The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Hivi mnaweza kuamini kwamba Chenge ni muhudhuriaji na mnyenyekevu mno church for yrs?????????????

"They never say what they do and never do what they say"

Kaka,usisahau kwamba shetani akizeeka hujifanya malaika,umewahi kulisikia hilo?basi ujue kunamalaika humu nchini ambao ni mashetani wazeee!
 
Kama tulivyoandika wiki chache zilizopita na kuonesha kuwa ukodishaji wa dege kubwa la Airbus 320 toka kampuni ya Wallis Trading ya Liberia una matatizo na unaigharimu TAnzania mabilioni ya shilingi kwa sababu tu Waziri wa Miundo Mbinu Bw. Andrew Chenge ameshindwa kutoa uongozi unaostahili.

Tangia kusahiniwa kwa mkataba kati ya ATC na Wallis wa kununua ndege hiyo chakavu ambayo bado inafanyiwa matengenezo huko El Salvador serikali imechelewa kutoa udhamini (guarantee) kiasi cha kampuni ya Wallis kutoa notisi kwa ATC.

Zaidi ya yote hadi hivi kuna wataalamu na marubani ambao wanaendelea kusota huko El Salvador wakisubiri ndege hiyo ianze safari ya kuletwa nchini. Kwa kila mwezi ambao serikali inashindwa kutoa udhamini ATC inalipia dola elfu sitini ambayo ni juu ya malipo ya kukodi ndege hiyo ambayo yanazidi dola laki nne kwa mwezi.

Angalia na uamue mwenyewe.
 

Attachments

Samahani, Mkuu lakini sisi wengine macho yetu sio kama yalivyokuwa zamani, naomba ubadili hiyo font na huo uzito( bold)! Samahani lakini!
 
Hata mimi macho nimeyaminya utadhani mjusi kabanwa na mlango..! Well, mbona kuna mambo mazito humu... Hivi Chenge ana matatizo gani na mambo ya mikataba?
 
Samahani, Mkuu lakini sisi wengine macho yetu sio kama yalivyokuwa zamani, naomba ubadili hiyo font na huo uzito( bold)! Samahani lakini!

Hata mimi macho nimeyaminya utadhani mjusi kabanwa na mlango..! Well, mbona kuna mambo mazito humu... Hivi Chenge ana matatizo gani na mambo ya mikataba?

Mwandiko wangu ni wangu bwana, ndiyo niliojaliwa nao. Kwa kuzingatia maombi yenu itabidi nijifunze kidogo kidogo jinsi ya kuubadili.
 
Hivi serikali walikuwa sehemu ya huo mkataba? Waliwaahidi ATC kuwa watoa guarantee kabla ya ATC kuingia kwenye huo mkataba? Pengine Chenge amestuka anadhani kuwa hili ni kanyaboya lingine, si mmeishasema ndege yenyewe ni mbovu! aliyeng'atwa na nyoka hata kamba ataikimbia!
 
Jamani hivi sisi tuna matatizo ganiii..........

MIJITU MINGINE BANA..............We are not serious at all. Unanunua/kodisha Ndege kupitia jamaa wa Liberia!!!......ndege inafanyiwa matengenezo ElSalvador!!!!!!

Halafu unapiogwa NYUNDO (Barua) kama mtoto mdogo vile............halafu watu wanadunda tu
 
Tatizo ni kuwa kama vile IPTL, na RIchmond, ndege ishamalizwa kupendezeshwa, lakini ikija bila hiyo guarantee au line of credit haiwezi kuanza kazi. Na ninadhani kama vile mikataba mingine ilivyo mibovu sijui tukiamua kujinasua toka kwenye mkataba huu itakuwaje... ?
 
Tatizo ni kuwa kama vile IPTL, na RIchmond, ndege ishamalizwa kupendezeshwa, lakini ikija bila hiyo guarantee au line of credit haiwezi kuanza kazi. Na ninadhani kama vile mikataba mingine ilivyo mibovu sijui tukiamua kujinasua toka kwenye mkataba huu itakuwaje... ?

