa iwapo atakamatwa kwa mahojiano atakaporejea nchini, DCI akionekana yuko makini katika matamshi yake alisema polisi haijihusishi na suala hilo bali liko kwa TAKUKURU.

SOURCE: Nipashe
 
Revealed: Chenge's key role in radar deal

FORMER ATTORNEY GENERAL PROVIDED LEGAL
ADVICE IN FAVOUR OF DUBIOUS TRANSACTION

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge, was responsible for giving crucial legal advice to the Tanzanian government in 2002 during the purchase of the controversial military radar system currently at the centre of local and international corruption investigations, it has been revealed.

Chenge, who was the government's chief legal advisor as Attorney General when the 28 million pounds sterling (approx. 70bn/-) radar was purchased, gave advice on key aspects of the transaction, which ultimately led to the approval of the deal by the Cabinet.

The advice given by the then AG in the radar deal involved the ''jurisdiction clause of the Supply and Financing Agreement and Performance Bond,'' several independent sources have told THISDAY.

It is understood that Chenge's advice on jurisdiction was very crucial to the deal and he also gave key advice on whether the financing of the radar deal by a commercial loan was compatible with Tanzania's application for debt relief from the West.

At the time Tanzania was buying the overpriced radar, former President Benjamin Mkapa's government had successfully applied for substantial debt relief under the Highly Indebted Poor Countries (HIPC) initiative.

Following Chenge's advice, the government opted to proceed with the radar deal despite fierce opposition from the World Bank and key politicians in the United Kingdom, including current British Prime Minister Gordon Brown and former international development secretary Clare Short.

Short said the sale, for which Tanzania had to borrow yet more from a commercial bank, was corrupt and ''stank''.

Despite massive criticism against the deal, the Tanzanian government went ahead and financed the purchase through a loan from Barclays Bank.

Investigators have been probing allegations that the payment of more than $1m (over 1.2bn/-) in Chenge's offshore bank accounts coincided exactly with the time he gave advice to the Tanzanian government in favour of the radar deal.

''It has been alleged that the huge payments to Chenge came at the very same time he gave the key legal advice to the government on the purchase of the radar system,'' said one of our sources.

According to well-placed government sources, Chenge's American and British lawyers have maintained that the minister was not responsible for promoting the purchase of the military radar from the UK's leading arms manufacturer, BAE Systems.

The minister's foreign lawyers have been identified as J Lewis Madorsky from Cleveland, Ohio, in the United States and Goodman Derrick LLP from the United Kingdom.

However, the lawyers admitted that Chenge, serving as Tanzania's AG at the time of the radar deal, gave legal advice to the government on at least two aspects of the radar deal.

''Chenge's American and British lawyers claim that the decision to buy the military radar system was made by the full Cabinet and a recommendation in favour of the transaction was made by the Cabinet to president Mkapa, who authorised the deal,'' said a source familiar with Chenge's defence strategy on the corruption allegations.

He added: ''The minister's lawyers argue that their client was not involved in anyway whatsoever in the negotiations to acquire the radar system, apart from giving legal advice to the government as part of discharging his normal duties as Attorney General.''

On the other hand, the fact that the minister is able to afford the services of reputable British and American law firms to defend him against the radar allegations has heightened public speculation about the extent of his personal fortune.

The UK's Serious Fraud Office (SFO) is expected to decide whether to bring fresh corruption charges against BAE Systems within six weeks over the Tanzanian radar deal.

British investigators involved in a three-year inquiry over the controversial deal have identified more than $1m in Jersey accounts controlled by Chenge.

The minister has denied that the money in his offshore accounts came from the UK arms manufacturer. However, Chenge does not dispute the money in his offshore accounts.

This has prompted the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to contact authorities in the UK, Switzerland and Jersey, to establish if the money is linked to multi-million pound secret commission payments made by BAE.

A lengthy SFO investigation in the UK subsequently discovered that around $12m (approx. 15bn/-) of the deal's contract price had been diverted via Switzerland.

BAE secretly transferred the money to a Swiss bank account controlled by a British middleman, Shailesh Vithlani.

Investigators are now checking whether Vithlani arranged to pass any money in turn to Chenge and other Tanzanian politicians and officials to approve the radar deal.

Sources said the bank in Jersey had promptly frozen transactions and filed a suspicious activity report when the Tanzanian inquiries began.

