Killuminati
JF-Expert Member
- Apr 24, 2007
- 329
- 39
What do we know about him? Na zaidi ya yote why is he still in power? Kwanini aliamua kugombea Ubunge? Je wasifu wake katika sheria unasemaje maana hadi hivi naamini pasipo shaka (baada ya kuona ushahidi fulani ambao utawekwa hapa Jumatatu) Bw. Chenge ni Mtanzania aliyeliangusha Taifa lake sana na kwa hakika historia itamhukumu kwa kuwa mamluki wa kisheria!
Hakuna wakati ambapo Taifa letu limejikuta halina mwelekeo wa kisheria unaoeleweka hususan kwenye Mikataba kama wakati ambapo Bw. Huyu alikuwa "Attorney General".
Hata hivyo kuna kitu ambacho hakiko wazi sana; kuna watu wanaamini kuwa RA ndiye King Maker wa Tanzania. Baada ya yale yaliyotokea Dodoma kama mwezi mmoja na kitu uliopita nimejikuta nikiamini pasipo shaka kuwa the most powerful man in CCM is Andrew Chenge and I dare say don't even think of crossing him (which I intend to, humbly).
Jinsi gani na yeye tutamuangusha? (I have an idea)..
..Mwanakijiji, this dude is a smart one but not might one, time is on his side(at least for now)!!Use it wisely Andrew boy