Mimi kichwa changu kizito. Hii guarantee hasa ni ya nini? Line of credit si inahusiana na malipo? Au hii guarantee au line of credit ni kwa malipo ambayo Airline of Total Confusion wanatakiwa kuwalipa wahusika? Sasa waliingiaje mkataba bila kuhakikishiwa na serikali kimaandishi kuwa hiyo guarantee au line of credit itakuwepo?
 
Mimi kichwa changu kizito. Hii guarantee hasa ni ya nini? Line of credit si inahusiana na malipo? Au hii guarantee au line of credit ni kwa malipo ambayo Airline of Total Confusion wanatakiwa kuwalipa wahusika? Sasa waliingiaje mkataba bila kuhakikishiwa na serikali kimaandishi kuwa hiyo guarantee au line of credit itakuwepo?

hayo ni maswali ambayo Chenge anatakiwa kujibu kama kuna mtu atakuwa na ujasiri wa kumuuliza..
 
Jamani naomba wengine tusome tuu na kudownload huu ushahidi kusudi ikifika siku ya siku tukashikana mashati basi tusitafute mchawi. MaanA Moderator anaweza kuniadhibu maana nashindwa kuelezea kama Mungu alitunyima vyote sisi waafrika! Hata tukienda shule? sasa jamani mkombozi wa mwafrika ni nani na nini? Kama elimu ya UNIVESITI imeshindwa kutukomboa?

Chenge ni graduate wa Harvard Law School! Haya sijui twende kwenye sayari ya mars au antarctic kutafuta wa kutuongoza au twende wapi?
 
Guys lets stop complain about him,,,mi nafikiri swala hapa ni kuuliza uongozi wa AIRTANZANIA ,TCAA na wengineo nini kimetokea na sio kuanza kumlalamikia chenge,,chenge anaambiwa tuumepata ndege,hii iko hivi na hivi wao wanacheck na TCAA baada ya hapo
kupitishwa wanasign mkataba,,,so hapa wa kuuliza ni je uoingozi ulioenda kuangali ndege kule waliona ni mbovu kwa nini imetokea vile???????tuliandika mengi sana na kuna siri kubwa ndani ya hili na kama kuna wabunge wanasoma tungependa hii ifike bungeni,,,labda kw kifupi soma hasara ya hii ndege mpaka sasa hivi na bado haijaja wal kufiriwa kuja
malipo haya hapo chini yameanza kulipwa tangu mwezi wa kumi kama tulivyoonyesha hapo mwanzo ,,tunasikitika kuachishwa kazi kw akusema ukweli ila tuliwaambia hatutaacha kusema ukweli hata tukiwa nje,,atc ni ya watanzania si ya viongozi walafi wachache

MALIPO YA KILA MWEZI 420,000 USD *6 =2,520,000
kwa hela ya tanzania nia sawa na 2520000 * 1200 = JIBU
Malipo mengine ya ukarabati wa ndege nikiweka mnaweza mkaandamana mpaka mjini ofisinimsivyo na huruma nyie

wakapeleka engineer ::YUKO KULE TANGU MWEZI WA KUMI
MALIPO YAKE KAMA IFUATAVYO ,ANALIPWA DOLLER 300 KWA SIKU

OCTOBER ::::30 * 300 =9000 USD * 1250 =TSHS JIBU
NOVEMBER 31 * 300 =9300 USD * 1250 =TSHS JIBU
DECEMBER 30 * 300 = 9000 USD * 1250 =TSHS
JANUARY 31 * 300 = 9300 USD * 1250 =
FEB 30 * 300 = 9000 USD * 1250=TSH
26MARC 30 * 300 = 9000 USD * 1250 = TSH
LEO HII 300 USD
TOTAL USD 9000*6 =54,000 USD
NA BADO ANAEDNELEA KUWA KULE BILA KUJUA ANAFANYA NINI,,HUYU WENZAKE WALILALAMIKA SANA KULE KWENYE KITENGO,,,CHAO