Vithlani, who grew up in Tanzania but holds a British passport, is listed as wanted by Interpol.

He has been charged with multiple counts of perjury and lying to an investigating officer at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam. His current whereabouts are unknown, although he was recently spotted in Switzerland.
 
Acha tuone. hivi lakini Chenge atashindwa kumpiga mchuzi Pinda na wenzake? Mbona Jk wala hasumbuki na hilo . Yeye yuko bega kwa bega na Chenge hadi Uchina . 'The power of Money'
 
Kuna wakati mtu unajisikia kushika silaha na kuwatandika baadhi ya watu haki ya nani. Mama na baba zetu wanakufa vijijini kwa sababu ya kukosa pesa za matibabu ambayo wanastahili kwa sababu wanalipa kodi, lakini unakuta kuna mjinga mmoja anajilimbikizia pesa zote hizo ambazo hata muda huu akifa ataziacha hapa hapa.
Hivi wanasali kweli watu kama hawa? Na kama wanasali, sala zao zinafika kwa Mungu kweli?
 
Nasikia leo anaongea na wandishi wa habari ukumbi wa habari maelezo.
Sasa kazi kwenu nyie waandishi wa habari, kama mnahitaji msaada semeni mapema kabla ya kukutana na hilo fisadi kubwa.
Nanyi watz mliopo jijini Dar wakati ni huu kumsubili nje ya ukumbi wa habari maelezo na kumpiga mawe hadi afe, hata kigari chake kipate mawe mawili matatu inatosha atajuwa na hao wakubwa zake watajuwa kuwa tumechoka na huo ushenzi wao. Kama kibaka akikamatwa kaiba kuku tunampiga na kumchoma moto iweje huyo alieiba zaidi ya dola za kimarekani milini moja tumuache hivi hivi???
Kwenu jamani naludia tena asulubiwe leo hii.
 
Mbona unaongea kama its been proven kaiba! the guardian wamesema ana 1 million usd but bado hatujui ziliko toka tusubiri ajieleze! ngoja aseme anashare katika makampuni 100 tanzania ndo tunyamaze wote..tuwe makini
 
Wananchi waliolalamikia baraza la JK walipuuzwa na kuonwa kuwa kama wanafiki na wasiopenda maendeleo ya 'wenzao'. Leo imedhihirika dhahiri kabisa kuwa malalamiko yalikuwa sahihi na yenye mashiko. Kiongozi mmoja ambaye hana hata historia ya kufanya biashara leo anamiliki mabilioni ya shilingi tene kwenye nchi za kigeni! na bado huyuhuyu anakuwa kwenye msafara na rais.
Alikuwa ni mtu muhimu sana katika kuliingiza taifa katika mikataba mibovu na leo anaongoza wizara nyeti kabisa ya barabara zetu na reli, hivi hapa kuna nini!? Tusijeshangaa tunaambiwa kuwa barabara zimekodishwa kwa mwekezaji wa kutoka visiwa vya malkia.

BILA VURUGU HUWEZI KUPATA HAKI
 
Kazi ipo, Chenge suti zake hununua UK na kuletwa kwa DHL, maji nayotumia nyumbani ni Bling H20 most expensive bottled water, pesa zetu watanzania, sina wivu naye najiuliza wale wanafunzi wanaosoma kwa kukaa chini ama wakina mama wajawazito wanaojifungua kwenye mazingira magumu na kupelekea watoto vichanga kufa, hivi pesa za akina Chenge, Mkono, RA, Lowassa akina Jitu Patel jamani zingeweza kuifanya Tanzania kuwa nchi ya neema iwapo tungegawana tulichonacho kwa busara...

Ushi
 
its too much hadi inachanganya akili, where do we go next?
Nadhani mihimili yote ya dola inanuka rushwa ambayo inataka kufichuliwa sasa hivi.
Je nani atachukua nchi?
 
PCCB tails Chenge

-Minister also confirmed as subject of impromptu twin raids of office and residence by radar deal investigators

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE government’s anti-corruption watchdog is now in the process of investigating the source of the over $1m (approx. 1.2bn/-) discovered in offshore bank accounts controlled by the Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge.

According to well-placed sources, the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) will amongst other things seek to establish from Chenge himself how precisely he was able to amass such a huge fortune in his foreign bank accounts.

Although the PCCB Director General Edward Hoseah was yesterday not immediately available for comment, insiders have told THISDAY of the bureau’s plans to request a ’written explanation’ from the minister on the source of the money found not only to be in his possession, but in offshore bank accounts to boot.

The PCCB’s move on Chenge is expected to be made once he returns home from an official trip as part of President Kikwete’s delegation, now in Beijing for talks on strengthening bilateral ties and other matters with Chinese President Hu Jintao and his government.

The president and his delegation are scheduled to be back home by Saturday this week.

At the same time, government sources have also confirmed that Chenge was recently the subject of impromptu searches of his office and residence in Dar es Salaam, conducted by British and local investigators.

’’Investigators from Britain’s Serious Fraud Office (SFO) arrived in the country late last month (March) to help organize the twin raids on Chenge’s office and home,’’ a senior government official told THISDAY.

’’The raids were aimed at looking for and securing documents which could link him (Chenge) directly to the radar issue,’’ the official added.

It is understood that the SFO is working on clues that may prove that the million-dollar fortune found in Chenge’s offshore bank accounts in Jersey originated from the UK arms manufacturer firm BAE Systems, which supplied the controversial 28 million pounds sterling (approx. 70bn/-) military radar system to the Tanzanian government in 2002.

At the time the highly-dubious deal was negotiated and concluded, Chenge was serving as attorney general and therefore chief legal advisor to the third phase government of ex-president Benjamin Mkapa.

Sources say the PCCB has been working closely with the British investigators, who have already released key information on Chenge’s offshore bank accounts.

Hoseah himself is reported to have, at an international prosecutors’ meeting in Amsterdam last month, agreed to cooperate further with the SFO in its probe against Chenge and any other Tanzanians suspected to have received hefty but illegal kickbacks in the radar deal.

Reports from Dodoma say the Prime Minister, Mizengo Pinda, is in line to face tough questions on Chenge’s fate from members of parliament on Thursday this week, during the Prime Minister’s Question Time session in the ongoing National Assembly sitting.

Opposition leaders both within and outside parliament have already begun calling for Chenge’s resignation, urging the government to thoroughly investigate the corruption allegations now brought directly against the minister.

After the UK Guardian newspaper broke the news over the weekend, the key question now dominating the public domain is how he was able to stash away more than $1m (over 1.2bn/-) in offshore bank accounts, given past and present government salary rates.

Chenge himself has not disputed the money in his Jersey bank accounts, but he has denied suggestions that it came from corrupt payments from BAE Systems in favour of the dubious radar deal.
 
wote wanahusika ndio maan hata tukilalamika tukawaambia huyu hafai hawasikilizi, sijui demokrasia gani ambayo huwezi kusikiliza maoni toka kwenye grass root?

Chama cha Mafisadi na serikali yao wote wanahusika, tukifuatilia kwa Makini utakuta wengine wanazo nyingi mara kumi hata 20 zaidi a chenge, bahati mbaya yake kuwa yeye ni wa kwanza kushitukiwa WOTE WACHUNGUZWE!!
 
Revealed: Chenge`s key role in radar deal

FORMER ATTORNEY GENERAL PROVIDED LEGAL
ADVICE IN FAVOUR OF DUBIOUS TRANSACTION

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge, was responsible for giving crucial legal advice to the Tanzanian government in 2002 during the purchase of the controversial military radar system currently at the centre of local and international corruption investigations, it has been revealed.

Chenge, who was the government’s chief legal advisor as Attorney General when the 28 million pounds sterling (approx. 70bn/-) radar was purchased, gave advice on key aspects of the transaction, which ultimately led to the approval of the deal by the Cabinet.

The advice given by the then AG in the radar deal involved the ’’jurisdiction clause of the Supply and Financing Agreement and Performance Bond,’’ several independent sources have told THISDAY.

It is understood that Chenge’s advice on jurisdiction was very crucial to the deal and he also gave key advice on whether the financing of the radar deal by a commercial loan was compatible with Tanzania’s application for debt relief from the West.

At the time Tanzania was buying the overpriced radar, former President Benjamin Mkapa’s government had successfully applied for substantial debt relief under the Highly Indebted Poor Countries (HIPC) initiative.

Following Chenge’s advice, the government opted to proceed with the radar deal despite fierce opposition from the World Bank and key politicians in the United Kingdom, including current British Prime Minister Gordon Brown and former international development secretary Clare Short.