KUNA RUBANI MWINGINE ALIENDA AKAKAA MIEZI MIWILI ,,HUYU NEEMA IKAKMKATIIKIA IKABIDI ARUDI WATU WALICHINGA SANA JUU YAKE ,,,ANAFANYA NINI KULE......9000USD * 2 =18,000 USD
18,000 *1250== HELA YA MJASIRIAMALI

MWINGINE AMEENDA HIVI MAJUZI ANA WIKI 3 SASA,,21 *300 =6300 USD

JE HATA KAMA SERIKALI INAMPANGO WA KUTIOA HIYO GUARANTEE KWA ULAJI HUU HOLEL USIO HATA NA SHULE WALA HEKIMA YA MWENYEZI MUNGU UNAFIKIRI CHENGE ATAKUWA HANISI KIASI HICHO,,KEDE EMBU MWACHENI JAMANI,,,KWANZA TUULIZE NANI ALIIENDA KUANGALIA HIYO NDEGE
marekebisho ya ndege baada ya kukut
 
TaiKubwa, kama ni msumari umegongelea..!! Inasikitisha vyombo vya habari vimepikiwa na kupakuliwa na kuwekewa mezani na vijiko vimechotwa, na kuwekwa midomoni lakini wanashinda kutafuna wanataka watafuniwe na kumezewa kama makinda ya ndege!!
 
Kwa Kifupi Ni Hasara Ya Kama Billioni 6 Mpaka Sasa Wasiojua Billion Ni 6,000,000,000.hatujajenga Uwanja Wa Pinda International Airport,,,,,,,,mi Nafikiri Sasa Hivi Undwe Kamati Za Kuchunguza Malipo Na Matumizi Ya Mashirika Ya Umma Kutoka Bungeni Hapo Ndipo Tutakapojua Ufisadi Halisi Wacha Uko Epa,,,
Bwana Awe Nanyi.....
 
Hivi Sasa Tumeambiwa Kuna Rubani Ati Kachukua Doller Kadhaa Kama 20,000 Anakwenda Kuleta Ndege Ya Airbus,,david R U Serious With Airtanzania Future?????ndege Aijapata Kibali Serikalini Rubani Anakwenda Kufanya Nini?????tukianza Kula Hivyo Kila Mtu Attataka Kwenda Kijijini Kumsalimia Mwanakijiji Na Hapo Ndipo Tutakapoimba

"""""""haleluya Tutaonana Haleluya Tutaonana Tutaonana Mbinguni Kwa Baba
 
Huyu Chenge ni mtihani mkubwa sana kwa Kikwete!

Kama akishindwa hata kwenye hili basi hii itakuwa too much!
 
Wakuu,

Kwa kifupi ATCL haikopesheki wala haiminiki kutokana na financials zake mbovu. Mi navyofahau mpaka mwaka jana walikua na accummulated loss of Tzs. 15 Billion.Tetesi zinasema they make more money kwenye kukodisha majengo kuliko kwenye mauzo ya air tickets.

Sasa hii kampuni haiwezi kuipa hiyo ndege bila kuwa na guarantee ya serikali ya Tanzania maana wanaogopa kuwa ATC wanaweza kushindwa kulipa hizo dola laki 5 kila mwezi. Kama ATCL ingekuwa ina cashflow nzuri na good financials, mibenki kibao ya bongo ingeweza kuwapa hiyo line of credit au Standby Letters of Credit(SBLC) ili kumpa aliyekodisha comfort.

Utamu unakuja pale ambapo BOT ndio wanatakiwa kuissue hiyo guarantee, na sasa hivi Prof. Ndullu anaangalia duka liko vipi maana Don Ballali alikuwa anazitoa kama nyungu hizo guarantees na nyingi zimetolewa kwenye project feki(ie Star Apparrel,Kagera Sugar,Mtibwa Sugar, Mzindakaya Meat Farm etc)
 
Back
Top Bottom