Short said the sale, for which Tanzania had to borrow yet more from a commercial bank, was corrupt and ’’stank’’.

Despite massive criticism against the deal, the Tanzanian government went ahead and financed the purchase through a loan from Barclays Bank.

Investigators have been probing allegations that the payment of more than $1m (over 1.2bn/-) in Chenge’s offshore bank accounts coincided exactly with the time he gave advice to the Tanzanian government in favour of the radar deal.

’’It has been alleged that the huge payments to Chenge came at the very same time he gave the key legal advice to the government on the purchase of the radar system,’’ said one of our sources.

According to well-placed government sources, Chenge’s American and British lawyers have maintained that the minister was not responsible for promoting the purchase of the military radar from the UK’s leading arms manufacturer, BAE Systems.

The minister’s foreign lawyers have been identified as J Lewis Madorsky from Cleveland, Ohio, in the United States and Goodman Derrick LLP from the United Kingdom.

However, the lawyers admitted that Chenge, serving as Tanzania’s AG at the time of the radar deal, gave legal advice to the government on at least two aspects of the radar deal.

’’Chenge’s American and British lawyers claim that the decision to buy the military radar system was made by the full Cabinet and a recommendation in favour of the transaction was made by the Cabinet to president Mkapa, who authorised the deal,’’ said a source familiar with Chenge’s defence strategy on the corruption allegations.

He added: ’’The minister’s lawyers argue that their client was not involved in anyway whatsoever in the negotiations to acquire the radar system, apart from giving legal advice to the government as part of discharging his normal duties as Attorney General.’’

On the other hand, the fact that the minister is able to afford the services of reputable British and American law firms to defend him against the radar allegations has heightened public speculation about the extent of his personal fortune.

The UK’s Serious Fraud Office (SFO) is expected to decide whether to bring fresh corruption charges against BAE Systems within six weeks over the Tanzanian radar deal.

British investigators involved in a three-year inquiry over the controversial deal have identified more than $1m in Jersey accounts controlled by Chenge.

The minister has denied that the money in his offshore accounts came from the UK arms manufacturer. However, Chenge does not dispute the money in his offshore accounts.

This has prompted the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to contact authorities in the UK, Switzerland and Jersey, to establish if the money is linked to multi-million pound secret commission payments made by BAE.

A lengthy SFO investigation in the UK subsequently discovered that around $12m (approx. 15bn/-) of the deal’s contract price had been diverted via Switzerland.

BAE secretly transferred the money to a Swiss bank account controlled by a British middleman, Shailesh Vithlani.

Investigators are now checking whether Vithlani arranged to pass any money in turn to Chenge and other Tanzanian politicians and officials to approve the radar deal.

Sources said the bank in Jersey had promptly frozen transactions and filed a suspicious activity report when the Tanzanian inquiries began.

Vithlani, who grew up in Tanzania but holds a British passport, is listed as wanted by Interpol.

He has been charged with multiple counts of perjury and lying to an investigating officer at the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam. His current whereabouts are unknown, although he was recently spotted in Switzerland.
 
Enzi za Mwalimu hii ingeshatoka kwenye RTD siku nyingi kwenye taarifa ya habari. Na hii ndiyo taarifa ya habari kutoka redio Tanzania Dar es salaam, msomaji Ahmed Jongo. Serikali leo imemfukuza kazi Waziri wa miundo mbinu Andrew Chenge na kumfilisi mali zake zote kwa ufisadi alioufanya katika mkataba wa rada. Lakini siku hizi mafisadi wanalindana. Kuna ushahidi wa kutosha lakini hadi hii leo huyu fisadi bado ni waziri!

Wabunge kumweka kitimoto Pinda

2008-04-16 09:30:28
Na Waandishi Wetu, Dodoma

Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda, kesho anatazamiwa kuwekwa kiti moto na wabunge, kuhusu tuhuma zinazomkabili Waziri wa Miundombinu, Bw. Andrew Chenge za kujilimbikizia mabilioni ya fedha nje ya nchi.

Habari za uhakika kutoka kwa wabunge, zilisema hatua hiyo itafikiwa ili kujua msimamo wa serikali kuhusu kashfa hiyo.

Kwa mujibu wa habari hizo, wabunge hao watamhoji Waziri Mkuu wakati wa kipindi cha nusu saa cha maswali ya papo kwa papo kinachofanyika kila Alhamisi bungeni.

``Tuhuma dhidi ya Chenge ni nzito, hii si tu kwa sababu ya kiasi cha fedha anachomiliki bali tunataka kujua vyanzo vya Dola 1,000,000 alizoweka benki huko Uingereza na sababu ya kuzihifadhi nje ya nchi,`` alisema mbunge wa CCM kutoka Kanda ya Ziwa, anapotoka Bw. Chenge kwa niaba ya wenzake.

Alisema hatua hiyo itachukuliwa bila kujali au kulinda maslahi ya chama kwa kuwa chama hakijakosa bali waliokiaibisha ni watendaji kama waziri huyo.

Bw. Chenge aliripotiwa na gazeti la The Guardian Uingereza kuwa anamiliki akaunti yenye Dola zaidi ya 1,000,000 sawa na Sh. bilioni 1.2 zilizohifadhiwa kwenye benki iliyoko kwenye visiwa vya Jersey, Uingereza.

Taasisi ya kuchunguza uhalifu wa kimataifa ya nchi hiyo inachunguza iwapo kuna uhusiano baina ya fedha hizo na ununuzi wa rada mbovu iliyoligharimu taifa zaidi ya Sh. bilioni 70 (kwa tarakimu za sasa) iliyonunuliwa Uingereza wakati wa awamu ya Rais Benjamin Mkapa.

Hata hivyo, kwa mujibu wa The Guardian, Bw. Chenge alikana kuhusishwa kwa fedha hizo na rushwa ya rada, ingawa alikiri kwamba ni zake.

Wakati hayo yakisubiriwa Waziri Chenge anatarajiwa kurejea nchini leo.

Vyanzo vya habari kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa vilisema jana kuwa wakati Rais Jakaya Kikwete na Waziri Benard Membe wakielekea Marekani, mawaziri wengine waliokuwa kwenye msafara huo, akiwemo Chenge, wanatarajiwa kuingia nchini leo kwa ndege ya Emirates.

Wakati huo huo, Mhadhiri mashuhuri Profesa Mwesiga Baregu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amesema inashangaza waziri huyo anayetuhumiwa kuendelea kubakia kwenye msafara wa Rais.

``Alitakiwa awe amewekwa kando, angepumzishwa ama kwa hiari yake au na mwajiri wake ili uchunguzi ufanyike kwanza.``

Profesa Baregu ambaye ni mtaalamu wa masuala ya sayansi za siasa, alisema haieleweki na kwa hali yeyote isingependeza Waziri Chenge aendelee kuwa katika ziara ya Rais ughaibuni huku akikabiliwa na kashfa hiyo.

``Wananchi walitegemea baada ya kashfa hiyo kuwekwa hadharani, awekwe pembeni. Kumuacha aendelee kunawafanya washuku pengine serikali haijaona kama kuna tatizo dhidi ya mtendaji wake huyo,`` alionya Profesa Baregu.

Waziri huyo alikwenda bara Asia na akiwa China alisaini mkataba wa ujenzi wa ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere utakaojengwa Dar es Salaam.

Waziri Chenge aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika awamu ya pili aliishauri serikali katika mikataba kadhaa ambayo imezua mijadala.

Wakati huo huo, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Bw. Robert Manumba, alipoulizwa iwapo kurugenzi yake imeanza kuchunguza mali za waziri huyo hapa nchini alisema hapana.

Alifafanua kuwa polisi haijaanza kumchunguza kwa vile Taasisi ya Kuzuia na Kudhibiti Rushwa (TAKUKURU) inafanya kazi hiyo.

Alipoulizwa iwapo atakamatwa kwa mahojiano atakaporejea nchini, DCI akionekana yuko makini katika matamshi yake alisema polisi haijihusishi na suala hilo bali liko kwa TAKUKURU.

SOURCE: Nipashe

Kuoneana aibu na kubabana ndio chanzo cha yote haya!!
Hivi huyu AC ilikuwaje akalimbikiza 1bn Tshs nje ya nchi? Lazima kuna wenzake kadhaa ambao hawajamulikwa... sasa Chenge toka uliko uje na uwataje wenzako mlioshiriki! Mikataba yote tunataka kujua ni kwa nini ilikuwa mibovu na kwa nini ilitokea kipingi wewe ni AG?
1bn Tshs ...uh!!
 
Back
Top Bottom